umbea...............

Nasikia toka Lizzy apotee hapa jamvini Bishanga kawa mpole na ndio hasa nia ya kutulia na mmoja ambae ni The secretary. Nimepata fununu pia kuwa Cantalisia, Mwali, @Obsesed, Smile na Okya walifumwa wakijadili jinsi gani wanaweza kujisajili kikundi cha wadada wa mjini kwa madai kuwa wanataka wawe wana run lile city la Jamii. Hata hivo hilo lengo lao liliingia dosari kwa sababu hawakuwashirikisha dada zao wakubwa kama Zion Daughter, Roulette, FirstLady1, Chauro, WiseLady, Preta, blacki womani BelindaJacob na Keren_Happuch.

Nasikia chama kuu MMU cha Infidel kinakufa kiutendaji baada ya Kaizer kuonekana anaenda kinyume na sheria mama za chama. Hio imefanya Darling shem Asprin akiongozwa na @RR, waite kikao cha dharura cha wanachama wachache tu; yaani Kimey, TIMING, Dreamliner, Baba_Enock, Fidel80, Teamo, The Finest, The Boss, klorokwini, Memo, Bigirita, kwa ajili ya hatma ya hicho chama.

Pia toka chama cha wabeba ma box kisajiliwe na Nyani Ngabu hapa jf nimepata tetesi kuwa kimepata wanachama wengi sana (atae hakiki hizi habari nitashukuru sana), wakiwemo jmushi1, BAK, Kiranga, Steve Dii, Mr Rocky majina mengine sijasikia... Ila Mzee Dark City hata hiyana atanipatia tu. lol

Nilitaka kusahau, soon kwa yeyote mwenye sherehe inayohitaji mapambo na maposhi ya cake afrodenzi kafungua kampuni.
Well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:


1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

4-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

5-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

7-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

8-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

9-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

10-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

11-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

12-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.

13-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.

ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!

kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu....
 
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.​

Asprin, ulisahau kumpa dozi ya asprin mgonjwa atulize maumivu. Naona yanayoendelea sasa ni mwaga mboga mi ntamwaga ugali...Zamani ilikuwa mwiko kupinga initiative za boss mbele ya luninga. Siku hizi ruksa
 
Last edited by a moderator:
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.​
hahahah!!! usinifurahshe!!! wakati yupo serikalini ilikuwa ni tym ya ufisadi kwanza!!!
 
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.​
hio habari niliisoma jana na jion nilipata nafasi ya kukaa kijiweni na wazee fula mida ya kahawa ya jion tukalijadili hili binafsi namuunga mkono mia kwa mia. kilimo kwanza hakiuanza akiwa madarakani kama waziri mkuu bana kumbuka vizuri.
 
mmh! wakati nyie ndo wenyewe kwa umbea sema bana kidogo ninong'oneze basi.

Sisi umbeya tumeacha siku hizi...tunakazana kutafuta pesa sabuni ya roho. Nikisema umbeya naogopa kuletewa tarumbeta gfsonwin. Ila heru yako kazi umemaliza...mimi nategea sasa hivi ntakimbia jukwaa
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nivae skin tite nije, manake nguo za siri zitakuwa sio siri tena. Tatizo mie ugomvi wangu kama wa ccm, ni risasi tu! Ngumi wala maneno siyajui!
Bishanga ungeacha umbea kwanza ukangoja saa ya biya na Asprin na BAK wakiwepo ili upate walau ofa. Kufulia kubaya, pole rafiki
 
hio habari niliisoma jana na jion nilipata nafasi ya kukaa kijiweni na wazee fula mida ya kahawa ya jion tukalijadili hili binafsi namuunga mkono mia kwa mia. kilimo kwanza hakiuanza akiwa madarakani kama waziri mkuu bana kumbuka vizuri.
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Abdulrhaman Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.​


 
Hello Chit Chat

ni mara chache sana kupost jukwaa hili...mara nyingi huwa ni mchangiaji au msomaji wa masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea kutokea kila siku nchi hii..........

Upepo wa kisiasa umeendelea kuibadili nchi yetu kila kukicha....si jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tena vijijini wakijadili mambo mbalimbali ya kisiasa....

nakipongeza pia chama changu cha Chadema kwa kuendelea kuwaamsha watanzania walio wengi juu ya mambo muhimu yanayowahusu na wanachopaswa kukifanya...binafsi nimeamshwa zamani sana.........

sina shaka na uwezo wa wana CDM katika kuwamsha watanzania walio wengi ........katika kujazia kile kilichozungumzwa na bwana Sita leo.........naomba pia safu nzima ya wana CDM kila mmoja kw anafasi yake ajitazame upya status yake maritually..........viongozi (wa CDM) wengi wao wamekua na status zinazofanana na sio sifa nzuri kwa kiongozi hasa wa kiafrika.kama kweli tunatetea tamaduni zetu za Kitanzania tulizorithishwa na babu zetu basi tuliangalie na ilo,na kama kweli tunajiandaa kuchukua dola ya nchi hii..tujipange safu hiyo....................huu ni mtazamo wangu na wala siwakilishi mawazo ya mtu mwingine...viva CDM

uri ni kwamba mnawaamsha ambao hawana tija kwa taifa hili wenye tija tumetulia tunasubiri 2015 mwone kivumbi hata NRA na SAU tutavipigia kura.
 
Rais wa Botswana hajaoa.

Na Botswana imetupita kiuchumi mpaka uongozi bora na demokrasia.

Go figure.

Hivi
yule bibie wa malawi keshaolewa tena? Nafikiria udalali wa match making (sio ukuwadi ikiwa kwa masuperstars)
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Abdulrhaman Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.​

inaelekea nyie TICKS mnamuhujumu.
 
Hivi
yule bibie wa malawi keshaolewa tena? Nafikiria udalali wa match making (sio ukuwadi ikiwa kwa masuperstars)

Please do it for me...market me...nakuhakikishia sitawaangusha. Ntahakikisha mama anakubali mpaka urudi katikati ya ziwa maana ntamlea vizuri ati
 
Mie nataka... lol

sheria namba 13: Mara baada ya kufanya infidelity hakikisha UNAOGA na sabuni zisizotoa harufu- vile visabuni vya gesti kama GIV ni MARUFUKU kutumika baada ya infidelity

Sheria no 15: Kagua andawea uliyovaa kabla hujatoka kwenye infidelity room. Ni KOSA LA JINAI kwa infideletaz/infideleez kurudi nyumbani akiwa amevaa andawea ya mgombea mwenza. Futa msg, call logs zote kwenye simu kabla hujagonga mlango unaporudi kwa mwanandoa mwenzio. Hakikisha unaweka call barring kabla hujalala! Security codes ni MARUFUKU kwa kuwa zinaweza kuleta mashaka
 
hahahahhahah!!! we acha uoga!! mchawi ukimuonesha unamuogopa ndio anakuroga vzuri!! full ukauzu!!

Ukifanya hivyo asubuhi utatokaje ndani ya nyumba yako? Utaamka saa kumi usiku kuwahi kazi au inakuwaje? Ukauzu una maeneo yake...kama kwenye zile baa zetu ni kuleta ukauzu kwa kwenda mbele, teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom