Ujirani mwema sio kutumiana majeshi tu, ila ilitakiwa Rwanda itume wataalamu wa kutengeneza Ikivuguto huku Tanzania kwenye hizi jamii za Wafugaji kama Wasukuma Wanyaturu nk. Ili Watu wajipatie kipato na pia Wananchi tuburudike na Ikivuguto.Lakiini naamini, ukijifunza kutengeneza na ukawa na mtaji wako, Tanzania ngombe wapo wa uhakika.
Hasa ukizingatia nyie huko, mnao ngombe wanaokula majani ya asili,
Mzigo ukiwa border, washikaji wanafanya kila kitu. Kikubwa tu uhakikishe mali yako ni safi na salama kwa kuliwa na binadamu.Hii Certificate of import Unapata kwa kupeleka samples Au ni taratibu gani Unafanya,Au mpaka mzigo ukiwa boda
Rwanda haina jukumu hilo mkuu.Ujirani mwema sio kutumiana majeshi ila ilitakiwa Rwanda itume wataalamu wa kutengeneza Ikivuguto huku Tanzania kwenye hizi jamii za Wafugaji kama Wasukuma Wanyaturu nk. Ili Watu wajipatie kipato na pia Wananchi tuburudike na Ikivuguto.
Maziwa yetu utakuta yamejazwa maji hadi ile ladha ya Maziwa inapotea kabisa.
Maoni yao ni kwamba hizo ni ndoto, na mwenye wazo hilo ni mjinga.Wananchi wa Rwanda wana maoni gani kuhusu lile jambo letu la kuigeuza rwanda kuwa mojawapo ya mikoa ya Tanzania?
jibu no.2 nitakupinga kidogo, uzoefu wa vita wa jwtz ni mkubwa kuliko hata wa rwanda, nisiingie sana ndani ila ukweli huo unaujua ww mwenyew..hilo jeshi la rwanda limepigana vita gani zaidi ya hayo makundi ya uasi?? toa mfano jeshi la rwanda limeshinda vita gani1. Kama kweli kuna wanyarwanda wamepenyezwa, japo hilo silijui, naongea mimi kama mimi, huo ni udhaifu wa nchi walikopenyezwa. Tz haina chochote cha kumtoa udenda, kwa sababu kila nchi inaishi kwa uwezo ilio nao.
2. Hapa ntaongopa. Ila, kwa nachokiona, kila moja lina sehemu lipo imara, na sehemu haliko vizuri. Tuchukulie mfano: nadhisi(japo kijeshi najua mambo yao huwezi kuyajua), jeshi la Tanzania lina vifaa vingi mno. Lakini uzoefu wa vita, halina. Sababu ikiwa toka miaka ya zamani, hao kina Kagame, wamekuwa vitani toka miaka ya ujana wao mpaka leo, kulia na kushoto, wanajeshi wake wanaendelea na vita, hivyo uzoefu wanao wa kutosha.
Rushwa popote ipo, asikudanganye mtu. Kilichopo au tofauti kubwa, ni kwamba wanyarwanda wengi wameelimika, wanajua haki zao. Na kila kiongozi, ana mkubwa wake. Kwa hiyo, kuna wengine ukiombwa rushwa, ukipeleka malalamiko, haki yako utapata.Vipi swala la rushwa (ufisadi ) limekaaje uko ni kama Tz
Halipo hivo. Wanyarwanda ni wastaarabu sana. Hata kama ni kahaba, huenda akawa anafanya kutokana na maisha magumu. Mpaka ageuke, ujue umeshindikana.Kuna dhana niliiskia Watanzania walisema kwamba ukiona Mnyarwanda, lazima atarudi kwao kupata mimba ya Mnyarwanda mwenzie, je kuna ukweli hapo?
Mi ni raia wa kawaida mkuu. Nimeongea kama mimi, na ni maoni yangu wala siyo uhalisia. Kwa hiyo, ntaishia hapojibu no.2 nitakupinga kidogo, uzoefu wa vita wa jwtz ni mkubwa kuliko hata wa rwanda, nisiingie sana ndani ila ukweli huo unaujua ww mwenyew..hilo jeshi la rwanda limepigana vita gani zaidi ya hayo makundi ya uasi?? toa mfano jeshi la rwanda limeshinda vita gani
Hata waliouliana wana mahusiano, watoto wao wanaowana. Uongozi ndo issue, raia wenyewe hawana shidaVipi sikuhizi watusi na wahutu wanaoana au bado ka ubaguzi kapo?
sawa tuendelee...Mi ni raia wa kawaida mkuu. Nimeongea kama mimi, na ni maoni yangu wala siyo uhalisia. Kwa hiyo, ntaishia hapo
Mzigo ukiwa border, washikaji wanafanya kila kitu. Kikubwa tu uhakikishe mali yako ni safi na salama kwa kuliwa na binadamu.
Nadhani ukiwa na nia, unaweza tembelea mpaka wa Rusumo, na maeneo jirani kwa uhakika zaidi. Hata ukiwa na stock yako karibu, wanaweza kununua huko.
Wewe kwenu ni Rwanda, sio Tanzania.Ujirani mwema sio kutumiana majeshi ila ilitakiwa Rwanda itume wataalamu wa kutengeneza Ikivuguto huku Tanzania kwenye hizi jamii za Wafugaji kama Wasukuma Wanyaturu nk. Ili Watu wajipatie kipato na pia Wananchi tuburudike na Ikivuguto.
Maziwa yetu utakuta yamejazwa maji hadi ile ladha ya Maziwa inapotea kabisa.
safi ila mauaji ya 1994 wahutu ndio waliuliwa wengi ndio maana walishindwa vita pia mauaji walianzisha watutsi kwa kuuua marais wahutu mara kadhaaa na waliporudia mwaka 1994 wahutu waliona enough is enough , wakaamua kulianzishaNtakujibu kwa ninavyoelewa mimi( si precision ya 100%):
1. Si kweli. kwa sababu mifano ya taasisi zenye wasomi wa mfumo wa Kifaransa, ambao walio wengi ni wale wajulikanao kama wahutu, zipo. Mfano wa Rwanda Revenue Authority, na sehemu nyingine zinazohusika na pesa. Hawa, wana nidhamu ya hali ya juu. Si watu wa kukaa na kusubiri mshahara.
2. Si kweli kwa sababu ukifatilia, utagundua vigezo vinavyotumika kuweka watu kwenye makundi hayo ya ukabila, kila upande vipo. Utampata mtutsi mfupi, kiujumla zile sifa za watutsi hana. Na mhutu, utakuta ana kila sifa ya mtutsi. Na mbali na hilo, kwa sasa hivi ni ngumu, kwa sababu watu wanazaliana.
mfano mwingine, wanawake waliobakwa na Interahamwe mwaka 1994, ni watutsi, lakini wamezaa wahutu(kwa tunavoelewa kwamba mtoto ni kabila la baba'ke). Hawa, mbona wapo kwenye hizo ngazi?
3. Hata nyumbani kwako, huwezi kumuamini sana mjakazi kuliko mke wa ndoa. Hivyo,kutokana na historia ya nchi yenyewe, kuna watu wanaujua uchungu wa maisha kuliko wengine.
3. Ukiachana na watu wenye akili finyu, ambao ni wachache, watanzania ni wakalimu, mnapendwa kwanza kwa hilo.sawa tuendelee...
3. ni kitu gani hasa wanyarwanda wanakupenda kutoka tz?? mfano sisi tunapenda wanawake wa kirwanda..
4.ww binafsi ukiambiwa uchague pa kwenda kuishi kati ya nchi za maziwa makuu utaichagua ipi na kwa nn??