Natamani mm niwepo
wewe na nani?
Lajaaaaa. Umeshinda salama?
desh desh ndo nani sasa?
hahaha, ukiniona mimi ujue utakufa, shauri yako
Ulikuwa wapi siku zote??Babu mi natamani uwepo
Ulikuwa wapi siku zote??
desh desh ndo nani sasa?
hahaha, ukiniona mimi ujue utakufa, shauri yako
Hata mimi nitapenda sana kukuona mahali pale Mwanyasi.
Na iwe hivo, acha nife! But this must happen!
Desh deshi niliona nitajaza page maana kuna jina ni refu hilo.