Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Huu uzi umefanya niblock ME 😀 nikiona tu ananiletea story hazieleweki namsindikiza na block.
Kwenye Hiace muda wote Niko na earphones, kama amekaa ME pembeni nitakuwa busy na simu....huwa siko confortable kuongea na stranger.
kama Sir God ameniandikia Mume wangu nitakutana nae kwenye hiace au barabarani basi huyo nishamkosa

Inshort naogopa kukutana na wala kimasihara, wazee wa touching 🙌 maana inaonekana mko na mbinu konkii mno
Umri nao unakukimbia angalia usije ukaanza kulalama kuwa hauna bahati
 
Huu uzi jamani una haribu vijana wetu sana bora ufungiwe tu
Ulishakazana Uzi ufungiwe, Uzi ufungiwe wakati kila kukicha umo tu unasoma comments zote fupi na ndefu, halafu inaonekana ukiusoma huwa unakuwa wet sana na huna wa kukukuna ndo maana, emu kitulize basi binti na jaribu kubalance shobo zako, pita kimya uende kwenye majukwaa ya dini huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wengine tumekutana na mikasa mambo kibao tu mpaka hapa tulipo sasa
Kama ni kula matunda KIMASIHARA tumekula mengi tu kwa aina na njia tofauti tuna mikasa matukio mengi tu
Lakini nashangaa tukileta ushuhuda MTU anasema ni CHAI uongo mpaka MTU unavunjika moyo kuleta shuhuda zingine

SASA NINGELETA YA KULA MAITI KIMASIHARA KUNA MTU ANGEBAKI HUKU
Tupeni Uhuru wa kujieleza jamani tuseme CHAI uongo kwa faida ya nani
Mimi natoa SHUHUDA za kweli ni mambo yaliyonitokea kweli au vibaya kushare nayi



Sent using Jamii Forums mobile app
Ilete na hiyo ya maiti tujue ilikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliachana vibaya sana ikabidi niache kazi lakini boss lady akawa hataki. Kesi ilifika hadi mahakamani. Kwa kifupi ni story ndrfu sana

God save us
Kaka naomba uimalizie mpaka huko maana mbali na kula tunda kimasihara huu pia ni uzi wa mafunzo na burudan ku share life stories kama hazitakuathiri sana binafsi.

Please naomba uweke huo muendelezo kuufanya uzi uwe na nakshi
 
😆😆😆 nianze kwa kucheka kwanza maana huu uzi umenifurahisha nimesoma comment weee mpka basi..... Nafikiri mm ndio nikiliwa cjui kimasihara cjui kiutani cjui niitaje kisa KARATA tu,, kuna kijana mmoja tulikuwa tumepanga nyumba moja bac tulikuwa washikaji tu story za hapa na pale yani fulesh tu siku moja nlikuwa narudi om kutoka miangaikoni bac nkamkuta nje ya chumba chake kashika karata baada ya kusalimiana akauliza unaweza kucheza karata nkamjibu na maconfidence yani mm nisijue kucheza karata Yani ntakufunga magoli ya ukoo mzima....

Bac buana akasema tuwekane dau kila mtu ataje atampa nn mwenzake endapo atamfunga michezo mitano kwa mpigo.... Yy alisema mie ntakupa laki 1 ukinifunga, sasa mm cjui ni nn tu nkasem mm ukifunga ntakupa uchi... Buana buana...

Nkajiroga tuzama ndani kwani nilishinda mchezo hata mmoja sasa 😆😆😆😆 kufungwa nikafungwa na tunda likaliwa na kutokea hapo tukaanza kudate ila badae tulikuja achana baada ya kupata uhamisho wa kikazi na mawacliano yakafa.......
 
Daaah ndipo nilopo juwa kwamba Kuna bahadhi ya miradi inaweza kujiongoza yenyewe especially hii thread maana rikiboy ayupo lkn mambo sio haba kwakwel

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti hayupo, Kwani kuwa na ID nyingine mpya kunahitaji alama za vidole na kitambulisho cha NIDA?!
Yupo kila siku humu na ana comment ili huu uzi uwe alive na hasa akiona umepooza.
 
Back
Top Bottom