Nipo Ndahani. Mzima wewe?
hahahahah!! sa kwenye baa ukauzu wa nini!!??Ukifanya hivyo asubuhi utatokaje ndani ya nyumba yako? Utaamka saa kumi usiku kuwahi kazi au inakuwaje? Ukauzu una maeneo yake...kama kwenye zile baa zetu ni kuleta ukauzu kwa kwenda mbele, teh teh teh
hivi Asprin mbona umbea wako leo haueleweki? sasa ngoja nikupe na mie nloupata jana kijiweni.
wanaume watu wazima ni wajaluo peke yao............ kisa wana mkono sweta.
wanaume wa kisukuma wanapanga uzazi kirahisi kuliko wanaume wengine wote ...........kisa wao hufunga mikono sweta yao kwa mbele hivyo wana do kisha wakimaliza wanakwenda chooni wanafungua kumwaga watoto wao.
wanaume wa kichaga wao hawana mshindo .................kisa wanakatwa mikono sweta toka wachanga wa siku 5 so mashine haikui kabisa.
King'asti mwenzio miye ngumi mkononi ujue haya huyo buzi unakotaka kumpeleka wifiyo ili tufe sote kwa maradhi ya kisasa? mwanangu Ronn M utamlea wewe?Wifi, nakupigia sasa hivi nikueleweshe kipengele kwa kipengele. Leo uchonganishi hadi mwisho. Afu kuna bonge la buzi nataka kukutambulisha. Kaizer, dont shoot the messenger
Wifi, nakupigia sasa hivi nikueleweshe kipengele kwa kipengele. Leo uchonganishi hadi mwisho. Afu kuna bonge la buzi nataka kukutambulisha. Kaizer, dont shoot the messenger
Nashauri msitumie vile visabuni vidogo Ayu/Eva maana utanukia mpaka nyumbani.
Nasisitiza tembea na sabuni yako ya kipande mfukoni maana hiyo ukisha jipiga soap soap manukato yake yanaisha mapema.
Kuna adhabu mbalimbali tunazowapa wanachama wetu. Ukifumaniwa UNASIMAMISHWA uanachama kwa miezi sita! Ni Kosa la JINAI kwa infideletaz na infideleez kufumaniwa, ukifumaniwa maana yake hujafuata katiba na SHERIA zetu, kitendo ambacho HAKIKUBALIKI kisheria.
Nimarufuku INFIDELATORS/INFIDELETEES kutumia usafiri (Gari)moja kila mtu atumie usafiri wake na aingie/kutoka kwa muda wake sehemu husika GESTI HAUSI
kumbe bado mwoga eeh! jilipue siku moja utapata ujasiriUkifanya hivyo asubuhi utatokaje ndani ya nyumba yako? Utaamka saa kumi usiku kuwahi kazi au inakuwaje? Ukauzu una maeneo yake...kama kwenye zile baa zetu ni kuleta ukauzu kwa kwenda mbele, teh teh teh
Wa afya njema. Kazi tu ndio zinabana.
Nasikia toka Lizzy apotee hapa jamvini Bishanga kawa mpole na ndio hasa nia ya kutulia na mmoja ambae ni The secretary. Nimepata fununu pia kuwa Cantalisia, Mwali, obsesd, Smile na Okya walifumwa wakijadili jinsi gani wanaweza kujisajili kikundi cha wadada wa mjini kwa madai kuwa wanataka wawe wana run lile city la Jamii. Hata hivo hilo lengo lao liliingia dosari kwa sababu hawakuwashirikisha dada zao wakubwa kama Zion Daughter, Roulette, FirstLady1, Chauro, WiseLady, Preta, blacki womani BelindaJacob na Keren_Happuch.
Nasikia chama kuu MMU cha Infidel kinakufa kiutendaji baada ya Kaizer kuonekana anaenda kinyume na sheria mama za chama. Hio imefanya Darling shem Asprin akiongozwa na @RR, waite kikao cha dharura cha wanachama wachache tu; yaani Kimey, TIMING, Dreamliner, Baba_Enock, Fidel80, Teamo, The Finest, The Boss, klorokwini, Memo, Bigirita, kwa ajili ya hatma ya hicho chama.
Pia toka chama cha wabeba ma box kisajiliwe na Nyani Ngabu hapa jf nimepata tetesi kuwa kimepata wanachama wengi sana (atae hakiki hizi habari nitashukuru sana), wakiwemo jmushi1, BAK, Kiranga, Steve Dii, Mr Rocky na Ndahani majina mengine sijasikia... Ila Mzee Dark City hata hiyana atanipatia tu. lol
Nilitaka kusahau, soon kwa yeyote mwenye sherehe inayohitaji mapambo na maposhi ya cake afrodenzi kafungua kampuni.
Wifi, nakupigia sasa hivi nikueleweshe kipengele kwa kipengele. Leo uchonganishi hadi mwisho. Afu kuna bonge la buzi nataka kukutambulisha. Kaizer, dont shoot the messenger
:clap2::clap2::clap2: :A S thumbs_up:umesahu kwamba sikuhizi kwasababu imekuwa ni rahisi wenzi kutrace namba za simu za wenzoi wao basi uwe na line separate ambayo itatumika unapotaka kuwasiliana na small house na hii hubaki ofcn kwako na inaimu yake separate kabisa.
unaonaje unapoisaka haklafu huifaidi kama ambao wanaipata pasi kuvuja jasho?