Umejifunza mambo gani JamiiForums..?

Umejifunza mambo gani JamiiForums..?

Mi nimejifunza kuwa kuna wasomi jf ni mbumbumbu, hawajui walikotokea, walipo, na waendapo. Kupinga uwepo WA MUNGU. Maana MUNGU asema, ******** asema moyoni mwake hakuna MUNGU. Ndo maana nasema ni mbumbumbu
watakuja tu ngoja
 
Mimi nimekuwa mchawi kupitia mada za akina Mshana Jr nawengine Kule Jamii Intelligence.
 
Nmejifunza kuwa sio lazima ukutane na mtu ndo umjue alivyo unaweza ukajua baadhi ya tabia za mtu kwa kuangalia tu anavyocomment.
 
Nmejifunza kuwa wanawake hua hawatupendi kwa dhati sisi wanaume,ila kwa malengo ya kupata maslahi nami sasa,sitakuja kumpenda mwanamke yeyote ntakaekuwa nae kwenye mahusiano,nami ntazuga kama atakavyozuga yeye,sitojiachia mia kwa mia kamwe.akinikiss mara moja mimi namkiss mara saba za uongo zote.
Nimejifunza wanawake ni viumbe wenye roho mbaya kuliko viumbe vyote duniani.
Nimejifunza adui yangu wa kwanza ni mwanamke,wa pili ni shetani.
 
Sawa mkuu watakuja tu,wataongea yao
 
Nimejifunza kuna watu jamiiforum wanapenda kubishana afu hawajui kupanga hoja, japo wengine wengi pia wanaweza
 
Source of information

Reduce stress

Create relationship

Sharing of ideas $knowledge from different people

NAIPENDA SAAANA JF
 
Nmejifunza kuwa wanawake hua hawatupendi kwa dhati sisi wanaume,ila kwa malengo ya kupata maslahi nami sasa,sitakuja kumpenda mwanamke yeyote ntakaekuwa nae kwenye mahusiano,nami ntazuga kama atakavyozuga yeye,sitojiachia mia kwa mia kamwe.akinikiss mara moja mimi namkiss mara saba za uongo zote.
Nimejifunza wanawake ni viumbe wenye roho mbaya kuliko viumbe vyote duniani.
Nimejifunza adui yangu wa kwanza ni mwanamke,wa pili ni shetani.
kulikoni ukafikia huko?
 
Kwamba ukiwa na jambo linalokukera pa kupumulia ni JF lakini ukitaka upumue vizuri usitumie jina lako halisi!
 
1. kuna malaya wanaotaka kuaminisha wanawake wengine kushea mpenzi ni kawaida na haiepukiki. kwamba huwezi ukawa peke yako kwenye mapenzi.. hawa ni wale malaya wa kona bar wamevamia JF

2. kuna foolish age wengi JF

3. kila mtu mjuaji

4. wachache wapo open minded.

5. mada zinazohitaji UFIKIRI MKUBWA huwa zina mvuto kwa watu wachache.
 
Back
Top Bottom