Kuna movie 1 hivi nimeisahau jina ... ameigiza yule manzi WA kwenye nikita ... inahusu masuala ya ujasusi .... Jamaa wana kamata mabinti wa dogo kisha wana wapeleka kwenye campus yao " porini huko ... kisha wanaanza kuwapatia mbinu mbali mbali za kijasusi ... mabinti wale walipofika stage ya kuvunja ungo " waliletewa wanaume wakawabaka vibaya sana _ baada ya pale wale mabinti wakawa nachuki kubwa Sana dhidi ya wanaume "-- wakaendelea kupatiwa mafunzo makali " baada ya kuiva " wakaanza kupewa tenda mbali mbali za kijasusi .... ni hatari aise
Sent using
Jamii Forums mobile app