Umejifunza mambo gani JamiiForums..?

Umejifunza mambo gani JamiiForums..?

1. kuna malaya wanaotaka kuaminisha wanawake wengine kushea mpenzi ni kawaida na haiepukiki. kwamba huwezi ukawa peke yako kwenye mapenzi.. hawa ni wale malaya wa kona bar wamevamia JF

2. kuna foolish age wengi JF

3. kila mtu mjuaji

4. wachache wapo open minded.

5. mada zinazohitaji UFIKIRI MKUBWA huwa zina mvuto kwa watu wachache.
Umenena vyema mkuu
 
some tanzanian are smart indeed..

ila pia wanawake wengi humu jf ambao wanajitambua wapo makin sana, i love them
 
Imenisaidia kuupanua ubongo kuna watu ni vichwa humu si wa mchezo mchezo,na hakika JF kwangu ni sehemu ya kupata chakula safi cha akili na pia ni tulizo la moyo, i.e kuna stori humu za kubuni huwa zinanifurahisha na kuukonga mno moyo wangu.
 
1. Nimejifunza kusoma vitabu hasa vya kijasiliamali
2. Imenifanya nijiamini sana katika maisha yangu
3. Nimeongeza misamiati mingi sana ambayo sikuwahi kukutana nayo sehemu nyingine mf. Papuchi, gegedo!!
4. Jamii forum imekua ndo suluhisho la matatizo yangu kwa kiasi kikubwa.
 
pamoja sana mkuu
 
Habari wakuu,
Tokea umejiunga Jf umejifunza nini.?Na imekusaidia nini katika maisha yako ukizingatia kuna majukwaa tofauti tofauti.

Binafsi nimejifunza mbinu mbali mbali jinsi ya kukabiliana na changamoto ambazo zilikua zinanitatiza. Vipi wewe imekusaidia nini..?

Njoo tujuzane.
Unafiki wa Yericko Nyerere , Godbless J Lema. Hawa ni wachache waliokuwa washika bango la ufisadi ila baadaye walinyamazishwa na sabuni za roho toka kwa mh nyeupe.
 
Habari wakuu,
Tokea umejiunga Jf umejifunza nini.?Na imekusaidia nini katika maisha yako ukizingatia kuna majukwaa tofauti tofauti.

Binafsi nimejifunza mbinu mbali mbali jinsi ya kukabiliana na changamoto ambazo zilikua zinanitatiza. Vipi wewe imekusaidia nini..?

Njoo tujuzane.
Waharibifu wa Kiswahili ni wengi sana. Kaburi kuitwa kabuli, kura kuitwa kula na kula kuitwa kura, hivi kuitwa ivi na kadhalika. Elimu imeporomoka!
 
Back
Top Bottom