Ulishawahi kupata stress?

Asante daktari, ntalifanyia kazi hili jamboπŸ₯°
 
Asantee shem! Nitajitahidi kufata ushauri wako! Pombe hapana, kuna kipindi niliziendekeza nikawa nakata Hanson’s kubwa na siliπŸ˜… bora saiz niko kwenye kujifungia ndani..
 
Chanzo cha stress ni nini Fedha ? Ajira Mahusiano? Ugonjwa? Hasara kwenye biashara? Fear of Unknown? Umefirisika kwenye biashara ,Pressure kwa marafiki? Pressure kwa familiy members wategemezi ? Unaweza jichunguza hata ukienda hospital ujue wapi pakuanzia

Mimi pia nilikuwaga nadhani na dalili za depression lakini kila nikipata kibunda tu nakuwa normal kabisa na furaha juu zikiisha naboeka narudi kujifungia ndani najitenga hasira etc
 
Same situation! Ila kuhusu chanzo, stress ikiwa ya biashara,kazi, mahusiano au familia zote na-act same! So haijalishi ni upande upi!
 
Hiisshhh. Mbona mbaya sana hii.
Mengine uliyoyataja hapo ni symptoms za migraine. Vyema ukaendq hospital. Migraine sio ya kuichkulia poa ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…