Mshana Jr..mwanamke ameumbwa na vitu vifuatavyo
1.extra strand on their DNA.
2.uwezo wa kutunza siri kwa mda mrefu..
3.multitasking..uwezo wa kifanya kazi zaid ya moja kwa wakat mmoja..
4.good memory(more than 5+-2)
5.versatility..
Sasa akiwa trained kwa kazi hizo na kwa mlengo huo hiwa hawamis target..mafunzo yao yanachukua mda mrefu sana..na screening yao hufanywa na wataalam wabobezi..huwa wanakiwa trained kila eneo...hata kufanya ngono wanakiwa traines..si kweli kwamba huwa wanaondolewa hisia..no...no..maana bila hizo ufanis wa kaz unakiwa mdogo...isipokuwa tangu mwanzo anapoanza kukutrap huwa kuna calculation anazofanya ni mda gan utoe siri..na mara nyingi siri nyingi huzipata punde tu mara baada ya mwanaume kupiga bao(ipo sababu)
Popote walipo wana silaha..na silaha zao nyingi ni vitu ambavyo huwez kuvidhania mfano..banio la nywele,lipstick,kioo kidogo,bangili,vidonge maalumu...na wamefundishwa mbinu na namna ya kutumia na kuondoka bila kuacha alama...
Kuna maua flan hiv huko iringa(mafinga) ..yapo sana..hayo hutumika hasa kwa ajili ya kuamshia ashki ya mwanaume..maua hayo yanasagwa na kuwa unga..kisha kwa ustadi mkubwa anakupaka mwanaume shingoni au puan na ukishavuta ile harufu(wala huwez jua)bas ashki zitapanda na utataman kufanya mapanz na hapo yy atatumia taaluma yake kukufanya useme kile ambacho hukupaswa kukisema....
Na huwa hawana haraka..unawwza kaa nae ktk mahusiano hata mda mrefu ili akujengee iman...
Jambo la msingi la kujua ni kwamba ujasusi unahitahi mtu sahihi na sio mtu mwerevu..(right person and not the best one)..wanawake ni wazur sana katika hili..wanaume wana flaws nyingi sana..hata wanawake wapo wwnye flaws lakin si kama wanawake..
Mpaka leo wapo ..na wataendelea kuwepo sana..mipango mingi na siri nyingi huvuja kupitia watu hawa...
Nimevutiwa na huyo lilith..nimekutana na simuliz hizo na nimeona vitabu huku niliko na watu wanaamini kuwa ndivyo ilivyo..(japo ni jamii ndogo)..
Otherwise..women are by far ahead of men in that field..