Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Castro alikuwa mwehu sana .
.. kuna ile moja aliyo mnywesha demu wake wa AMERCA ..sharubati ili mimba aliyobeba ( ambayo ni ya castro ) iharibike .. demu alipo ondoka kurudi kwao USA akakutana na CIA wakamjaza upepo kuwa Castro ni mtu mbaya ameitoa mimba yake ...so wakamuagiza cuba ili akamuue ... demu alipo fika tu kwa castro ... castro akampa bastola akamwambia najua umekuja kuniua haya chukua bastola hiyo unimalize kama utakavyo.... (demu akaanza kulia nakumwaga siri yote ) hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna uzi wowote humu wa kumuhusu castro!!kama upo na unaufahamu naomba uniite tafadhali.ninataka kumsoma huyu jamaa vizuri
 
Kwa sasa ujasusi umehamia kwenye teknolojia zaidi. Mambo ya kutumia wadada yalikuwa zamani san sio sasa. Naona bdo uko nyuma mkuu.

NAOMBA LEO NIKUTOE TONGO TONGO LA UFAHAMU KIDOGO.., JE WAJUA HICHI KIFAA CHA UJASUSI? - JamiiForums
Mkuu kwa huku africa technologia bado sana mambo mengi bado yapo kwenye makaratasi so izo mbinu they are kind of old school but effective mi nimeishakutana nao hao nikaishia kuwatafuna kuna mmoja alikua anajitahidi kumshtua mwenzio kuwa asijisahau ila sasa kale kabinti kallisha nipenda maskini then alikua amezalishwa na jamaa then akamtelekeza so nikawa nakabembeleza kakasahau hadi mission aliyotumwa
 
kalikuwa kajinga sana.
 
Hawa watu wanatumika sana, kuna mkenya alikuwa akileta poda maskani flani A town alikutanishwa na hii kitu kuanzia aliooondoka na huyo demu hatukuwahi kuona hata ukope wake na biashara ya masogange mtaani ikaishia hapo. Ni habari ndefu.
Udhaifu wetu uko pale kati bila kujali kama ameinama, amelala chali au kifudifudi

Jr
 
Hawa watu wanatumika sana, kuna mkenya alikuwa akileta poda maskani flani A town alikutanishwa na hii kitu kuanzia aliooondoka na huyo demu hatukuwahi kuona hata ukope wake na biashara ya masogange mtaani ikaishia hapo. Ni habari ndefu.
Kwa hiyo Mkenya alikuwa mdananda anafanyia kazi upande wa nchi yake au alikuwa na mishe haramu?
 
Hawa watu wanatumika sana, kuna mkenya alikuwa akileta poda maskani flani A town alikutanishwa na hii kitu kuanzia aliooondoka na huyo demu hatukuwahi kuona hata ukope wake na biashara ya masogange mtaani ikaishia hapo. Ni habari ndefu.
Tupe japo kwa kifupi tuu namna ilivyokuwa.
 
Tuseme ungekuwa mwalimu wangu wa kiswahili ningekuwa nakaa dawati la mbele Nikuulize zaidi,,,
Huyu mchicha mwiba ana viwatilifu gani,,,ni yule anaetafunwa tuu??
Maana kuna anaetafunwa ili akatafune.!#
Huyu ni ngangaripoa.. Sometimes yes sometimes no... Kuna wakati anakuwa jinsia pinzani kuna wakati anakuwa yeye
 
Back
Top Bottom