Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

I beg to differ why ukiwa ktka dose ya UTI doctor anakuambia live usifanye mapenzi kwa muda ?
Period haileti UTI sababu ya uti ni vyoo vichafu hasa vya kukaaa , kuzuiwa mkojo
Wanawake wapo suspectible to UTI since wana urethra ambayo ipo close to the vagina
For your info , UTI sio STI ila sex inapelekea Uti .
Mkuu U.T.I haiambukizwi kwa njia ya se*x hata kidogo. Unaweza ukawa ulipata hiyo u.t.i kwasababu ya uchafu wa damu ya period. Ila kitaalamu u.t.i haiwezi kuambukizwa kwa njia ya kujamiana. U can only get u.t.i if u do an*al se*x au kwa mwanamke km mwanaume anaweka finger au di*ck yake kwa an*al then anaitumbukiza tena kwny uke wake.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hali halisi kwenye vyoo bya ndege huwezifanya ujinga huo, kwanza huwa vipo jirani sana na abiria maana hakuna nafasi kubwa ilobakia kati ya choo na watu. Pili alikosa nn business akaja kajamba nani labda vyoo vya business sijawahi safiri na hilo daraja yawezekana mlifanyia huko. Ila economy boss naijua kuliko mke wangu tafuta uongo mwingine. Halafu watu weupe sio wazembe kama unavyofikiri. And wanajua wafrica wote ss ni wagonjwa hawezikupa papuchi kizembe hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah una mke alafu humjui kuliko economy..
Dunia hii ina vitu vya ajabu..
 
Hatari haipo kwenye kuunganisha miili yenu wakati wa tendo,tatizo lipo kwenye muunganiko wenu katika ulimwengu wa ROHO.

Huyo mganga anaroho mbalimbali za mizimu ndani yake,au tuseme za kishetani

So simple math ni kwamba huo ulimwengu wa kiroho wa ndani yake umekutambua,kujitoa itakua kazi sana

Muombe sana MUNGU akusaidie.

Sex ni connection kubwa sana baina ya BINADAMU kuconnect katika ulimwengu wa roho.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom