Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

. View attachment 1000790View attachment 1000791

Jr
Kwenye kitabu hicho husika wanawake walikuwa wanauliwa hisia zao za upendo kwa njia ya ajabu mno
Kwanza wanawekwa kwenye jumba la kifahari mno na kupewa huduma zote muhimu kasoro ngono, na hawawezi hata kusagana kwakuwa kila mtu anakuwa kwenye chumba chake pekeyake
Halafu kila wiki wanawekwa kwenye swimming pool nzuri mno wakiwa uchi kabisa halafu wanaletewa wanaume mahanithi waliohasiwa
Kwahiyo pamoja na hamu zao zote lakini hakuna wa kuwatimizia... Hii hali inaendelea hivyo mpaka wanawaona wanaume ni kama wao tu...
Training za kuwaua kihisia ni nyingi na wanapothibitishwa kuiva huanza Sasa kufundishwa ujasusi... Na watafanya kile watakachoelekezwa tu
Very nice mkuu mshana, hiki kitabu naweza kukipata wapi
 
Nguvu ya mwanamke ndio inatawala dunia ... Unaweza kubisha na kukataa katakata lakini huu ndio ukweli... Hebu turudi kwenye uumbaji wa ulimwengu kiimani
Uumbaji wa mwanzo wa binadamu ulifanyika siku ya sita baada ya vingine vyote kuumbwa.. Aliumbwa Adam... Simulizi nyingine zinasema Adam aliumbiwa msaidizi sambamba naye, huyu aliitwa LILITH... lakini hawakuwa pamoja kwa muda mrefu kwakuwa walishindwana sababu ikiwa LILITH alitaka kuwa sawa na Adam ama zaidi kwenye maamuzi nk
Baadae Adam alitafutiwa Eva/ Hawa kutoka katika mifupa ya ubavu wake... Huyu mwanamke alipaswa kumsikiliza Adam kwenye kila kitu.... Lakini kwa bahati mbaya kabisa ndio alikuja kumteketeza...
Simulizi za kiimani na kihistoria zinamtaja mwanamke kama kishawishi Kikuu kisichopingwa kwa namna yoyote ile na mwanaume... Inteligensia ya kijasusi ya enzi hizo ile ya wafilisiti ilimtumia binti mrembo Delilah kumnasa Samson mwenye nguvu za asili..
Kifo cha Abdel Nasser rais wa Misri miaka ile ya 70, kinahusishwa na mwanamke... Kwamba Nasser akiwa tayari ameshaandaa midege ya kivita 600 kwenda kuiteketeza Israel, mashushu wa Israel waligundua kuwa mmojawapo wa makamanda wa juu wa jeshi la Misri, alikuwa kamuoa binti wa Israel... Mwanamke huyu ndio alitumika kupata siri zote toka kwa mumewe ni lini na saa ngapi Misri wataishambulia Israel... Siku tarajiwa ya mashambulizi ndege zote 600 za kivita za Misri ziliteketea uwanjani kabla ya kuruka...
Nick Carter kwenye novel yake ya slave master anatufunulia siri za kijasusi za ulimwengu kuwa viongozi wakuu na marais wa mataifa muhimu duniani huwekwa na kikundi cha kijasusi cha watu maalum.. Hiki kikundi cha watu hawa maalum ndio kinaamua hatima ya dunia...

Wanafanikiwaje kwenye misheni yao hii? Wanafanyaje?
Nick carter katika simulizi yake haongelei utumwa wa kimwili ule wa kufungwa minyororo, anaongelea utumwa wa kihisia na kiakilia.... Huu ni utumwa mbaya kuliko ule wa kufungwa minyororo

Kinachotokea ni hiki
Kwa mujibu wa Carter hili kundi la watu maalum wenye kuamua hatima ya dunia ni kundi tajiri na lenye nguvu kubwa kijamii, kisiasa, kijeshi, kiusalama michezo, bishata na mahusiano ya Kimataifa.... Hili kundi wana madanguro yao first class, madanguro ya wasagaji, wasenge, ngangaripoa mpaka malaya.... Lakini hawa wote wamepitia mafunzo ya kikatili yaliyouwa hisia za upendo na kujali na wanafanya kile walichotumwa tu kufanya... No love attractions hata uwawekee dola million moja
Sasa nyakati za Nick Carter anaandika novel yake tech ilikuwa si kama leo hii... Lakini iwe ni malaya, msenge au lesbian ukitoka naye lazima akurekodi kwa matumizi ya baadae kwa maagizo ya mabosi wake
Hili kundi maalum ndio liliamua nani awe nani lini na wapi... Na lilifadhili shughuli zake za kiofisi, mtaani nyumbani, kwenye starehe na uchafu mwingine... Lakini huko kote walichukua kumbukumbu za maandishi, sauti na video

