Kama unataka ufike mbali kuwa karibu na marafiki waliojiajiri

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,411
Tangu nimeanza kuwa karibu na marafiki waliojiajiri, naona uwezo wangu wa kufikiri unazidi kuwa mkubwa sana.

Yale niliyokuwa naona hayawezekani, kumbe yanawezekana; maisha ya sasa hayahitaji rafiki wakupiga naye tara lila, yanahitaji uwe na rafiki mwenye tija ambaye yuko 'strong'.

Ukiwa na rafiki aliyeajiriwa, muda wote yeye anawaza cheo tu, fitina, unafiki n.k

Maisha ya sasa yanahitaji pesa na uhuru wa kifedha pamoja na utulivu wa nafsi.

Kama unataka ufike mbali, kuwa karibu na marafiki waliojiajiri.​
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom