Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Haiishi ng'o labda niwe sober :smile-big:Jirani Mungu akijaalia...ila hakikisha mistori yako ile haikauki siku hiyo...
Haiishi ng'o labda niwe sober :smile-big:Jirani Mungu akijaalia...ila hakikisha mistori yako ile haikauki siku hiyo...
Haiishi ng'o labda niwe sober
Umeniwahi kusema natamani sana nikuone Karucee nikiwa na mpenzi Tuko pembeni yangu..pia Nyani Ngabu natamani angekuepo..
Inamaana hautakuwepo??
wale wa guta..!!
no parking space for you please!!
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaa!
Mshihiri asione hapa!
aaaffuuu mwenzenu wakitakiwa kutajwa watu kwa jambo fulani hata hakuna anayenitaja... Yaani hata Hean on earth naye huwa hanitaji.... Sijui nina nini..???
He he he, next tym nipo ndani ya nyumba, naskia kuna moja inaadaliwa iko ki -executive zaidi.
Huwapendi wakimbizi..??me natamani nikuone Ngalikihinja lakini jina lako limekaaa kikimbikimbizi hivi
Mbona wewe umataja..?? Halafu hili Mamndenyi ni sawa tu na langu, tunapishana herufi 3 tu... URUDISHE AVATAR BANA
Naomba kujua wewe uliyeudhuria JF party za JF naya juzi pale Escape1 Ulitamani nani awepo? Nakatika Party kubwa ambayo haijawahi kufanyika Jf ambayo inatarajiwa kufanyika Serena Hotel au Hayat Resort Hotel Kilimanjaro.Je wewe unataka nani awepo?