Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

Acha kushabikia uharimia
Mkuu ndoa za utotoni zina ongozwa na Africa India ya pili pakistan afghanistani ya sita neenda google upate data "child marriage" kama utaiona Tanzania kua katika 10 bora. Acheni propaganda za Wazungu mue mnachuja taarifa zao.
 
Sasa Tanzania ndoa za utotoni si kinyume cha sheria kama ilivyo ukeketaji.
 
Western propagandist hamna ukweli wowote, hizo propaganda ndo zilichezewa Africa kwa mda mrefu ili kujustify misada yao, mbona hawaandiki kuhusu ushoga unao fanywa kwa watoto wadogo katika mafunzoni ya dini
Walioandika hapo ni Pakistan
 
Mbon kawaida sana nenda India ukaone sio mada wagalatia :DHuo ndio uchumi uliachwa na mabwana zenu wazungu na wameupandisha wana projects kibao zinakuja , moja wapo ni kilimo .

Kama ni ishu kubwa sana hayo BBC wamejaza kweny taarifa zao.
Hata "honour killings" ni kawaida sana India na Pakistan.
 
Hata "honour killings" ni kawaida sana India na Pakistan.
Taliban ndio imepandisha uchumi hayo ni matatizo ya mabwana zenu wazungu, kama ukisoma hapo wamesema sio sababu ya sharia na hali ya kiuchumu.

Safaru imeimarika maradufu baada ya kuingia Taliban, mikakati ya njaa ndio hiyo wameanza na mapinduzi ya kilimoa. Wale mabwana zako waliacha njaa sana kwa kupenda pesa.
 
C unaona upumbavu kama hu, wewe unafikiri kila mtu anafuata utamadini wenu wa kimakonde, India mpaka leo huo utamaduni wanao mtoto kutafutiwa mchumba angali mdogo ila mahusiano huja badaye akikua sasa nyie hufikiri kwa mihemuko na chuki zenu.
Ni kweli huko India hutafutiwa mchumba akiwa mdogo ila sio kumuingilia akiwa na miaka 9 bro.
 
Mbon kawaida sana nenda India ukaone sio mada wagalatia :DHuo ndio uchumi uliachwa na mabwana zenu wazungu na wameupandisha wana projects kibao zinakuja , moja wapo ni kilimo .

Kama ni ishu kubwa sana hayo BBC wamejaza kweny taarifa zao.
1715706721113.jpg
 
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.

Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.

Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisajl chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
View attachment 2990505

Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.

Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.

Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
View attachment 2990505
Jana niliona taarifa fulani ya uchunguzi, ipo youtube. Jinsi Arabuni, especially Kuwait wanavyouza wadada wa kazi kama bidhaa kwenye website za e_commerce.

Na wengi wanaouzwa ni waafrica. Inasikitisha sana.

View: https://youtu.be/2IdII_n28e0?si=6TZDFGN0Cc6CJULW
 
Muasisi wa hii tabia ya kututwaa tutoto aliianzisha mudi "the lustful one" baada ya kukitwaa kiaisha
 
Naona umeandika utumbo wa hali ya juu Shehe wangu. Umewahi kujitetea kihovyo ukihisi muda si mrefu wadau wakiamka wataleta ushindani wa kidini na kurefer Muddy(57) na bi. Aisha(6) then kuanza kumuingilia akiwa na miaka 9. Subiri, vita vinakuja kwenye huu uzi kuanzia saa 1 asubuhi hii.
Aisee jamaa ulitabiri jambo nimepost jambo langu hapo juu then baada ya muda ndio naiona comment yako ikitabiri jambo hilo nililolipost
 
Back
Top Bottom