Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

Mie naona mna status tofaut ya maisha kua na marafiki wenye kipato/wanaojiweza kama wewe. Inaonekana wewe uko stable ndio maana una Shangaa kwanini yeye anakopa kopa. Na yeye anapitia kipindi kigumu na anaona wew ndio mtu anaweza share nae magumu yake.
Achana nae angalia size yako . Mie ndio maana hata niwe na shida vipi siombi chochote kwa rafiki zangu maana wataona kama usumbufu tu.
 
Hapana wala sio kabisa yeye ana mshahara kila mwezi na anajua ambavyo nipo sasa Lakin ndio hivyo akikutafuta ni anawaza wapi atapata pesa ya kukopa au umsaidie na anakuganda haswa nilichokuja kugundua anapenda maisha ya gharama sana wakati uwezo hana
Na anapenda umjali yeye tu wakati mim shida zangu nazitatua mwenyewe na wala simsumbui Ila yeye sasa ananisumbua mno
Ikitokea kitu kwao nsipoenda maneno mengi na lawama kwanini sijaenda analalamika kuwa hana bahati na marafiki Yaan ni kama anataka kunicontrol sasa nami siwezi nna maisha yangu nna ratiba zangu pia
Yeye anajifikiria yeye tu kila siku ana shida yeye tu
Unakopwa wikii hii akirudisha wiki ijayo ana shida tena anataka pesa
 
Sisi wanaume huwa 'tunawatema' washikaji wa namna hiyo...

Maana kuna raia utadhani watoto yatima, na wana tarehe zao hizo utaanza tu kuona stori zinabadilika badilika malalamiko ya kifedha yanaongezeka...

Ukiacha washikaji pia kuna ndugu wale wa "niazime laki, 50k n.k nitakurejeshea mambo yangu yakikaa sawa"
DADDY KAAMA ULIKUWEPO VILE
WAPO WATU WA AINA HIYO WENYE KUSEMA NIKOPESHE SH50K NITAKUREJESHEA KESHO YAANI WANABOA SANA
 
yaani watu wanaboa sana mtu atakulezea matatizo yake utadhani na wewe huna tatizo
Mchukulie serious mtu ambaye na yeye huwa ana hiyo sensitivity na matatizo yako.

Kama hana, unakuwa naye karibu wa nini ?

Mimi nina huruma sana, na sometimes huwa inanichukua muda sana kuamua kiasi kwamba nimeshadhulumika sana.

Ila namshukuru Mungu mimi huwa nikiamua SIRUDI nyuma.

Maisha ni kutegemeana, siyo jukumu la upande mmoja.

Tena watu wa hivyo hata shukhrani huwa hawana.
 
Hapana wala sio kabisa yeye ana mshahara kila mwezi na anajua ambavyo nipo sasa Lakin ndio hivyo akikutafuta ni anawaza wapi atapata pesa ya kukopa au umsaidie na anakuganda haswa nilichokuja kugundua anapenda maisha ya gharama sana wakati uwezo hana
Na anapenda umjali yeye tu wakati mim shida zangu nazitatua mwenyewe na wala simsumbui Ila yeye sasa ananisumbua mno
Ikitokea kitu kwao nsipoenda maneno mengi na lawama kwanini sijaenda analalamika kuwa hana bahati na marafiki Yaan ni kama anataka kunicontrol sasa nami siwezi nna maisha yangu nna ratiba zangu pia
Yeye anajifikiria yeye tu kila siku ana shida yeye tu
Unakopwa wikii hii akirudisha wiki ijayo ana shida tena anataka pesa
Hapo nimeelewa basi hilo ni tatizo..achana nae wala usimwambie kama unataka kua mbali ila punguza tu ukaribu nae usiwe unamtafuta baadae atajiongeza mwenyewe.
 
yaani watu wanaboa sana mtu atakulezea matatizo yake utadhani na wewe huna tatizo
Hivyo Yaan na mtu anajua hali yako kabisa sio hajui kuwa familia inakutegemea una mtoto pia,Ila yeye ndio muhimu kuliko umjali yeye tu
 
Hapo nimeelewa basi hilo ni tatizo..achana nae wala usimwambie kama unataka kua mbali ila punguza tu ukaribu nae usiwe unamtafuta baadae atajiongeza mwenyewe.
Nimemuambia simfai atapata mwingine
 
Hapana wala sio kabisa yeye ana mshahara kila mwezi na anajua ambavyo nipo sasa Lakin ndio hivyo akikutafuta ni anawaza wapi atapata pesa ya kukopa au umsaidie na anakuganda haswa nilichokuja kugundua anapenda maisha ya gharama sana wakati uwezo hana
Na anapenda umjali yeye tu wakati mim shida zangu nazitatua mwenyewe na wala simsumbui Ila yeye sasa ananisumbua mno
Ikitokea kitu kwao nsipoenda maneno mengi na lawama kwanini sijaenda analalamika kuwa hana bahati na marafiki Yaan ni kama anataka kunicontrol sasa nami siwezi nna maisha yangu nna ratiba zangu pia
Yeye anajifikiria yeye tu kila siku ana shida yeye tu
Unakopwa wikii hii akirudisha wiki ijayo ana shida tena anataka pesa

Dina umeongea kwa uchungu sana,I feel u.
 
Sisi wanaume huwa 'tunawatema' washikaji wa namna hiyo...

Maana kuna raia utadhani watoto yatima, na wana tarehe zao hizo utaanza tu kuona stori zinabadilika badilika malalamiko ya kifedha yanaongezeka...

Ukiacha washikaji pia kuna ndugu wale wa "niazime laki, 50k n.k nitakurejeshea mambo yangu yakikaa sawa"

Inachosha kila siku mtu ana kulilia shida
 
Hapana wala sio kabisa yeye ana mshahara kila mwezi na anajua ambavyo nipo sasa Lakin ndio hivyo akikutafuta ni anawaza wapi atapata pesa ya kukopa au umsaidie na anakuganda haswa nilichokuja kugundua anapenda maisha ya gharama sana wakati uwezo hana
Na anapenda umjali yeye tu wakati mim shida zangu nazitatua mwenyewe na wala simsumbui Ila yeye sasa ananisumbua mno
Ikitokea kitu kwao nsipoenda maneno mengi na lawama kwanini sijaenda analalamika kuwa hana bahati na marafiki Yaan ni kama anataka kunicontrol sasa nami siwezi nna maisha yangu nna ratiba zangu pia
Yeye anajifikiria yeye tu kila siku ana shida yeye tu
Unakopwa wikii hii akirudisha wiki ijayo ana shida tena anataka pesa
Ila uzuri anarudsha sio mbaya
 
Back
Top Bottom