Ulishawahi kula tunda kimasihara?
hahahahaaaha kuna dada mmoja huko juu ametoa kisa chake honestly na mimi nimehamasika kutoa kisa changu kwa new ID.
Miaka hiyo nasoma chuo fulani maarufu hapo Dar nilikua nimeachana na boyfriend aliyekua anasoma chuo mkoani. Na he was my first man..na tulisha do kama mara nne.
Sasa sijui ni upweke, hasira au nini ilinipelekea kuanza kuflirt na mkaka mmoja aliyekua mbele yangu mwaka mmoja anaitwa G.
Huyu alikua anajikuta wa kishua sana, nini na nini...yaani kama kwao wanazo sana, amesoma serminary anapenda vitu vizuri..sijui room kwake kuna wine. Ni mtu smart sana kimuonekano, mfupi, ana kichwa kikubwa na macho makubwa ya kiwizi wizi na anajipenda sana na ni selfish mnooooooo..nilikuja kujua kua anafanya hivyo ili kujipatia mademu..anyway mimi si mnywaji, wala story zake sikuzitilia maanani..nilichopenda ni baadhi ya interest zetu zilikua zinaendana..nilikuja baadae kujua kua jamaa ni player vibaya mnoo na ana tabia ya kutumia wanawake. Sikua na plan zozote za kuwa nae kimapenzi..nilitaka tu company ili nipite kipindi hicho cha mpito.
Siku moja akanipigia niende room kwake..mimi wala sikua na mpango wa kutoa mzigo..nikaenda tuu..akaniambia unakunywa wine, nikamwambia hapana..tukaangalia movie kidogo nikamuona anaanza kunishikashika, nikamwambia siko tayari..heeee mara kavua suruali..nikajichomoa mikononi niondoke kumbe kafunga mlango na funguo..akaja kunishika kwa nguvu na kunitupia kitandani..nikawaza hapa nikipiga kelele nitaulizwa kwa block ya wanaume nimekuja kufanyaje...ikabidi niwe mpole...nikamwambia avae kinga..sijui aliitoa wapi ile condom akavaa..
Hahahaahaah jamaa akibusu unatamani kutapika...ana ulimi mrefu kama wa kenge..romance sasa utafikiri anakufinya..alipokuja kuingiza dudu...boy! Jamaa ana very very tiny dick...haaaaa nikashangaa nikajikausha...yaani ule ushua wote jamaa ni zero haswaaaa..baada ya hapo nikandoka nikiwa nimechukia balaa kulalwa bila ridhaa yangu...sijui ni allergy ya mafuta ya condom...niliwashwa mnooo na kujikuna k..nilipata shida ile week siwezi sahau..jamaa akawa kama ananipotezea mimi nikataka kujenga ukaribu akawa kama ananitenga nikaanza kujiona mimi sio demu wa class yake, ukikaa nae anaongea vitu vya ovyo kukufanya ujisikie uko duni, na mimi hua ni mnyonge kitabia na kimuonekano, basi nikapoteza kujiamini kabisa.basi roho ikaniuma baasi..
Sasa kuna kaka mwingine alikuwaga ananifahamu kabla sijaja chuo nae alikua mwaka wa mbele tulikuaga tunasalimiana kwa mbali tuu..ila alikuaga ananiangaliaaaaa..mimi sikua na pay attention kabisa..nikikutana nae lazima anisimamishe anijulie masomo basi...siku moja niko na rafiki yangu akaniambia huyu kaka atakua anakupenda, mimi nikapuuzia..akaja akaniomba namba, nikampa ndio mawasiliano yakaanza...tukawa karibu sana, hapo ni kama week moja toka niliwe kimasihara na yule ndezi...heeeee eti siku moja niko room naona namba ya yule G inanipigia, nikawa namkatia tuu..baadae natoka hall letu nje namkuta amefura hasira eti aliniona na mtu mwingine tumekaa mahali...nilimshangaa nikamwambia unaniuliza kama nani? Nikamwambia aniache..akanishika mkono kunivuta nikampa bonge la tusi..nikamwambia aendelee na u.m.a.la.ya wake...hakuamini kabisa..
Yule kaka mwingine tulikuja ku fall in love kwakweli.. Niliglow na kuanza kunenepa baada ya kua na huyu kaka..full kujiamini na nilikua natabasamu all the time...nilibadilika mnoo. Kila nikimuona nilikua nahisi vibrations huku chini hahaha..hisia zilikua kubwa sana..nilishukuru sana kua na mwanaume kama yule..our love was so deep and real...hata mkiwa mna make love you feel each other...miaka 10 plus mpaka leo ndie mume wangu na tuna watoto kadhaa..kama kuna maisha mengine baada ya haya i would choose him over and over again..
Ladies jifunzeni hapa...mkiachana usitafute sympathy kwa wanaume, wengine ni mabazazi utaishia kugongwa hovyo maana kipindi hicho unakua kama loose ball.
Pia hakuna formula ya kumpata mr.right..my man wakati tunaanza mahusiano hakua na hela hata ya kununua chakula..boom lilichelewa, mimi ndio nikawa namsaidia mpaka naogopa kua huenda ndo walewale.
Ahhh hakuna anayeifaham kesho ya mwenzie, usimdharau mtu kwavile leo hawezi kununua hata sahani ya matunda ya mia tano au wali wa jero cafeteria.....jamaa turned out to be a blessing, and i regret nothing.
Yule mkaka mwingine anaitwa G sijui alishaoa maskini..hahaahahahahah kama G ulioa, i feel sorry for your wife..aisee mheshimu sana mkeo..ni anakuvumilia balaa..
Kuna msichana mwingine ametoa ushuhuda wa kuliwa kimasihara kama wewe. Good ingawa umetumia ID mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo dada mwingine aliyetoa kisa chake cha kuliwa kimasihara ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnazingua wengine hata sio kula tunda kimasihara yangu mnapangana kabisa unatongoza kabisa unaenda kula kwa miadi yenu alaf unasema ni tunda kimasihara ...kula tunda kimasihara ni ile buukuba mtoto huyo hapo unatekenya kwa kidole mtoto anaitika unapeleka moto ..au mko seblen wawili mnaangaliana unasogea unashika kiuno staki nataka unapeka moto ..sasa wee unakula kimasihara wiki nzima unafukuzia weeeee wiki ya pili ndio unapewa mzigo alaf unasema umekula kimasihara hebu kuweni serious kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliowala kimasihara wote hatukupanga Wala hatukuwa wapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wala tunda kimasihara wengi

