moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #21
ahh safi mkuuNimejifunza jinsi watu wanavyoujadili udikteta mpaka unaulewa vizuri, uchwara, ukabaila, ubeberu, ubabe, aisee kwa kweli nimefaidika sana
ahh safi mkuuNimejifunza jinsi watu wanavyoujadili udikteta mpaka unaulewa vizuri, uchwara, ukabaila, ubeberu, ubabe, aisee kwa kweli nimefaidika sana
umeona ubaya gani mkuu.?Moja ya jambo niliyojifunza nimeweza kuona ubaya wa ushabiki wa kisiasa.
ndio ila utatakiwa kuthibitishaHivi kumbe ndo ilivyo mkuu..?
unaweza kujikuta unabishana na mtu JF kumbe upo nae ofisi moja..majina ya huku ni nomaMe nimejifunza kuwa sehemu isiyo na classes ni jamii forum... Mtu na bosi wake mnapigana mkwara kila mtu yupo nyuma ya keyboard... Hahahaha
Hahahahahaha kweli mkuuMe nimejifunza kuwa sehemu isiyo na classes ni jamii forum... Mtu na bosi wake mnapigana mkwara kila mtu yupo nyuma ya keyboard... Hahahaha
utathibitishaje mkuu..?ndio ila utatakiwa kuthibitisha
tuma picha ya kitambulisho chochote chenye jina kama unalotumia JF kwa moderators au maxence meloutathibitishaje mkuu..?
Hujaeleweka mkuu?Joined:Mar 25, 2016
Messages:670
Likes Received:223
Trophy Points:60
Liked:155
kwani mtu si anaweza akatengeneza tu kitambulisho cha uongo mkuu?tuma picha ya kitambulisho chochote chenye jina kama unalotumia JF kwa moderators au maxence melo
kama cha mpiga kura,cha shuleni au kazini ni vigumu kutengeneza cha bandiakwani mtu si anaweza akatengeneza tu kitambulisho cha uongo mkuu?
Haya mkuu nimekupataJoined:Mar 25, 2016
Messages:670
Likes Received:223
Trophy Points:60
Liked:155
mwanzoni nilijua ni stage ya juu kumbe sio,poa mkuukama cha mpiga kura,cha shuleni au kazini ni vigumu kutengeneza cha bandia
mi mbona nina miezi mitano humumwanzoni nilijua ni stage ya juu kumbe sio,poa mkuu
Nimeelewa mkuumi mbona nina miezi mitano humu
Hakika nimejifunza kuishi na mwafrika wa kabila mbalimbali... na zaidi kitaifa!!!Habari wakuu
Tokea umejiunga Jf umejifunza nini.?Na imekusaidia nini katika maisha yako ukizingatia kuna majukwaa tofauti tofauti.
Binafsi nimejifunza mbinu mbali mbali jinsi ya kukabiliana na changamoto ambazo zilikua zinanitatiza. vipi wewe imekusaidia nini..?
njo tujuzane
ahh safi mkuuNimejifunza jinsi watu wanavyoujadili udikteta mpaka unaulewa vizuri, uchwara, ukabaila, ubeberu, ubabe, aisee kwa kweli nimefaidika sana
Umenikumbusha ngoja niende celebrity forum, warumi ni mbea kuliko hata wanawake.Umbea kuna course nzuri sana hapa na senior lecturer ni warumi