Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Naomba kujua wewe uliyeudhuria JF party za JF naya juzi pale Escape1 Ulitamani nani awepo? Nakatika Party kubwa ambayo haijawahi kufanyika Jf ambayo inatarajiwa kufanyika Serena Hotel au Hayat Resort Hotel Kilimanjaro.Je wewe unataka nani awepo?

Natamani sana kuonana na dada zangu wakubwa... Madame gfsonwin na AshaDii....
 
Last edited by a moderator:
kubwa la maadui asikose kabisaaaaa ni mcheshi tofauti na alivyo
na Mentor asikose kabisaaaaaa ila safari hii itabidi unilipie sitoi promo ya bure hapa
hapa Munkari na mwekundu lazima muwepo
nataka kumsahau mtambuzi mzee wa busara hapa huyu sina wasiwasi lazima atakuja
na wachezaji walioko kwenye team ya bazazi fc wanajijua wote
na charming lady lazima uje siku ile si nikasahau kukuomba namba mamiii
na kuna kabinti kanaitwa mango g natamani aje nijue kama ni kweli under 20 au la maaana amenipeperushia ndege wangu wote huko pm

Yaani nikikosa Serena najiondoa JF.. Hata kwa Treni nitakuja!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom