moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #41
fresh kiongoziSina muda mrefu tangu nijiunge Jf ila najifunza mambo mengi na mawazo ya watu yananisaidia sana kuona mambo kwa upana zaidi!!!!
fresh kiongoziSina muda mrefu tangu nijiunge Jf ila najifunza mambo mengi na mawazo ya watu yananisaidia sana kuona mambo kwa upana zaidi!!!!
safi yani atuuzingatii ukabilaHakika nimejifunza kuishi na mwafrika wa kabila mbalimbali... na zaidi kitaifa!!!
hahahaha haya mkuunimejifunza haya matamko ...kugegenda.....papuch....fumanizi
kimoja mkuuNimejifunza vitu vingi mnoo
Nadhani saizi uko makini hawatokuchezea tena akiliNimejifunza mambo mengi kuhusu maisha,
Nimejifunza pia kucheza na akili za watu baada ya zangu kuchezewa. Nikaamua kama noma na iwe noma.
Naipenda sana jf
Ni kweli kabisaNimejifunza kuwa mwadamu akiwa peke yake au haonekani au kujulikana kuwa ana tabia sawa na mnyama.
Humu kuna watu wenye heshima lakini humu hupost ujinga.
So jamii forum imekuwa darasa zuri sana kufahamu tabia zetu
Sasa hivi hamna anayeweza kuchezea akili yangu. Ni zamu yangu kucheza na akili za watu.Nadhani saizi uko makini hawatokuchezea tena akili
Upo dadangu!Ni kweli kabisa
Nipo mkuu. Mambo?Upo dadangu!
Mambo yangu ni murwwwaaaNipo mkuu. Mambo?
Kwamba hujajifunza chochote hadi saizi.?Mhhhhh.....[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwasasa siwezi kusema, sababu bado naendelea kujifunza aiseeee...
Nimeamua kua muungwana kwa kutaka kujitendea haki kwa kusema kwamba........Kwamba hujajifunza chochote hadi saizi.?
hakuna shida ilaNimeamua kua muungwana kwa kutaka kujitendea haki kwa kusema kwamba........
Bado sijamaliza kujifunza, hapa namaanisha aijafikia mwisho wa kutamani kujifunza