Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Thread inasema wewe uliyehudhuria lakini waliocomment wengi wao sio waliohudhuria. Anyway nataka nimuone Karucee
 
Last edited by a moderator:
Thread inasema wewe uliyehudhuria lakini waliocomment wengi wao sio waliohudhuria. Anyway nataka nimuone Karucee

Ewaaaaa. Nilitaka nishangae hutaki kuniona? Lols. Tuombe uzima, nitakuwepo in the house.
 
Last edited by a moderator:
isipokuwa mimi tuuu!!

wewe utanijua lakini ukienda washroom nipo na wewe, kwenda kul nipo na wewe na hakuna kuchati ili nihahakikishe kuwa wewe uwezi nitambulisha kwa watu bila ya mimi kujua sAWA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom