Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.

Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
Anza kumpa distance taratiibu mpaka unamtoa kwenye ubest friend unamuingiza kwenye uraia, mnasalimiana kila mtu anaendelea na maisha
 
Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.

Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.

Maana:

  • Situmii pombe
  • Situmii sigara
  • Situmii ugoro
  • Sibet
  • Si mshabiki sana wa mpira
  • Sivuti bangi
  • Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
  • Siyo movie enthusiasist
  • Kanisani nina muda sana sijaenda

Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Kama kote huko unakosekana bila shaka utakuwa muendekeza papuchi
 
Hata papuchi nimi siyo mdau. Halafu kuwa na hayo haimaanishi papuchi wanaacha, tena walevi ndio zao.

Baa zenye mademu ndio zinajaza. Wakilewa wanaondoka na mabaamedi.
Basi Ya onekana Unaishi Maisha ya Kizee sana Kijana....Ila Kwa Haraka Haraka Ugonjwa Wako wewe ni CHUPI.
"Acha Janja Janja"
 
Nyie Watu wa Kanda ya Ziwa..kama Utumii Vyote Ivyo..Ugonjwa Uwa Ni Chupi Tu
 
Maisha ya kizee yakoje ?

Aisee, naweza kukutana hapa halafu tukaharibu uzi wa watu.

Jadili uzi achana na mimi wewe mlevi. Endeleeni kulewa, ipo siku tawapasulia mayai.
 
Urafiki wa namna hiyo huwa haudumu kabisa....Nina rafiki wa kweli mmoja tu ambaye tukienda mahala kupata huduma aidha ya chakula ama vinywaji tunafanya kuwahiana kulipa, yaani kila mtu hataki kuwa tegemezi kwa mwenzie, sikumbuki ni lini tumekopeshana fedha.
 
Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.

Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.

Maana:

  • Situmii pombe
  • Situmii sigara
  • Situmii ugoro
  • Sibet
  • Si mshabiki sana wa mpira
  • Sivuti bangi
  • Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
  • Siyo movie enthusiasist
  • Kanisani nina muda sana sijaenda

Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?

Utakuwa workaholic...
Biashara binafsi?
Manake waaajiriwa wengi ndo watu wa bar sana...

Wajasiriamali wengi ndo workaholics..
 
Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.

Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.

Maana:

  • Situmii pombe
  • Situmii sigara
  • Situmii ugoro
  • Sibet
  • Si mshabiki sana wa mpira
  • Sivuti bangi
  • Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
  • Siyo movie enthusiasist
  • Kanisani nina muda sana sijaenda

Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
🤣🤣Kwa mfumo ulionao ni wazi umepiga bonge la ukuta....

Hiyo inaitwa "awezaye audande"!
 
Njia rahisi ya mtu anayekukwaza ni kumchana tu ukweli wa pale anapozingua, akinuna akakaa kimya ndiyo anakuwa amekusaidia..!

Mkiendelea, kuna namna naamini atakuwa kajifunza hii itamsaidia kupunguza speed...!

Nakukumbusha tu kua mwanangu wa kike nikija kupata ntamuita
@Carleen
 
Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.

Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.

Maana:

  • Situmii pombe
  • Situmii sigara
  • Situmii ugoro
  • Sibet
  • Si mshabiki sana wa mpira
  • Sivuti bangi
  • Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
  • Siyo movie enthusiasist
  • Kanisani nina muda sana sijaenda

Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Sasa wewe unaishije sasa mkuu ..

Sipati picha lifestyle yako kabisa ...

Kanisani huendi ..

Mpira haumo ..

Movie haumo ..

Hivi ukiamka asubuhi huwa unafanya nini hasa , maana daa unaishi kama saibogiii
 
Back
Top Bottom