miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
neno lako ni amri kwangu
sawa utaniona sasa na nitakuja kwa sababu umesema wewe
neno lako ni amri kwangu
ewaaaaaaaaaaaaaaaaah!sawa utaniona sasa na nitakuja kwa sababu umesema wewe
usicheze na fixed point
ewaaaaaaaaaaaaaaaaah!
Sasa kwenye hii post mmelike nininyie..??? Kunitaja hamnitaji halafu mnalike malalamiko....aaaffuuu mwenzenu wakitakiwa kutajwa watu kwa jambo fulani hata hakuna anayenitaja... Yaani hata Hean on earth naye huwa hanitaji.... Sijui nina nini..???
kwa nini nifanye hivyo?????Hiyo inaashiria unatishia nyau mtu mzima:biggrin1:
kwa nini nifanye hivyo?????
niamini tu
na we na kibaiskeli chako hakuna mti wa kuifungia
hahahaaa!! mrembo by flowers huyu bana!! mi nakuja kwa ungo! silipi wala silipiwi!
ntakupitia wangu.. usafiri salama sana huu..!
Naomba kujua wewe uliyeudhuria JF party za JF naya juzi pale Escape1 Ulitamani nani awepo? Nakatika Party kubwa ambayo haijawahi kufanyika Jf ambayo inatarajiwa kufanyika Serena Hotel au Hayat Resort Hotel Kilimanjaro.Je wewe unataka nani awepo?
miss chagga wewe ni muoga sana wa kuja inbox.. sijajua hasa sababu ni ipi?naomba uje unipic jamani rafiki
Duh..haka kamekuwa ka'mradi' au!? Mie sina hamu...mlikula 'wekundu wangu watatu' halafu sikuambulia hata 'Fanta kipapli'! Nilikwenda nikiwa na hamu ya kukutana na wanaJF wenzangu, niliishia kupata updates tu sijui tuko kaunta ya juu, mara kaunta ya chini..ukienda huoni mtu!
miss chagga wewe ni muoga sana wa kuja inbox.. sijajua hasa sababu ni ipi?
mkuu mbona unanitisha?
au wewe ulienda escape 2 badala ya escape 1?
I will surprise you.......Hahahaaa mi si mtu wa kuamini amini tu.
Bado hujawa very very lucky.
I will surprise you.......
wait and see
Aaa wapi!
Kusoma kwenyewe hakwishi!
Mi nnamzuka wa kumuona watu8, Mentor, Himidini, Washawasha, DEMBA, Ennie, tinna cute, Asprin huyu jamaa anajifanya babu, hana lolote zaidi ya kuwakula wenzie na mineno buku mbili!
Bila ya kukusahau na wewe mwenyewe!
...
Ni hayo tu!
Mmmmhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!Mie ndani ya nyumba this time round God willing. Na mupendhi wangu from mkoa jirani full kudeka.