Sasa watu hawa watakupandisha mpaka wanapotaka uwe kisha wataanza kukutumia kwa maslahi yao makubwa... Kwa mfano wanakuweka kwenye post ya waziri wa ulinzi halafu wanakwambia tuna silaha nyingi kwenye stock lakini hatuna soko, hivyo unapewa jukumu la kuchonganisha mataifa ama jamii fulani ili wafarakane na kugombana... Ukikubali uko salama ukibisha wanakuletea mzigo wa picha za mnato, sauti na video za machafu yako uliyofanya...
Unapewa option mbili kubali matakwa yetu upone kataa tutoe siri.... Hiyo ndio slave master inavyofanya kazi....
Miaka miwili nyuma kulikuwa na TETESI za majasusi warembo sana wa kike wa nchi jirani kumwagwa Dodoma, Dar, Arusha na miji mingine muhimu.... Sijui walifanikiwa kiasi gani... Lakini aliyewatuma kama katumia MFUMO wa Nick Carter basi tunaishi utumwani bila hiari na bila kujijua

Jr
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa castro wote walichemka, alikuwa anawala na asubuhi anawaambia najua kilichokuleta ningetakakukuua ningekuua lakini ni kwa sababu ni mzuri na umenifurahisha, anawaacha na pesa anawapa na anawaambia wapeleke salamu kwa waliowatuma
Castro alikuwa mwehu sana .
.. kuna ile moja aliyo mnywesha demu wake wa AMERCA ..sharubati ili mimba aliyobeba ( ambayo ni ya castro ) iharibike .. demu alipo ondoka kurudi kwao USA akakutana na CIA wakamjaza upepo kuwa Castro ni mtu mbaya ameitoa mimba yake ...so wakamuagiza cuba ili akamuue ... demu alipo fika tu kwa castro ... castro akampa bastola akamwambia najua umekuja kuniua haya chukua bastola hiyo unimalize kama utakavyo.... (demu akaanza kulia nakumwaga siri yote ) hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana Mc Chachandu alitoa chozi siku ile ya kumvisha pete totoz lake.. Mapenzi Upofu..

#Muungwana_John
Haha sasa yule si-mwehu hauwezi kumfananisha na watu maridadi wa kufikiri ... wewe unadhani yule anawaza nini zaidi ya ule umaarufu uchwara na uchi... yule hata wewe kama sio undercover ukim-spy haumalizi week umeshajua data zake zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Castro alikuwa mwehu sana .
.. kuna ile moja aliyo mnywesha demu wake wa AMERCA ..sharubati ili mimba aliyobeba ( ambayo ni ya castro ) iharibike .. demu alipo ondoka kurudi kwao USA akakutana na CIA wakamjaza upepo kuwa Castro ni mtu mbaya ameitoa mimba yake ...so wakamuagiza cuba ili akamuue ... demu alipo fika tu kwa castro ... castro akampa bastola akamwambia najua umekuja kuniua haya chukua bastola hiyo unimalize kama utakavyo.... (demu akaanza kulia nakumwaga siri yote ) hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa naskia alikuwa na hisia sizokuwa za kawaida ndiyo maana mitengo mingi alikuwa akiitengua..
 
Labda kwenye Nikita hakua main character maana simkumbuki,ila ni movie nzuri inayoshabihiana na mada ya mwenye uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna movie 1 hivi nimeisahau jina ... ameigiza yule manzi WA kwenye nikita ... inahusu masuala ya ujasusi .... Jamaa wana kamata mabinti wa dogo kisha wana wapeleka kwenye campus yao " porini huko ... kisha wanaanza kuwapatia mbinu mbali mbali za kijasusi ... mabinti wale walipofika stage ya kuvunja ungo " waliletewa wanaume wakawabaka vibaya sana _ baada ya pale wale mabinti wakawa nachuki kubwa Sana dhidi ya wanaume "-- wakaendelea kupatiwa mafunzo makali " baada ya kuiva " wakaanza kupewa tenda mbali mbali za kijasusi .... ni hatari aise

Yeah nmeikumbka(walibaki watatu tu ambao waliqualify mafunzo)ila hyo ni ya muda kidogo tofaut na ninayoizungumzia,ni kweli hata hiyo ina maudhui hayo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna movie 1 hivi nimeisahau jina ... ameigiza yule manzi WA kwenye nikita ... inahusu masuala ya ujasusi .... Jamaa wana kamata mabinti wa dogo kisha wana wapeleka kwenye campus yao " porini huko ... kisha wanaanza kuwapatia mbinu mbali mbali za kijasusi ... mabinti wale walipofika stage ya kuvunja ungo " waliletewa wanaume wakawabaka vibaya sana _ baada ya pale wale mabinti wakawa nachuki kubwa Sana dhidi ya wanaume "-- wakaendelea kupatiwa mafunzo makali " baada ya kuiva " wakaanza kupewa tenda mbali mbali za kijasusi .... ni hatari aise

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaitwa Naked Weapon mjomba.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom