Mariki boy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 359
- 1,187
Daaah ndipo nilopo juwa kwamba Kuna bahadhi ya miradi inaweza kujiongoza yenyewe especially hii thread maana rikiboy ayupo lkn mambo sio haba kwakwel[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji467][emoji467]
Duh tupe hiyo mkuuSisi wengine tumekutana na mikasa mambo kibao tu mpaka hapa tulipo sasa
Kama ni kula matunda KIMASIHARA tumekula mengi tu kwa aina na njia tofauti tuna mikasa matukio mengi tu
Lakini nashangaa tukileta ushuhuda MTU anasema ni CHAI uongo mpaka MTU unavunjika moyo kuleta shuhuda zingine
SASA NINGELETA YA KULA MAITI KIMASIHARA KUNA MTU ANGEBAKI HUKU
Tupeni Uhuru wa kujieleza jamani tuseme CHAI uongo kwa faida ya nani
Mimi natoa SHUHUDA za kweli ni mambo yaliyonitokea kweli au vibaya kushare nayi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli usiokuwa na shaka ndani yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa miaka hiyo uliyosimulia bill Shaka watoto wa Rose wameusoma huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa poa Sana Kama ungepanda gari kwenda Lindi kumtafuta Rose,haijalishi umepita muda gani cha msingi upate feedback ya alipo kwa Sasa,nadhan itapendeza,inawezekana barua Zako hakuwahi kuzipata hivyo Basi naamini Kuna taswira yako inamtesa moyonNilifanya jitihada za hapa na pale, nilikaa nje miaka mitatu na kidogo, niliendelea kumuandikia barua ambazo pia hazikujibiwa, niliporudi Tanzania pia niliandika barua moja tu, tena kwa "airform" maana barua za hivyo zilikuwa zinapewa kipaumbele.
Baada ya kimya cha miezi kadhaa nikaondoa akilini na kushugulika na wengine, kati yao akabahatika mmoja kiwa mke wangu. Hii ni stori nyingine kabisa na ya kusisimua ila siyo ya kimasihara.
Akiniruhusu (wife) nitaanzisha uzi wa stori yake.
James Jason
Umegonga malayaYani huu uzi ni balaa sana, nishakula kimasihara mademu wawili toka nianze kuusoma huu uzi na wote siwajui majina yao.
Mmoja ilitokea mkoani Tabora wiki kama mbili zilizopita, nimetoka zangu ofisini nikarudi lodge kuacha begi ili niende nikale. Kufika lodge namkuta mtoto anaangalia TV(lodge ilikua na sebule) nikampita ila baadae shetani akafanya kazi nikarudi kumsalimia vizuri
me: Niaje
she: poa
me:Mbona unaangalia tv mwenyewe?
she: akasema hana kampani ya kuangalia nae
me:nikamwambii njoo room kwangu tuangalie wote
she: nitakuja
basi nikaingia room kwangu nikaacha begi nikamuaga kuwa naenda kula lakini nakuja mda c mrefu. Basi nikaenda kugonga msosi fasta nikarudi room. Nikamkuta nikamwambia tayari njoo. Basi nikawa naangalia zangu muvi huku mlango sijafunga namsubiri kama dakika 20 hivi mtoto kaingia room, nikasema kaisha huyu. Basi tukaanza story za hapa na pale kujua alikua anafanya nini pale lodge akaniambia alikuja kwa rafiki yake kumuangalia huyo rafiki yake alikua anafanya kazi pale lodge, basi nikamkaribisha kitandani tukawa tumekaa wote, nikaanza touch za hapa na pale mtoto analeta upinzani kdg but sikuacha, shika sana baadae akatulia tu nikasema yes, basi zidisha touch pale mototo akaanza kulainika, kupima oil kidole kinateleza tu nikamvua chupi katulia tu, nikachukua kondom nikavaa nikamla kimoja saaaafi kbs. Hapo hata jina lake silijui wala ye hajui jina langu. Baada ya kumla nikatafuta safari ili nimtoe tu room coz muda huo nilikua namsubir demu wangu alikua anakuja kutokea dar. Sorry kwa uandishi mbovu
Na hapo ndipo unapokosea! Usituamini kivipi..? Kuna wengine humu mbona tupo vyema.. si vyema kuhalalisha usemi usemao "samaki mmoja akioza basi wote wameoza"!!
