Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Ujasusi ule wa "first grade" hauhitaji hawa viumbe, kuna sehem bdo wanatumika lkn kadri siku zinavyoenda ndivyo nafas zao zinazid kumezwa na teknolojia. Mfano ni kuja kwa "spy camera" zenye umbo km la mbu, nadhan ni ww ulileta uzi wake km sikosei. Sasa badala ya kumtuma mwanamke akaspy kwa mtu fulan basi camera ndo znatumika.
Sidhani kama umewaza vema, hiyo tech nayo inahitaji trained trustfull to run them halafu between starting n ending the mission hapo kati lazima binadamu ahusike na kuna mazingira ya kuwin moyo wa mtu hapa tech si lolote si chochote

Jr
 
Hapa inategemeana na wanaume. Kuna character na trait tofauti tofauti za wanaume.
Si wote wanaingilika kirahis. Wengine ni smart sana.. wengine tamaa.. wajinga. So it depends
Wanawake tuko vzuri hyo sector na mwanaume yoyote ni dhaifu kwetu wanawake tukiamua kumuigizia vzuri hatoboi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honeytraps is no more relevant ktk dunia ya sasa kweny maeneo nyeti. Labda zile mission ndogondogo tuu.
Hivi we kweli wakumuona Mshana yuko nyuma. Hiyo mbinu bado ipo tena kwa ukubwa tu kwasababu hisia za wanaume kwa wanawake ni suala la uumbaji halizuiliki. Kwahiyo tukichukua technology na hao honey traps wanasaidiana kutimiza malengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa sio miungu mkuu. Unaweza wagundua only if you pay attention to details.
Kuna kitabu kimoja aliandika FBI agent. How to spot a spy.
Nitakiweka hapa. Kina mbinu zote.
Mwanamke ambae ni spy ana one weakness nayo "interest" .. hapa pia unaweza wakamata madem wadangaji waongo matapeli hata wapretend kivip.

Pay attention to their interest.. utafaham vitu vingi sana. Binafsi hiko kitab kimenisaidia kuweza kuwagundua wanawake wa aina hii hata kabla jhawajamake first move toward me. And let me tell you it is very possible.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee mkuu tuzinase hizo mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujasusi ule wa "first grade" hauhitaji hawa viumbe, kuna sehem bdo wanatumika lkn kadri siku zinavyoenda ndivyo nafas zao zinazid kumezwa na teknolojia. Mfano ni kuja kwa "spy camera" zenye umbo km la mbu, nadhan ni ww ulileta uzi wake km sikosei. Sasa badala ya kumtuma mwanamke akaspy kwa mtu fulan basi camera ndo znatumika.
Sawa lakini wale mbu ni robots kuna wakati lazima convincing power itumike, hisia na lobbing pia

Jr
 
. View attachment 1000790View attachment 1000791

Jr
Kwenye kitabu hicho husika wanawake walikuwa wanauliwa hisia zao za upendo kwa njia ya ajabu mno
Kwanza wanawekwa kwenye jumba la kifahari mno na kupewa huduma zote muhimu kasoro ngono, na hawawezi hata kusagana kwakuwa kila mtu anakuwa kwenye chumba chake pekeyake
Halafu kila wiki wanawekwa kwenye swimming pool nzuri mno wakiwa uchi kabisa halafu wanaletewa wanaume mahanithi waliohasiwa
Kwahiyo pamoja na hamu zao zote lakini hakuna wa kuwatimizia... Hii hali inaendelea hivyo mpaka wanawaona wanaume ni kama wao tu...
Training za kuwaua kihisia ni nyingi na wanapothibitishwa kuiva huanza Sasa kufundishwa ujasusi... Na watafanya kile watakachoelekezwa tu
Hii kitu ipo sana mfano kuna movie inaitwa red sparow 2018 kwa waliobahatika kuiona wataelewa vizuri jinsi wanawake wanaondolewa hisia zao za kimwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa sio miungu mkuu. Unaweza wagundua only if you pay attention to details.
Kuna kitabu kimoja aliandika FBI agent. How to spot a spy.
Nitakiweka hapa. Kina mbinu zote.
Mwanamke ambae ni spy ana one weakness nayo "interest" .. hapa pia unaweza wakamata madem wadangaji waongo matapeli hata wapretend kivip.

Pay attention to their interest.. utafaham vitu vingi sana. Binafsi hiko kitab kimenisaidia kuweza kuwagundua wanawake wa aina hii hata kabla jhawajamake first move toward me. And let me tell you it is very possible.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbinu mm pia imenisaidia san, kuna ladies kibao nmewahi watongoza na wakakubali, lkn hapo ndo huwa mwsho wa story
 
Kwa castro wote walichemka, alikuwa anawala na asubuhi anawaambia najua kilichokuleta ningetakakukuua ningekuua lakini ni kwa sababu ni mzuri na umenifurahisha, anawaacha na pesa anawapa na anawaambia wapeleke salamu kwa waliowatuma
Duuuuuuuhhhhhh Castro aligoma kutoa data
 
Miaka miwili nyuma kulikuwa na TETESI za majasusi warembo sana wa kike wa nchi jirani kumwagwa Dodoma, Dar, Arusha na miji mingine muhimu.... Sijui walifanikiwa kiasi gani... Lakini aliyewatuma kama katumia MFUMO wa Nick Carter basi tunaishi utumwani bila hiari na bila kujijua

Jr
Kumbe hata ile tetesi ya kwamba Mr
1548084050657.png
amefanya 'compromise of information' kwa Mr C2H50H kiasi imekuwa rahisi kwake kumpelekesha inaweza kuwa kweli eh?
 
Mpaka huku jf wapo. Ukiwa mzembe utawapa details zako zote. Mwishowe wanakukamata kama kuku wa kisasa .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nawashangaa wanaume wanaotafta wachumba umu na kuna wanawake umu nao wanajifanya kutafta wachumba, na madume wanawafata pm na kuwapa details zao! Alaf mtu u najiita Great Thinker!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaasa wanaume kuwa makini. Huko ni kuji expose vibaya mno.
Infact nawafaham kama watatu hiv.. sijamaliza uchunguzi wangu ila the way walivyokuwa wanauliza maswali.. na mambo ambayo wanataka kujua. It clearly ni watu wa mjengoni.
Sitowataja majina

Back
Top Bottom