Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

We mdada! Ivi unajua nimekumithi?
Tena mpango wako wa kuzama party na kujichimbia uwache mara 1! Yap kujiamini ndio kila kitu! Ebboth unajificha ficha kwani una kesi ya uhaini?

hahaa nilikuwa na kesi ya kujibu ndio maana...............

next time nitawahi kuja kabisaaaaaa
 
Umeonaeee?
But problema inakuja hapo tu pare wanaziweka kipindi cha UE! Ningependa wabadilishe tarehe ili akina mimi tuweze kuonana na wale tuwatakao!
...
Cc: KakaKiiza!
Nakuomba nikuhakikishie hili tutalizingatia na nitalipeleka katika kamati husika na tutalijadili kwa kina!nadhani tutafanikiwa!
 
Umeonaeee?
But problema inakuja hapo tu pare wanaziweka kipindi cha UE! Ningependa wabadilishe tarehe ili akina mimi tuweze kuonana na wale tuwatakao!
...
Cc: KakaKiiza!
Hakika naomba hili nilipeleke kwenye kamati husika hili nanyie muweze kupata nafasi ya kujumuika nasi!
 
Naomba kujua wewe uliyeudhuria JF party za JF naya juzi pale Escape1 Ulitamani nani awepo? Nakatika Party kubwa ambayo haijawahi kufanyika Jf ambayo inatarajiwa kufanyika Serena Hotel au Hayat Resort Hotel Kilimanjaro.Je wewe unataka nani awepo?
Mi natamani waje wadada walio single tuuu,wa double sitamani ,manake kila mtu anasema atakuja na mtu wake....
 
hii ni party ya kiutu uzima, hatutaki watoto sie, we subiri zile za radio ya mikocheni, huku waache wenyewe wenye kujua ugumu wa kutafuta ajira na kupata, kwanza nyie mkilewa mnafujo na pesa zenu za msimu kama usajili.

usajili wenyewe wa wenger pressure tupu
 
Mie nitamtuma Bibi na team ya wajukuu.....

Natamani kuwaona wajukuu zangu wa zamani na wapya!!
 
Back
Top Bottom