Naomba kujua wewe uliyeudhuria JF party za JF naya juzi pale Escape1 Ulitamani nani awepo? Nakatika Party kubwa ambayo haijawahi kufanyika Jf ambayo inatarajiwa kufanyika Serena Hotel au Hayat Resort Hotel Kilimanjaro.Je wewe unataka nani awepo?
Aah..kila siku nazisoma plate No. tu hiyo lzm niwepoo!!!