Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Screenshot_20200310-154849_Chrome.jpg
 
Kaka zangu Nimeliwa kimasihara kwa bahati mbaya siku si nyingi sasa yule mwanaume kaniambukiza Gonorrhea Naomha msaada wa halaka kwa aneyeijua dawa ambayo itaondoka kabisa uo ugonjwa NB.mi nimwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
hueleweki wewe ni wa kiume au wa kike

Kuna muda unaleta swaga za kike,muda mwingi wa kiume. Au unachangia akaunti na mkeo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom