kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,641
- 19,033
Ni kwa sababu sio after school bash
wasubiri jf school bash party......
Ni kwa sababu sio after school bash
kubwa la maadui asikose kabisaaaaa ni mcheshi tofauti na alivyo
na Mentor asikose kabisaaaaaa ila safari hii itabidi unilipie sitoi promo ya bure hapa
hapa Munkari na mwekundu lazima muwepo
nataka kumsahau mtambuzi mzee wa busara hapa huyu sina wasiwasi lazima atakuja
na wachezaji walioko kwenye team ya bazazi fc wanajijua wote
na charming lady lazima uje siku ile si nikasahau kukuomba namba mamiii
na kuna kabinti kanaitwa mango g natamani aje nijue kama ni kweli under 20 au la maaana amenipeperushia ndege wangu wote huko pm
ndo uko first year?
Heaven on Earth wala sio mkorofi. Hawezi kukutoa manundu. C ulimuona vile alikuwa mpole that day?
no namuogopa hoe
atanitoa manundu
Nataka woooooote waliokuja the previous wawepo next party..................!!
hahaa usijali kizuri kula na wenzio
am such kind af a girl who belive CARING IS SHARING lol
Baba kijacho when it comes to you...........
nakuwaga mkorofi tu
hapo penye red hawajapaona mabazazi?
kijana soma party mpaka siku ya kufa ipo usijali zinakuja nyingi tu mkuu
Party ya kubaniana hiyo!
Itakuaje party zote mbili mziweke kipindi cha UE?
Je hamhamsiki na ujio wa faiza fox, ASHAdi, @F P, gfsonwin, MziziMkavu, Nyani Ngabu, shak Boflo! na wengine wengi
Aaa wapi!
Kusoma kwenyewe hakwishi!
Mi nnamzuka wa kumuona watu8, Mentor, Himidini, Washawasha, DEMBA, Ennie, tinna cute, Asprin huyu jamaa anajifanya babu, hana lolote zaidi ya kuwakula wenzie na mineno buku mbili!
Bila ya kukusahau na wewe mwenyewe!
...
Ni hayo tu!
Party ya kubaniana hiyo!
Itakuaje party zote mbili mziweke kipindi cha UE?