Typically binadamu tunatofautiana, wengine hujitia ufahali ktk mambo haya lkn tupo tunaoheshimu nafasi ya mambo haya!.. tupo wenye kifua na koromeo la kutunza siri ikiambatana na kumaanisha.
Usiweweseke kwa wenge la kimasihara ukatutoa thamani hata sisi tuliowatiifu.
Usiuzurumu moyo kwa maneno ya kimasihara,upe upeo wako nafasi ya kutanabaisha tofauti ya masihara na halali!!
Hata Adam mbona alilishwa tunda kimasihara na Eva..? Lkn pamoja na hilo ni wapi tumekengeuka na kuifuta nafasi yenu..?
Mwili wako ni shahidi tosha kuwa ulivyonavyo ni kile Mimi kama mwanaume navihitaji!! Ila nafasi ya kunipa ipo ktk ufahamu wako!!
Usiogope tupo tusio masihara,tupo tupendao watoto wa kike kwa nafasi zao.. tupo tunaofurahia nafasi ya maumbile bila kuumiza mtima wa mtoto wa kike.
Post no. 11601 inajibu lako
Mabaharia eeh me nazidi kukwama tuu kula kimasihara, sijui nakwama wapi nimefata ushauri wote mlionipa still bado nafeli tu [emoji36]Sio kubaka mkuu nilitumia njia kama wanazotumia mabaharia wa humu,
Maana jirani kaja getto simu yake imezingua nimtengenezee alafu kavaa kanga chini juu kibode flani sasa wakati nalekebisha simu yake nikakumbuka kuna uzi humu wa kula tunda kimasihara,
Nikasema ngoja na mimi leo nijaribu c nikajarbu kumshika kumleta kifua kwangu nikaona analuka akasimama akaanza kunituka matusi kama yote, akaona haitoshi nikapigwa na kibao daahh jirani huyo akasepa mpaka leo hanisemeshi,.
Sasa najiulza nmekosea wapi mbona humu kuna comment ukizisoma watu wanakula wanawake kimasimahara sana wakiwagusa tuu tayari imoo, ila me nmejaribu kugusa nmepigwa na kofi na matusi juu [emoji29][emoji124][emoji124]
Ungejaribu kufanya chochote upate mawasiliano uwezi jua labda ungekula kimasihara.We jamaa umenikumbusha mbali. Niliwahi kuitwa kwenye interview; sehemu ya kukutana ilikuwa Holiday Inn. Tulikaa hapo nje karibu na parking. Asikuambie mtu yule dada alikuwa ni mzuri balaaa wakati naulizwa maswali akili ilikuwa imehama kabisa. Nilivyotoka nikamsimulia jamaa yangu moja kuwa ikitokea nikakosa hiyo kazi hasishangae maana akili yote ilihamia kwa huyo bidada badala ya interview.
Jamani ma HR wakike muwe mnavaa vizuri mnatupa wakati mgumu kwenye interview
God save us
Iweke hapa basiTuliachana vibaya sana ikabidi niache kazi lakini boss lady akawa hataki. Kesi ilifika hadi mahakamani. Kwa kifupi ni story ndrfu sana
God save us
Huu uzi jamani una haribu vijana wetu sana bora ufungiwe tuKuna sehemu very soon ntakula tunda kimasihara.
Nitaandika stori kamili nikishakula saivi naogopa kuvuruga taratibu za kimahakama
Sent using Jamii Forums mobile app
True, tena bora kabisa huu uzi ufungiwe tu, hauna maanaMuongo huyo.
Jaman mod fungeni huu uzi unaharibu vijana na una sababisha mabinti wa watu wabakwe bila sababuHuu uzi mbaya sana aisee, nimejichelewesha kazini ili nimle house girl KIMASIHARA, nimeishia kupigwa na mwiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu punguza nyege basiTrue, tena bora kabisa huu uzi ufungiwe tu, hauna maana
Umekula kwanza,?Jaman mod fungeni huu uzi unaharibu vijana na una sababisha mabinti wa watu wabakwe bila sababu
Toa ujinga wako hapa,Umekula kwanza,?
Sio unatoka uko ulipokuwa unabwatuka, we unafikiri Mod na wenyewe hawapendi kula kimasihara
Ndo hivo bibi huu uzi ufutiliwe mbali kabisaMkuu punguza nyege basi