Sisi wengine tumekutana na mikasa mambo kibao tu mpaka hapa tulipo sasa
Kama ni kula matunda KIMASIHARA tumekula mengi tu kwa aina na njia tofauti tuna mikasa matukio mengi tu
Lakini nashangaa tukileta ushuhuda MTU anasema ni CHAI uongo mpaka MTU unavunjika moyo kuleta shuhuda zingine
SASA NINGELETA YA KULA MAITI KIMASIHARA KUNA MTU ANGEBAKI HUKU
Tupeni Uhuru wa kujieleza jamani tuseme CHAI uongo kwa faida ya nani
Mimi natoa SHUHUDA za kweli ni mambo yaliyonitokea kweli au vibaya kushare nayi
Sent using
Jamii Forums mobile app