msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 862
- 1,261
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kuusoma huu uzi nikajarbu na mimi kula tunda kimasihara kilichonikuta daaahh[emoji26]
Wale waliokula tunda kimasihara wamewezaje?
Kwa sababu me nmejaribu nmeshindwa nimeishia kutukanwa sanaa na kupigwa kibao na jirani yangu wa kike baada kujaribu kutaka kumla kimasihara, sasa hivi kaninunia hanisemeshi hata ile salamu hakuna, huu uzi umeniponza aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app