Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Yule dada sijui ameishia wapi.. hollywood sijajua kwanini hawampi tena shavu siku hizi maana ni moja kati waigizaji wakike ambao wanamudu vizuri action movies ukiacha Angelina Jolie..

#Muungwana_John
Mbona yupo fresh tu anasongesha series la Designated survivor na yule jamaa wa 24 series. Noma kaka
 
Dah....Gu Aji Mer analijua vizuri Sana hili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
.
Dah....Gu Aji Mer analijua vizuri Sana hili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1-1.jpeg


Jr[emoji769]
 
. View attachment 1000790View attachment 1000791

Jr[emoji769]
Kwenye kitabu hicho husika wanawake walikuwa wanauliwa hisia zao za upendo kwa njia ya ajabu mno
Kwanza wanawekwa kwenye jumba la kifahari mno na kupewa huduma zote muhimu kasoro ngono, na hawawezi hata kusagana kwakuwa kila mtu anakuwa kwenye chumba chake pekeyake
Halafu kila wiki wanawekwa kwenye swimming pool nzuri mno wakiwa uchi kabisa halafu wanaletewa wanaume mahanithi waliohasiwa
Kwahiyo pamoja na hamu zao zote lakini hakuna wa kuwatimizia... Hii hali inaendelea hivyo mpaka wanawaona wanaume ni kama wao tu...
Training za kuwaua kihisia ni nyingi na wanapothibitishwa kuiva huanza Sasa kufundishwa ujasusi... Na watafanya kile watakachoelekezwa tu
mwanamke ni mashine hatari sana nani ataniambia sababu za gadafi kuwaamini mwanamke kama walinzi wake
 
Aliajiri mabikira tupu ndio kilikuwa kigezo number moja
mwanamke ni mashine hatari sana nani ataniambia sababu za gadafi kuwaamini mwanamke kama walinzi wake

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ukute mtoto ndio anajua kufyonza mjulubeng wako kitandani. Kitu mnato af anakusikiliza sana na kukubembeleza mno mbona unaropoka siri zote tu yani akikohoa tu upo nyumbani.
Tena ukute mwingne ana utundu wa kuchange gear anagani aisee... akiwa jikoni glass ziki gongana unahis ana kuita....! Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom