Huyo wala sio mganga ni mpigaji tu. Hela sahau kuzipata. Wewe endelea kujipigia mzigo wa mganga. Wote wanaoenda hapo kwa ajili ya kazi kama yako wote wanaishia kumgonga. Ndio maana anakutega na kanga moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh![emoji848]

Kwahyo ukamchakata mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hadi maandishi unakandamiza!Kweli we msukuma haya kalaleko!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umesimulia vizuri sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show haikumvutia kurudia pambano!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kikwetu [emoji1787][emoji1787] kwa hiyo huko kwenu ndio mnapangia watu waishi vipi? Nonsense

Waabudu mizimu ndio mnaamini haya masuala ya laana na blah blah nyingi.

Endelea kuishi katika mikono ya wafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila jamii INA taratibu zake. Hats hao wazungu ambao ndo unaona kama reference nzuri kwako wana desturi zao. Aka haujui kuwa hats dini na Nina ulilo nalo ni desturi zao. Hujiulizi no kwa nini mwanamke haitwi JOHn aka Abdallah?
 
Haaahaaa haaa, kikwao anafikiri ni dunia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema tu kama maongezi wala sijaongea kuwa ni mwiko dunia nzima. Ama Hanna LA kuongea mkuu. Ninaelewa hili halifai kwenu kwetu halifai. Neo man's mnakomaa ushoga haumtaki Afrika ila ulaya ni ishu ya kAwaida mkuu. Kabla hujaandika fikiria logic ya mwandishi na ya wewe unayeandika
 
Huyo dogo anakipiga vizuri real Mallorca?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuunganishe na kampani ya marafiki zako tutoke pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…