huska
JF-Expert Member
- May 1, 2019
- 292
- 333
Yaani rafiki yngu hadi umenifungulia uzi juu yngu kisa tu nimekuomba elfu 50 sio fair kabisaUshawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.