walevi
wanafunzi chuoni
waliomaliza advance /olevel
watu wa kujirusha
watu wa kusafirisafiri
Mbona me sio mlevi, sio mwana funzi . Na Tunda kimasihara nilikula tu mambo ya mapenzi . Unaweza kuwa hata engineer na ukala tunda chochoroni au site baada ya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G alikukula kimasihara, ukagundua ana kibamia, ila bado ukawa unataka kuwa karibu naye yeye akawa anakupotezea ukawa unaumia mpaka ulipompata mr Right. Mpaka leo unamuonea huruma mke wa G ambaye si wewe na unahisi anamvumilia sana. In short G utaendelea kumkumbuka mpaka unaingia kaburini.
Hahahahah.kweli hii ni jamiiforums yenye watu wenye mtazamo tofauti.
Well, here are the facts.
Nilikua mgeni kidogo kwenye mahusiano, na niliona kwavile tumeshado labda tungejenga uhusiano ila ikawa tofauti....kweli ana tiny dick, labda awe amefanya surgery baadae kama hua ipo....alijaribu kufanya mbinu nyingi na nyingine kunichafua ili awe na mimi baada ya kuona niko kwenye tight relationship..
Simkumbuki hata chembe sababu kusema ukweli tusingewezana tabia,ni mtu wa majivuno na kujikweza sana, na u.huni sana.
Ukweli kama ana mke anamvumilia mnoooooo..hiyo ni fact unless na mwanamke awe na makandokando yake..sijui kama kuna mwanamke atavumilia mwanaume mwenye kibamia, kitandani zero, halaf player na selfish, naaaaah
Simkumbuki hata kidogo...nimekuja kutoa kisa hiki sababu kuna a lesson kwa wanawake na wanaume..
 
Usikasirike mkuu, kisa chako ni kizuri ila kibamia ni wewe na yeye usimsemee mkewe maana hujui maumbile ya mkewe inawezekana mkewe anafurahia ndoa yake pamoja na upungufu wa mumewe uliousema, huyo mwanaume ni mpuuzi sana, ila najiuliza kwa nn ulitaka kuendelea kuwa karibu naye mpaka akakuumiza na wakati alikuwa na kibamia, na alikufanya ukawashwa wiki nzima? Mbona hizo sababu zinatosha kumchukia mtu?
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2014,nimeenda iringa kwenye graduation ya mdogo wangu.Sasa kuna best friend wangu wa kitambo sana(Ke),ambaye alikuwa anaishi iringa,nilivyomwambia nipo tu akasema nifanye hima nikamsalimie,maana tulikuwa hatujawahi kuonana takribani miaka 5 hivi....
NILIVYOKULA TUNDA KIMASIHARA SASA!!
Alinikaribisha kwake nikakuta kapika ugali na samaki pale,na akaniambia lazima nile!!Baada ya dakika kadhaa akaniambia nifuate chumbani,kimoyomoyo nikasema best friend kulikoni tena!!Kufika ndani tukakaa bed,akaanza kunivua viatu,nilikuwa nimevaa single button coat likavuliwa pia,nikaona nijiongeze tu,nikajikuta namkiss,ebanaa weeh,nilipewa mauno ambayo sitakuja yasahau maishani,kumbe alikuwa na genye kitambo sana na ile baridi ya iringa ilikuwa ni surprise day kwangu..Baada ya hapo ikawa nikihitaji tu nakumbushiaa!!
Wewe ndiyo uliliwa Kimasihara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
Niliwafikisha wale samaki kwa ile familia na nikawahakikishia kuwa yule bwana yupo huko anapambana. Familia yake kwa maana ya wazazi wakamtuma mdogo wake amfuate akawa deported nyumbani.

Sasa yeye alikuta mambo yameharibika kidogo.

Ilikuwa hivi, wakati anaondoka kwanza hakuaga,akaenda mafia kulima nyanya,.kakaa miaka 2 huko bila mafanikio,akaamu kujichanganya kwenye samaki...basi akalowea huko. Kibaya zaidi wakati akiondoka alimuacha mkewe ana ujauzito wa kujifungua.Mke wake akajifungua salama huku baba na mama mkwe ndio wakimhudumia kwa kila kitu.

Baada ya miaka minne kupita bila taarifa ya jamaa yuko wapi,baba ake na mama yake wadhani kuwa huenda mwanao alishafariki au kuuwawa,waka mweleza binti akaolewe kokote maana yeye bado mdogo,kuendelea kumsubiria mtu asiyejua atarejea lini baba akaona sio busara,lakini yule binti akagoma kuondoka pale nyumbani,akidai kuwa yeye alishaolewa pale kwa hy niwa pale na hataondoka ataendelea kumsubiria jamaa hata kama ni miaka 30.

Sasa,kuna nyimbo fulani hivi za kilugha chetu wanawake huwa wanaziimba wakati wanafanya shughuli zao ndogondogo hapo nyumbani.Nyimbo hizo hubeba jumbe mbalimbali kama Upendo,majonzi msamaha, furaha ya kuwa na familia n.k. Sasa yule binti alikuwa akiimba nyimbo za kumiss mume wake na wakati mwigine alilia, baba mkwe hizo nyimbo zikawa zinamuumiza sana na kumtesa na kuumia,akawa anajihisi kuwa yeye ni mkosaji,labda mwanae hakumlea vyema katika maadili mazuri ndio maana kamkimbia mkewe.

Baba akaamua atafute mbinu ya angalau kumfariji mkwe. Akawaita wanawe wote wakiume pale nyumbani,akafanya nao kikao na kuwaomba kwamba waone namna gani wanaweza kumhudumia shemeji yao kimwili,wamtongoze wapambane hadi apatikane mshindi, atakayempata ndiye atakuwa mumewe kwa kipindi chote na kwa mahitaji ya mengine tofauti na ya kimwili familia itaendelea kutoa,yeye kazi yake ni kumgonga tu. Mshindi aliopatika......na ni mdogo mtu,yaani wanayefuatana na jamaa.Akawa anakula mzigo na yule binti akawa anapozea na kuponea hapo.

Sasa...ujio wangu na taarifa kuwa yule jamaa yupo Loya,kanipa na samaki hizi...kamongo wa kukaushwa na jua na kambale wa kukunja wa kukaushwa na moshi...na pesa kwa mke wake tsh elfu 70,walitaharuki....na mzee wake kwa maana ya baba akatokwa na machozi,mama huko sijui maana kimila sie huwa hatukai sehemu moja na wanawake.Mzee akamuru iuzwe ngombe pesa ipatikane jamaa aletwe hata kwa kufungwa kamba. Jamaa kweli akafuatwa akaletwa.

Anarudi nyumbani anamkuta mkewe mja mzito...ana mimba ya mdogo wake.!!! Usiku ulipoingia akagoma kwenda kulala kwa mkewe,akalala kwenye ghetto la wasioowa. Asubuhi kunakucha kikao cha ndugu kikakaa,kesi ikaendeshwa na jamaa akatiwa hatiani na ukoo kwa makosa takriban manne...mosi kuodoka nyumbani bila kuaga,pili kuondoka nyumbani bila kumuaga mkewe huku akitambua kuwa ni mja mzito..hivyo kuhatarisha maish yake na mtoto,tatu pamoja na kuondoka hakutoa taarifa yuko wapi baada ya kufika huko alikokwenda na nne kwa nini aligoma kwenda kulala kwa mke wake....

Kiufupi jamaa aliadhibiwa fimbo nyingi tu na akaambiwa akachunge mifugo miaka 2 na kunywesha, aombe msamaha kwa mke wake na waendelee kuishi...na ikawa ivyo.

Jamaa yupo kijijini kwao na alishakuwa na maisha mazuri tu na familia kubwa,mwanae yule wa mdogo wake alikuwa binti yupo sekondari na jamaa hana kinyongo na mdogo wake....nadhani alieleweshwa akaelewa...Upendo huvumilia yote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah.kweli hii ni jamiiforums yenye watu wenye mtazamo tofauti.
Well, here are the facts.
Nilikua mgeni kidogo kwenye mahusiano, na niliona kwavile tumeshado labda tungejenga uhusiano ila ikawa tofauti....kweli ana tiny dick, labda awe amefanya surgery baadae kama hua ipo....alijaribu kufanya mbinu nyingi na nyingine kunichafua ili awe na mimi baada ya kuona niko kwenye tight relationship..
Simkumbuki hata chembe sababu kusema ukweli tusingewezana tabia,ni mtu wa majivuno na kujikweza sana, na u.huni sana.
Ukweli kama ana mke anamvumilia mnoooooo..hiyo ni fact unless na mwanamke awe na makandokando yake..sijui kama kuna mwanamke atavumilia mwanaume mwenye kibamia, kitandani zero, halaf player na selfish, naaaaah
Simkumbuki hata kidogo...nimekuja kutoa kisa hiki sababu kuna a lesson kwa wanawake na wanaume..
Siyo kwamba wewe ndio ulikuwa na bwawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula kimasihara,

Demu wa kitaa tuu yuko na geto lake status yake nurse(EN) nikamtext saa 5 ivi akamiuliza hadi saivi hujalala tu mtoto wa mama unasubilia nn, nikasema nangalia porno watu wanavyo tiana, akasema ata ww nikasema ndio siku moja moja tunaosha macho ata kwa video

Mara unanipandisha nyege demu, nikamwambia dawa niko nayo usijali nije kukupunguzia, mara paaa njoo .
Kilicho fatia ni kuruka ukuta hadi asubui ndo niligeuka saa 12 kama mchawi vile.

ulikuwa unaangalia pilau🍛🍛🍛🍛🍛
 
She always nock at the main entrance , , ...and i use to open the door for her, Aged 28 while am 22, where she always come from idk, always midnight idk, .....suddenly she asks can i get your number so she wil be calling me direct without disturbing others , i do as she say....next day she calls i open , as im not used to sleep early, in the midnight she calls again she asks if i would like to watch movies with her, in a speed of light i reply yes...big yes she says come over the door is open....

I enters no one was there at sitting room, the tv was off....she says come direct to bedroom i enters she was naked .... I ask is that a movie ...she says yes , i look at her and drag her along and whisper if so i would like to watch atleast 3 or four episodes she laughs , , and shee kisses me, , , then it happens later she asks about my age ....i reply twenty 2, she laughs and she says you are naughty boy....come again ....it happens

😂😂😂😂
 
Je ikiwa wewe ndo una jaba la maji?
Hahahahah.kweli hii ni jamiiforums yenye watu wenye mtazamo tofauti.
Well, here are the facts.
Nilikua mgeni kidogo kwenye mahusiano, na niliona kwavile tumeshado labda tungejenga uhusiano ila ikawa tofauti....kweli ana tiny dick, labda awe amefanya surgery baadae kama hua ipo....alijaribu kufanya mbinu nyingi na nyingine kunichafua ili awe na mimi baada ya kuona niko kwenye tight relationship..
Simkumbuki hata chembe sababu kusema ukweli tusingewezana tabia,ni mtu wa majivuno na kujikweza sana, na u.huni sana.
Ukweli kama ana mke anamvumilia mnoooooo..hiyo ni fact unless na mwanamke awe na makandokando yake..sijui kama kuna mwanamke atavumilia mwanaume mwenye kibamia, kitandani zero, halaf player na selfish, naaaaah
Simkumbuki hata kidogo...nimekuja kutoa kisa hiki sababu kuna a lesson kwa wanawake na wanaume..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebwanaeee,,,,Haya mambo ya kula Fruits kimaskhara yamekuwa mengi sana,

Mwaka Jana mshikaji wangu alitongoza jimama Hilo hatari,sasa likampa namba wakawa wana chat,

Hilo jimama likamwambia jamaa aende weekend mana lilisema lina ishi lenyewe mitaa ya kilima hewa,na likadai mume wake alishafariki na kuhusu watoto wako shule wanakaa boarding, wakawa wana chat chat ile mbaya mpk mambo ya sex,jamaa akawa ananionyesha anajidai ile mbaya.
Nakumbuka Siku kama ya jumatano ambayo ndo ilikuwa wiki ya kwenda kumtembelea kwake weekend hyo,Lile jimama lilimwambia jamaa kuwa atafute kijana mwingine mana kuna jimama lingine linatafuta kijana,Ebwanaee jamaa akanipa ile taarifa,moyo ulilipuka Paaaaaaaah,,,,,, kama vile nimetupiwa Bomu lilitongenezwa Kwa virusi vya corona,

Pale pale nikapewa namba wazee baba,nikaanza kuchat nae,Mara akaniomba picha,nilivyo mtumia akaniuliza,wew mbona ni mdogo sana?
Nikamjibu Haina shida mtoto mzuri,sawa me ni mdogo lkn Kwa matendo yangu huwa shetan mwenyewe anakaa pembeni kushuhudia game,,,[emoji16]
Nakumbuka baada ya hiyo text alinipgia video call akicheka,Duuuh huendan na maneno yako,akasema hvo.

Siku zilienda huku tukiwa tumeshapanga tukutaniae kwenye nyumba ya yule jimama la mshikaji,

Ebwanaeee nakumbuka wiki ile nilikuwa naona kama vile haiendi mana haya majimama yalikuwa yako njema ile mbaya,ninavyo sema majimama siyo ile mijimama mitupu nyema,hapana aisee,

Nakumbuka ilikuwa ni Siku ya j pili nimeamka asubuhi tu nikakutana na text,eti tuwaandalie nin waume zetu,Nikamwuliza mshikaji,akanambia wapike ugali,akajibu duuuh mnataka mtusugue mpk tukome eti,,,!!

Mida ya saa 4 nikaenda kuchukua ndinga Kwa bro ya kwenda nayo ili kujiongezea thamani,Tukaenda mpk kilima hewa,walioko mwanza wanapajua,tukaelekezwa mpk tukafika Kwa huo mjengo,get Kali mpk nikaanza kuhis hapa kuna hatari ya kufumuliwa malinda mamake,ila mtu mzima nikajikaza tukazama mpk ndani,geti likafungwa Daaaah,Kweli wale wadada walitupokea vzr huku tumepiga pamba zile za kibishoo hasa,na tulisifiwa vya kutosha wazaz.

Tukapiga stori pale sebulen,baada ya nusu saa msosi ukaletwa tukafinya,tulivyo maliza kula,nikashangaa jimama lile la mshikaji likaanza kusema,nyie watoto sikilizen,nyie bado ni vijana wadogo sana,hii tabia ya kupenda wanawake walio wazidi umri siyo nzuri,ebu fikirien wazazi wenu wakijua kwamba sisi tunatoka na nyie watatufikiriaje,Ebu achen umalaya nyie watoto mtakuja kufa vibaya Kwa maradhi[emoji24][emoji24],muda huo hata sielewi Niko wap, yan Nipo Nipo tu huku nimeinamisha kichwa chini,waliongea vitu vingi vya kutushauri mpaka nikajuta kuzaliwa,
Ilibidi tu tuage tuondoke mana duuuh,nakumbuka wiki yote ile hata performance yangu kazin ilikuwa ndogo sana,yani nilihis kama wale wamama wametuvua nguo.[emoji29]

Licha ya wale majimama kutuchamba Siku ile ila hawakuacha kuwa wana tutext kila Siku.

Continued.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom