Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.

Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
Yaani rafiki yngu hadi umenifungulia uzi juu yngu kisa tu nimekuomba elfu 50 sio fair kabisa
 
Sasa wewe unaishije sasa mkuu ..

Sipati picha lifestyle yako kabisa ...

Kanisani huendi ..

Mpira haumo ..

Movie haumo ..

Hivi ukiamka asubuhi huwa unafanya nini hasa , maana daa unaishi kama saibogiii
🤣Kwani maisha ya mwanadamu hapa duniani yalitangulia ama kutanguliwa na hivyo alivyoorodhesha na ushangaavyo?
 
Sasa wewe unaishije sasa mkuu ..

Sipati picha lifestyle yako kabisa ...

Kanisani huendi ..

Mpira haumo ..

Movie haumo ..

Hivi ukiamka asubuhi huwa unafanya nini hasa , maana daa unaishi kama saibogiii
Maisha yangu nayaweza mimi. Sema nimegundua sio mimi tu.

Kuna wengi wanaishi kama mimi.

Ni kazini, kulala, ukiamka unaperuse mtandaoni, unapika, unaoga. Siku imeisha
 
Nimekataa vyote
Yaan hata ufanyeje haoni analalamika tu

Mtu kama huyo sio rafiki. Huyo ni mtu tu mwenye shida zake ambae labda ameona fursa kuwa karibu na wewe kwamba atasaidika kwa namna moja ama nyingine.

Watu wa hivyo hua ni wabaya sana hasa pale wewe utakapomchukulia kama rafiki, maana kuna siku na wewe utapata shida utegemee na yeye atakusaidia hapo ndio utajua hujui. Mara nyingi watu hawa hata ukimsaidia haridhiki na siku ukiacha kumsaidia ni lawama mtaa mzima.
 
Njia rahisi ya mtu anayekukwaza ni kumchana tu ukweli wa pale anapozingua, akinuna akakaa kimya ndiyo anakuwa amekusaidia..!

Mkiendelea, kuna namna naamini atakuwa kajifunza hii itamsaidia kupunguza speed...!
Kwani ukitumia petrol kuna shida gani mkuu.
 
Unahamu ya kufirw@@@ siyo ?
Andaa Mawese Nikufumue Malinda Ayo..Maana Mashoga Ndo Zenu Hizo.
Watu wa Type yako Maofisini Ndio Uwa Mnakuwa Wanafiki Wanafiki Sanaa.kujipendekeza Pendekeza Kwa Mabosi na Kujiona Mko Perfect Kuliko Wengine.
1.1
Narudia Acha Unaaa..Utakuja Kuteseka Uzeeni.
 
Nandaa Mawese uje unifumue Malinda Ayo..Maana Mashoga Ndo Zetu Hizo.
Watu wa Type zetu Maofisini Ndio zetu
🤣🤣

Haya ndio matatizo ya bange, sporuts na kitimoto. Utatembea uko wazi. Soon tu nakwambia.

Mimi kwetu MARA, nakula UDAGA angalia usije ukazaa kabla ya December.
 
Haya ndio matatizo ya bange, sporuts na kitimoto. Utatembea uko wazi. Soon tu nakwambia.

Mimi kwetu MARA, nakula UDAGA angalia usije ukazaa kabla ya December.
Check Ulivyo Mshamba. Kula udaga Ndo Nini? Nimekwambia Andaa Mawese.. Edit Na Hii ..shoga Wa Kanda Ya Ziwa Wewe.
 
Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.

Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.

Maana:

  • Situmii pombe
  • Situmii sigara
  • Situmii ugoro
  • Sibet
  • Si mshabiki sana wa mpira
  • Sivuti bangi
  • Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
  • Siyo movie enthusiasist
  • Kanisani nina muda sana sijaenda

Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Kwa hii post najiona mimi .

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mtu kama huyo sio rafiki. Huyo ni mtu tu mwenye shida zake ambae labda ameona fursa kuwa karibu na wewe kwamba atasaidika kwa namna moja ama nyingine.

Watu wa hivyo hua ni wabaya sana hasa pale wewe utakapomchukulia kama rafiki, maana kuna siku na wewe utapata shida utegemee na yeye atakusaidia hapo ndio utajua hujui. Mara nyingi watu hawa hata ukimsaidia haridhiki na siku ukiacha kumsaidia ni lawama mtaa mzima.

Yes umesema kweli kabisa lawama tu Muda wote akiumia kucha anataka uache unachofanya uende haraka kama yupo mbali usafiri
Usipoenda lawama kali nikaona hapa nnachotaka nitakufa mapema bora nikae mbali

Nahisi nimetua mzigo
 
Back
Top Bottom