Ulokole wa wana Jf

Hao walokole ni wanafki wakubwa. Kama si wanafki basi wanaumwa akili au wako mbioni kuumwa akili.

Wale wanafki ndo vinara wa maovu. Ulokole wao ni zuga tu. Ukiwachimba kwa kina utagundua wengi ni mafisadi mamboleo.

Sadakta...
mbona humuulizii Jasu siku hizi
 
"Wasanii wanaigiza kaole CD dukani kina dada wanaigiza ulokole miili buchani"-B Boy Stereo
 
Hao walokole ni wanafki wakubwa. Kama si wanafki basi wanaumwa akili au wako mbioni kuumwa akili.

Wale wanafki ndo vinara wa maovu. Ulokole wao ni zuga tu. Ukiwachimba kwa kina utagundua wengi ni mafisadi mamboleo.

We juzi hapa si ulikuwa unatetea ulibereli?
Leo machangudoa una walaani!

Yaani wewe ni 99% mliberali!
Unapenda wanamme! Na unachukia wanawake!
Una laana wewe!
Nyani mdogo!
 
Jamani sio siri JF ndo mwake, boflo we umeokoka? basi fumba macho tusali.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…