Anza kumpa distance taratiibu mpaka unamtoa kwenye ubest friend unamuingiza kwenye uraia, mnasalimiana kila mtu anaendelea na maishaUshawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
Kama kote huko unakosekana bila shaka utakuwa muendekeza papuchiMimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Hata papuchi nimi siyo mdau. Halafu kuwa na hayo haimaanishi papuchi wanaacha, tena walevi ndio zao.Kama kote huko unakosekana bila shaka utakuwa muendekeza papuchi
Basi Ya onekana Unaishi Maisha ya Kizee sana Kijana....Ila Kwa Haraka Haraka Ugonjwa Wako wewe ni CHUPI.Hata papuchi nimi siyo mdau. Halafu kuwa na hayo haimaanishi papuchi wanaacha, tena walevi ndio zao.
Baa zenye mademu ndio zinajaza. Wakilewa wanaondoka na mabaamedi.
Nyie Watu wa Kanda ya Ziwa..kama Utumii Vyote Ivyo..Ugonjwa Uwa Ni Chupi TuHata papuchi nimi siyo mdau. Halafu kuwa na hayo haimaanishi papuchi wanaacha, tena walevi ndio zao.

Maisha ya kizee yakoje ?Basi Ya onekana Unaishi Maisha ya Kizee sana Kijana....Ila Kwa Haraka Haraka Ugonjwa Wako wewe ni CHUPI.
"Acha Janja Janja"
acha "Janja Janja kijana".utakuja Kuteseka Uzeeni.Maisha ya kizee yakoje ?
Aisee, naweza kukutana hapa halafu tukaharibu uzi wa watu.
Jadili uzi achana na mimi wewe mlevi. Endeleeni kulewa, ipo siku tawapasulia mayai.
Unahamu ya kufirw@@@ siyo ?acha "Janja Janja kijana".utakuja Kuteseka Uzeeni.
Fanya kumpotezea tuUnahamu ya kufirw@@@ siyo ?
Achana na hawa,,,kuna watu humu kazi yao kukujaza nyembe Ili upigwe ban tuUnahamu ya kufirw@@@ siyo ?
Mimi sijawahi kuogopa BAN Mkuu. Mimi siingizi hata 100 humu.Achana na hawa,,,kuna watu humu kazi yao kukujaza nyembe Ili upigwe ban tu
Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
🤣🤣Kwa mfumo ulionao ni wazi umepiga bonge la ukuta....Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Njia rahisi ya mtu anayekukwaza ni kumchana tu ukweli wa pale anapozingua, akinuna akakaa kimya ndiyo anakuwa amekusaidia..!
Mkiendelea, kuna namna naamini atakuwa kajifunza hii itamsaidia kupunguza speed...!
Sasa wewe unaishije sasa mkuu ..Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.