Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nimekuja shamba huku, nimepanga chumba na sebule kwa miezi hii ntakayokuwa nafanya yangu, nimelipia miezi mi4 lakin sikai naweza kuja nikakaa siku nikaondoka nikaja baada ya wiki kadhaa kutokana na mfumo wa utaftaj wangu uko hivyo, sasa juzi nimerudi nimekuta nimepata majiran kama wawili hivi wanawake, wana maumbo ya kike hasa, wote ni wachangamfu sana na napiga nao stori kidogo sana, sasa hiyo juzi nimerudi misele nikawasha subwoofer nikaunga na simu nikawa nachek movie ktk simu nimekaa zangu sebuleni kidogo kapita jamaa na mmoja wa wale wapangaji wamezama katika chumba cha yule mpangaji mi mlango ulikuwa wazi na milango inaangaliana di vyumba vya ndani vyumba huru kabisa. nikasema yees mwana anaenda kula keki ya Taifa ila yule jamaa kidogo anaonekana alikuwa kitungi ila manz yupo fres, nikarudisha mlango wangu nikaendelea na movie yangu..kama nusu saa yule dem katoka kaenda chota maji tukakutana bombani akaniuliza kaka unaangalia movie gan inaonekana nzur nikamwambia ya kawaida tu na ipo ktk sim tu akasema okey ntakuja kuangalia, sa nikajiuliza huyu si aliingia na jamaa ama ndugu yake ama jamaa alisepa zake ah nikaachana nae maana mm sina hata mazoea nae, kila mtu akaenda na zake, mida ya saa tano hv naskia mlango unagongwa nikafungua yeye tena ana khanga tu akasema movie yako inaitwaje unayoiangalia nikamwambia ANNA akaomba aione kwa mara ya kwanza kazama ndani basi mi nikawa namuangalia simuelewi kaka ktk sofa mipaja inavutia ukizingatia sikuwa taa kulikuwa na mwanga wa woofer tu wa bluu, nikamwambia sister kama una flash lete nikuwekee usepe kwangu sihitaj wagen bila taarifa akasema poa sasa wakat wa kutoka akaenda kwanza dirishani anachungulia nje kainama kidogo, mm nikaona huu ukenge maji sasa nikaingia chumban nikachukua ndom, namuuliza sasa wewe unachungulia nn si uende kwako? anasema kuna mtu kamuacha kalala, nikamuuliza yule umepita nae? eeh kalewa sana yaan kafika tu chumbani kafikia kitandani anakoroma nikamuuliza ni jamaa yako? akasema ni mzaz mwenzangu dah nikaona huyu akuja kwangu kwa ajili ya movie kafuata lingine nikamfuata pale dirishani wakat yeye anachungulia mm nikava ndom kabisa alaf nikamshika kiunon ah hamnakitu yaan huyu manzi ndio nikaukumbuka huu uzi wa kula kitu kimasikhara, alivyohis mkuyenge unamtomasa ktk mahaga yake eti kastuka ile anageuka kakutana nao live alaf nikaonahuyu ashauona mkuyenge wangu na kaja kwangu bila chupi nikamwambia tu sister mm sinaga mazoea ya hivyo kama jamaa kalala bilakukupiga mashine mm nakupiga mashine kwa niaba ya mshikaj haha manz akawa kama kastuka hv aamini kinachotaka kutokea sasa mm sikulemba vile vile bado anakodoa kodoa macho nikampindisha nikamtia ududuanataka kuleta wenge nikamuuliza unaingiaje chumba cha msela bila chupi? watu watakushangaa we nitengee vizur kweli kachomoa akaenda kuutenga vizur sasa..jamaa linakoroma mi napiga pum*u mpaka sa tisa yule manzi akatoka zake na mm nikamwambiamazoea ya kisenge sitaki tusizoeane, asubui namuona jamaa anaenda kuoga , dah kisha akasepa na mm nikasepa zangu jion nimerudi nakutana na yule dada mlangon kwake kasimama anauliza ushakula? nikamwambia tayar kwan vipi eti ooh jana umenifanyia vitu sijategea nikamuuliza kwa hiyo? eti naomba tena alaf usiniache...yaan nilijisikia hasira, nikamwambie mm sitak mazoea jana nimefanya vile sababu ningekuacha sijui ungenichukuliaje ila mimi sipo unavyofikiri na mimi ni pasua kichwa we komaa na jamaa yako..asubui sasa yaan leo akaniambia we mkaka mi naomba tena eeh nikaona hapa sasa huyu anataka kuniletea msala mi mapema tu sa nne nne nikasepa zangu nategemea kurudi huko baada ya mwezi...so juzi pia nimepiga show kimasikhara japo sitaki mazoea nayo.
Pumbavu kweli wewe jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kifala majibu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi una mengi sana
😀 😀.

Naona tuchague baharia alievunja kuliko wote.
Kura yangu nampa yule mwamba aliempelekea moto chizi
hapa pagumu...misiju yule mwamba wa laptop ya emu wa chuo kummuuzia nadhani..kamla yule na rafiki yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo chuo mwaka wa 3,kuna demu wa mwaka wa kwanza nilimkuta yupo sehemu kama ana maumivu, nikamsogelea kujua nini tatizo, kumbe demu anamaumivu kisa kapata sup somo moja, kidume nina sup 3 afu sina habari, tukapiga piga story paleee, nikamshawishi twende geto tuchk movie, aiseee kilaani nikala tunda bila kumtongoza, baada ya wiki niakaanza kumtongoza, eti akanikataa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. wanawake wakiwa na mahasira mpka raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hapo nikaomba game tukiwa nje ya lodge moja
hizi ndio mistake na kufeli..kwa mazingira na mipofikia game huombi utaambiwa no hata kama anataka..we unakula tu ila still hukufeli ulicheza fresh karata hiyo aminia...game za hivi tamu mtu anajua una mtu ila mnakulana
 
I beg to differ why ukiwa ktka dose ya UTI doctor anakuambia live usifanye mapenzi kwa muda ?
Period haileti UTI sababu ya uti ni vyoo vichafu hasa vya kukaaa , kuzuiwa mkojo
Wanawake wapo suspectible to UTI since wana urethra ambayo ipo close to the vagina
For your info , UTI sio STI ila sex inapelekea Uti .


Sent using Jamii Forums mobile app
I also beg to differ....
Wote tunafaham kuwa mnaweza mkawa wasomi wa fani flan zaid ya mmoja lkn mkazidiana uweled kwny proffesionala husika. Kuna baadhi ya madaktar wanachanga hii issue na kuwa-mislead watu amabao hawana taaluma ya kitabibu. Tena hawa wenye maabara (not hospt in such) ndio wanaoongoza kupotosha watu, ulienda kupima wanakuambia mlete na mwenza wako apimwe na kutibiwa bila hivyo ataendelea kukuambukiza.

Only incompetent doctor will tell you that sex inakuletea u.t.i Ningekuandikia hapa kitaalam kwann huwez pata u.t.i lwa njia ya sex but ntakujazia comment. Kitaalam sex haiambukiz u.t.i

"Doctors usually recommend avoiding sex until the infection has cleared up completely. This is because having sex may irritate the urinary tract and can push bacteria into the urethra, worsening the infection"

Kama ke ana bacteria wa uti, akisex na me hii itamletea hatar in her urethra as ile push ya to and fro na maji maji ya sper*m vinaweza kusafirisha uti bacteria kwny urethra.

Nawasilisha.
 
Lakini kuna msururu wa magonjwa mengi tu ambayo mtu hashauriwi kusex akiwa katika dose.



Sent using Jamii Forums mobile app

"Doctors usually recommend avoiding sex until the infection has cleared up completely. This is because having sex may irritate the urinary tract and can push bacteria into the urethra, worsening the infection"

Uko sahihi mkuu.
 
Miezi saba baadaye jamaa akapeleka posa nyumbani na miezi minne baadaye tukafunga ndoa hapo St. Alban Cathedral – Dar es salaam.
Bado nipo kwenye ndoa na watoto kadhaa na maisha yanaendelea vyema kabisa.
IMEISHA VIZURI SANA..SEMA JAMAA HAKUWA BAHARIA PIA IKAMFANYA AKUPATE FOR GOOD
 
Kuna watu hapa wamenivutia na mimi ku-share hii stori, kwa kuwa nimepata ruhusa ya aliyenila naona si vibaya ku-share nanyi.
Miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza masomo hapo Chuo cha Afya Muhimbili (Wakati huo kilikuwa chini ya University of Dar es Salaam), nilipata nafasi ya kufanya internship kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar.
Nilifurahi sana maana nilikuwa natamani sana kwenda Zanzibar na kujionea mazingira ya huko. Kabla ya kwenda nilifanya maandalizi ya mahali pa kufikia na kwa msaada wa baadhi ya watu nikafanikiwa kupata sehemu ya kuishi kwenye maghorofa ya Michenzani –karibu kabisa na Kisonge. Nyumba niliyopata alikuwa anaishi kijana mmoja Mtanganyika ambaye alikuwa akifanya kazi huko. Kwa wanaofahamu maghorofa ya Michenzani nyumba moja huwa ina vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa, jiko, sehemu ya kufulia pamoja na choo cha ku-share.
Nilihakikishiwa kuwa jamaa ni mtulivu na mstaarabu hivyo nisiwe na wasiwasi naye maana kila mtu ana chumba chake. Kabla ya kwenda nilizungumza na jamaa na kujua namna tutakavyo-share gharama ya kodi, umeme na chakula. Nilimtumia pesa aninunulie kitanda, godoro na mahitaji mengine madogo madogo.
Hatimaye nikafika Zanzibar, jamaa akaja kunipokea na kunifikisha Michenzani. Jamaa alikuwa mtulivu sana na alikuwa anaongea kwa utaratibu sana. Kwa kweli nikawa comfortable kabisa. Mchana ule jamaa aliingia jikoni na kuandaa chakula,nikiri tu jamaa alikuwa anajua kupika. Jioni tukatoka akanipeleka mpaka eneo la Vuga ambapo kuna hospitali ya Mnazi mmoja na kisha tukaenda Forodhani. Jamaa hakuonyesha hata dalili kwamba ananitaka.
Nilizungumza naye habari ya kodi na gharama nyingine akanijibu kuwa nisijali kwa kuwa kodi ameshalipia mwaka mzima na ndio kwanza amemaliza mwezi wa kwanza. Huyu jamaa alikuwa kwenye masuala ya ujenzi.
Hatimaye nikaanza internship baada ya siku kadhaa, kwa ratiba za internship mara nyingi huwa tunapewa zile shift za usiku na wakati mwingine unaunganisha huku ukiwa na muda mchache sana wa kupumzika. Mara nyingi nikiwa sijaenda kwenye internship nilikuwa nalala tu. Jamaa alikuwa anapika na kuniamsha ili niende kula, kuna nyakati mpaka nilikuwa naona aibu, msichana wa miaka 24 kupikiwa na kijana wa miaka 27. Mara kadhaa alikuwa ananipeleka pale mgahawa wa Lukman – pale mkunazini. Kuna siku jamaa mpaka akanifulia nguo zangu alizozikuta kwenye sehemu ya kufulia nguo (hazikuwa chupi na sidiria). Ilibidi nimwambie asiwe anafanya hivyo, au walau aniachie na mimi nimfulie siku moja. Ni aina ile ya wanaume ambao hawakuchoshi, ni mpole na mtaratibu na mwenye kukufanya uwe na furaha.
Nisiwachoshe sana, baada ya mwezi mmoja hivi nilianza walau kuvutiwa na huyu jamaa, maana niliishi hapo muda wote lakini hakuwahi hata kuingiza mwanamke wala hakuwahikunipatia usumbufu wowote bali alikuwa mcheshi na mwenye staha ila niliona si vyema nikianza kujirahisisha.
Siku moja ya jumapili ambayo nilikuwa off nikaona walau niingie jikoni na nimpikie huyu jamaa, nikaandaa supu ya samaki kwa mkate. Jamaa alipoamka akashangaa kunikuta jikoni na kunitania dokta kumbe unajua kupika? Nilicheka na kumwambia oga uje uonje. Alikula na kufurahia chakula na kisha akaniambia ana safari ya Nungwi na jamaa wa ofisini ambao wanaotokea upande wa Tanganyika, kwenda kupumzisha akili na kutalii. Sikusubiri aniambie kama nipo free, nikamwambia kama na mimi naweza kwenda nao, jamaa akakubali. Nikaona leo sasa ngoja nimpime jamaa.
Akapitiwa na jamaa zake watano ambao nao walikuwa na wapenzi zao, jamaa zake wakaanza kumtania umemtoa wapi mtoto mzuri hivi, jamaa kwa aibu akawa anawajibu kuwa mimi ni housemate wake.
Tulikaa pamoja kwenye gari, jamaa akaanza kushika vidole vyangu na kuuliza maswali udaktari na elimu, nikamwambia leo tupo kustarehe aachane na masuala hayo. Safari yote nilikua nimemuegemea jamaa kifuani na karibu watu wote walikuwa wameegemeana ndani ya Coaster.
Tulifika Nungwi na kufurahia sana michezo ya beach kuogelea na kukimbizana pamoja na vyakula. Jamaa alijiachia sana name sikuwa na hiyana nikawa kama mpenzi wake, alinishika alipotaka na dry kiss za hapa na pale, alinitia nyege za hatari japo nilikuwa najaribu kuwa mvumulivu kidogo - aibu iliishia pale beach. Jioni safari ikaanza ya kurudi MJINI.
Tulifika mjini majira ya saa moja na nusu, jamaa akanunua chipsi na kuku kisha tukapanda ngazi kwenda ghorofani.
Nilienda jikoni kufuata sahani huku natafakari maisha yatakavyokuwa mle ndani baada ya ile michezo ya beach huku nyege zikiwa zimenishafika kiwango cha juu zaidi, nikiwa jikoni jamaa akanifuata na kunikumbatia kwa nyuma mikono ikiwa tumboni na kuniambia dokta nisamehe kama nilivuka mpaka kule beach, nakuheshimu sana; nikiwa nahisi kutetemeka niliinyanyua mikono ya jamaa kutoka tumboni na kuipandisha kwenye maziwa yangu, jamaa aliyaminya maziwa yangu kwa sekunde kadhaa na kisha kunigeuza upande wake na kuanza kunila mate kwa dakika kadhaa. Nilishusha mkono na kupapasa kwenye bukta yake na kukuta tayari ameshasimamisha. Jamaa akapeleka mkono mgongoni na kufungua vikamba vya kigauni chepesi nilichokuwa nimevaa kisha akanipandisha juu ya meza ya zege ya jikoni na kuanza kuninyonya sikuwa nimewahi kunyonywa katika mahusiano yangu huko nyuma; ilikuwa tamu sana kiasi ambacho baada ya dakika kadhaa nilimwaga maji kwa mara kwanza na kujiskia kufika.
Jamaa akataka kuingiza uume nikamwambia nimechoka tukaoge kwanza, alinishika mkono mpaka bafuni na tukaoga pamoja, ambapo jamaa alinishikisha sinki na kunipa dogystlye moja matata sana. Jamaa alikuwa na nguvu na uwezo kwenye tendo la ndoa.
Usiku ule jamaa alilala chumbani kwangu na kuanzia hapo maisha yakaendelea kwa namna hiyo, ilikuwa ni kugegedana tu na nilifurahia internship vizuri sana. Maana kuna nyakati hata nikirudi nimechoka jamaa atanishawishi mpaka nampa mzigo. Na alikuwa na mapenzi hasa maana upo ofisini unakutana ma meseji, nimemisi tamu, ukirudi unipatie, nimeshakupikia hapa.
Miezi saba baadaye jamaa akapeleka posa nyumbani na miezi minne baadaye tukafunga ndoa hapo St. Alban Cathedral – Dar es salaam.
Bado nipo kwenye ndoa na watoto kadhaa na maisha yanaendelea vyema kabisa.
You shared one of the great stories hapa kujwaani.....happy ending
 
Huu uzi ni wa kuheshimu sana na usione watu wanahadithia huku wamekula kimasihara ukajua ni watu wadogo..... kuna waheshimiwa pia wamemwagika stori humu...

Unaweza kukuta mtu ameweka stori huku alikula kimasihara huku huko 90+ akampa mtoto mimba na ww unakomenti... kumbe ww ndio ulizaliwa na aliyekula kimasihara ni mdingi wako....
Hii comment inaonyesha imewafurahisha mabaharia
 
Wewe. Mtu pepo utaisikia tu [emoji3]
show inaanza kulikuwa kuna mazishi yaa dingi ake muhuni wangu meko baba la baba ambae sahivi yupo jela anatumikia kifungo baada ya kutia mimba wanafunzi ilikuwa mida ya saa 11 jioni tuko makaburini nikasema ngoja nitafute kichaka pembeni nisome msokoto wangu wa bangi maana hapo makaburini ni mavichakachaka kama mnavyojua mazingira ya makaburini yalivyo basi nikapiga pafu nikasizi mpaka mida ya saa kumi na mbili jioni akili ikakaa sawa narudi kwenye lile eneo la msiba la kuzika watu walleyes washaondoka amebaki sister ake meko analia anabembelezwa basi "'subira usifavye hvyo unakufuru twende nyumbani""nadhan walikuwa ni watu wa mwisho maana alikuwa amelalia kaburi kabisa binadamu yake wa kike anambembeleza


basi mabaharia mnyama GH wa unyamani nikatokea kwenye vichaka nikakute wamekumbatiana wanalia subira alivoniona rafiki wa kaka yake akanifuata akanikumbatia akaanza kulia " kaka GH baba ameenda tumemzoea sana "akaja na kale ka binamu kake kakaunga tela nikawakumbatia wote huku nikisema nyamaza pole sana yote ni mipango ya maulana

wakati wamenikumbatia nikaanza kumshikashika kumpiga touch za kijanja kale ka binamu kakashtuka kidogo lakini kaka tulia nilikatekenya nikavuta kachuchu kalichojitokeza kwenye shati lake la jezi ya Manchester united ile ya zamani imeandikwa AIG ila wana wa old Trafford mtanisamehe kwa hilo

basi kakasimka nikawaacha nikwambie yule binamu asha mpeleke subira nyumbani wakati huo subira alikuwa hatua chache mbele asha akanifuata akanikumbatia akaninon'goneza usiondoke nakuja basi Mimi ni kakaa kwenye lile kaburi bado bichi na ule udongo nikimsubiria nikakaa almost 30 minutes inaenda saa moja kagiza kameanza kuingia nan'gatwa na mbu nikasema huyu demu au amenizibgua nini

Mara kwa mbali naona katochi kanakuja upande wangu nikataka nishtuke maana tulishawahi kuhadithiwa vibwengo vinakaaga au vinapita makaburuni ukiangalia kwa mbali unaona kama taa inakufuata kumbe vinakuaga vinawaka kwenye paji la USO tuachane na hzo story za bibi jioni

basi kumbe ni yeye alivoniona akacheka akasema sasa unataka kukumbia nini alikuwa amejifunika mgololo ule wa kimasai au tuseme shuka kwa wana wasiohufahamu akautandika juu ya lile kaburi akiwa ameinama analiweka fresh nikamkamata nikamuinua nikampiga denda la Uruguay mpaka akakamaa huku akachomoa lips zake akasema kwa nini tusiende gesti nikamwambia acha hzo fasta tu hapa unasepa


basi nikanyonya kisogo chake kikielekea kwenye msalaba kwahyo Mimi kama nau face msalaba piga touch za maana za ki Chelsea nikamuinamisha kwenye kaburi la dingi yake meko ndo tulikuwa tumendandika mkeka yaani hilo shuka mbwa style pump kisawasawa huku nikiangalia msalaba umeandikwa

john Christian ngonyani
kuzaliwa 23 /12/1948
kufa 5/9/2017

nikapump huku moyomoyo nikisema we mzee Leo natafuna mtoto wa Dada yako Mara tukamulikwa na tochi hapo makaburini zile tochi kalii ..nitaendelea mabaharia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom