Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,864
- 41,210
Anayelia lia shida jaribu kumlilia wewe utafahamu alivyo
Kuna wengine hawarudishi na urafk unakufaAnarudisha leo kesho kutwa unakopwa nyingine hujakaa sawa tutafute mtu amkope mwingine tena
Hii iliwahi kunifikirisha sana....kuna jamaa marafiki zangu kama wawili huwa mpaka wananifokea kama sikjawasaidia kiasi cha hela wanachoomba....sasa nilijaribu kuulizia kuna mchungaji akaniambia hiyo ni baraka aliyokupa Mungu amekuchagua wewe akuwezeshe ili uwasaidie wengine, yaani ridhiki zao zinapitia kwako..na hivyo hautakiwi kulalamika bali unatakiwa kumshukuru Mungu sababu hautakuja kufilisika....endelea kuwasaidia jinsi unavyoweza.....basi nimekuwa mpole....na dili hazikauki kwangu... yaani kadri wanavyoomba na ninavyotoa...miamala inasoma si kitoto...Asante MunguUshawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
Mim hakuna Baraka yoyote banaHii iliwahi kunifikirisha sana....kuna jamaa marafiki zangu kama wawili huwa mpaka wananifokea kama sikjawasaidia kiasi cha hela wanachoomba....sasa nilijaribu kuulizia kuna mchungaji akaniambia hiyo ni baraka aliyokupa Mungu amekuchagua wewe akuwezeshe ili uwasaidie wengine, yaani ridhiki zao zinapitia kwako..na hivyo hautakiwi kulalamika bali unatakiwa kumshukuru Mungu sababu hautakuja kufilisika....endelea kuwasaidia jinsi unavyoweza.....basi nimekuwa mpole....na dili hazikauki kwangu... yaani kadri wanavyoomba na ninavyotoa...miamala inasoma si kitoto...Asante Mungu
Kwa asilimia kubwa tunafananaMay be.
Ila mara nyingi napenda kuwa mwenyewe. Imagine hata Radio siku hizi huwa naona kama inanipigia kelele tu.
Maisha yangu ni kulala, kazini, kuandika ( blogging ) na mtandaoni. Siku imeisha.
Ni kweliMaisha yangu nayaweza mimi. Sema nimegundua sio mimi tu.
Kuna wengi wanaishi kama mimi.
Ni kazini, kulala, ukiamka unaperuse mtandaoni, unapika, unaoga. Siku imeisha
Mim hakuna Baraka yoyote bana
Labda nikupee namba yake akukope awe anakulalamikia kila saa utapata hizo baraka mim sizitaki
Pole lakiniMim natatua yangu kivyangu
Sasa hanipi furaha zaidi ananiongezea stress
Daaah sasa wewe ni binadamu au zombie?Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Achana nae Dina rafiki wa hivyo anakupenda ukiwa nacho ngoja uishiwe sasa kama utamuona
Mwambie ukweli kama anaweza badilika kama hawezi mwepuke taratibu
Umefanya vizuri sanaNishamchana ukweli na nimemuambia kwaherii
Alikuwa ananipa stress hakika
Mim sijawah mlilia shida maana najua nae ana shida zake napambana na hali yangu
Nna marafiki wengine hata hatusumbuani kabisa na tunaelewana na wala hawanilalamikii ,pale nilipatikanaUmefanya vizuri sana
Urafiki wa kweli ni kwa shida na raha kwa wote wawili sio wewe pekee uwe tegemezi kwa mwenzio
Bora uwe na rafiki wachache ambao unajua ukipata tatizo hata usiku wa manane wanaamka wapo upande wako
Niko poa lakinI ni lini utaacha kuniita mkuu?Uko pao lakini mkuu?
Nmeiona mpenzi.Soma pm shogaa