Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nakumbuka katika miaka ya utoto, nilitokea kupendana mno na binti ambaye alikuwa ni jirani yetu, baba yake alikuwa ni askari jeshi, Mkuu wa Mgambo wa Mkoa. Hakika tulipendana sana na fa familia zetu zililijua hilo. Tulisoma na pamoja na mara nyingi tulicheza michezo ya kitoto pamoja. Yalitokea maneno toka kwa vijana wengine kudai sisi ni wapenzi lakini haikuwa kweli. Mambo ya kujamiana hayakuwa kichwani mwetu japo kuna hisia za mapenzi zilikuwa zikichemka. Kaka zake huyu binti walikuwa ni marafiki zangu kweli!

Baada ya kumaliza masomo ya shule ya msingi, huyu binti yeye hakufanikiwa kuendelea na sekondari ila mimi nilichaguliwa kujiunga na sekondari moja mkoa wa Kilimanjaro. Binti yeye alienda kuishi Tabora kwa dada yake ambaye alikuwa kaolewa na askari jeshi. Baada ya kumaliza kidato cha nne, nilipangiwa kujiunga na kidato cha tano katika shule moja mkoani Tabora. Hivyo ikawa bahati tena ya kuungana na huyo binti. Kila Jpili nilikuwa nikienda kula mchana kwa dada ya huyu binti. Akiwa Tabora, huyu binti alianza mafunzo ya Uuguzi katika hospitali (Nurse Assistant). Mimi baada ya ya kumaliza masomo yangu ya kidato cha sita, nilipangiwa kwenda katika kambi ya JKT, Mafinga kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria hata hivyo sikwenda Mafinga bali nilibadilisha nikaenda Msange JKT hapo hapo Tabora. Hivyo tuliendelea kuwa karibu.

Mara baada ya kumaliza mafunzo ya JKT nilipata bahati ya kuchaguliwa kwenda kuendelea na masomo ya juu nje ya nchi ambako nilikaa kwa muda wa miaka sita. Kwa muda wote huo tulikuwa tukiwasiliana na huyu binti kwa barua (ikumbukwe enzi hizo simu za mikononi zilikuwa bado). Na kipindi hicho, tayari Baba yake alistaafu na kurejea kwao Tanga. Huyu binti baada ya mafunzo yake, alirudi mkoani kwetu kuishi na dada yake mwingine ambaye alikuwa kaolewa huko. Alifanikiwa kupata kazi kama Muuguzi Msaidizi katika hospitali ya Mkoa.

Akiwa huko alifanikiwa kupata mchumba na kuolewa. Ndoa yake mwanzo ilikuwa nzuri lakini kadiri muda ulivyokuwa ukienda hali ilibadilika na upendo kukosekana katika ndoa hiyo. Tatizo kubwa lilikuwa ni kukosekana kwa mtoto katika ndoa. Pamoja na jitihada nyingi za kitabibu kufanyika lakini binti huyu hakushika mimba. Hapo yakanza manyanyaso, masimango na vipigo juu! Alikuwa akiniandikia na kuniomba ushauri.

Baada ya kurudi nyumbani kwa, nilimkuta akiwa kwa Dada yake, kakimbia kwake baada ya vipigo kuzidi. Nilimtembelea jioni moja hapo kwa dada yake na baada ya kupata chakula cha jioni tulikaa sebuleni na kaanza kunisimulia yanayomsibu. Alikuwa kakaa pembeni yangu akiegemeza kichwa chake katika bega langu huku akilia. Nilijisikia vibaya na nikakosa mbinu ya kumfariji ili asilie, maskini mimi! Nilianza kumpiga piga mgongoni kumbembeleza na kumvutia kwangu. Nilisimama kisha naye akasimama akakiweka kichwa chake kifuani kwangu. Nikayashika mashavu yake yote kwa viganja vyangu na kumtazama usoni.....bila kutarajia nikajikuta nimepewa ulimi nami bila kujijua nikatoa ushirikiano. Kilichofuata nilijikuta niko chumbani kwake na tumeshiriki tendo la ndoa bila ya kutarajia tena bila condom! Anyway, tulipima baada ya muda na majibu yalikuwa safi. Tulijikuta tunatoka katika urafiki na kuwa wapenzi....... Hata hivyo nilimjulisha kuwa nina mchumba na nikamtambulisha kwake. Alshiriki kikamilifu katika ndoa yangu na hadi kesho yeye ni mshauri wangu namba moja katika maisha.

Nilihis ndio atakuwa mkeo mna historia nzur sana ya kuvutia ila ndio hivyo
 
Umetaja wambulu nimekumbuka kisa kimoja kilitokea maeneo ya karatu ila sio kula tunda kimasihara, nichomekea stori tuu.

Mwaka 2008 Tulienda kikazi karatu mimi na jamaa yangu, tukapata chumba kwenye gesti flani local. Hicho chumba kina vitanda viwili.

Mida flani ya jioni jamaa yangu akaniambia twende bar tukatafute malaya wa kulala nao. Nikamjibu mimi nimechoka nasikia usingizi wacha nipumzike. Jamaa akasepa zake.

Mida ya usiku jamaa akarudi na malaya hao wakajibwaga kitandani. Basi jamaa akaanza kumchezea demu akaanza kumla, mimi usingizi umekata nasikilizia tuu jamaa anavyokamua.

Jamaa akamaliza bao la kwanza. Basi nikashuka kitandani kwangu nikaenda mpaka kwenye kitanda kwake. Nikamgusa jamaa yangu taratibu huku namnon'goneza niachie basi demu nipige kimoja.

Dah jamaa akaropoka kwa nguvu NIKUACHE NINI, WEWE SI NILIKWAMBIA TWENDE TUKATAFUTE MADEMU UKAJIBU UNASIKIA USINGIZI, HAYA NENDA KAUTOMBE USINGIZI WAKO MBWA WEWE. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
ikawaje mwisho wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe jumlisha genye, unapiga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...ila wakuu tujihadhari tu asee[emoji23][emoji119]

Mimi nimewahi kupiga Barmaid kavukavu kisa pombe miezi mitano iliyopita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji22].

Natamani kupima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...lakini tatizo moyo...hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nguo zakoo ni Nani atavaaa we
Watoto wako ni nani atalea we
Ogopa ukimwi, ukimwi hauna dawaa
Hicho ni kiitikio cha wimbo fulani miaka hiyo
 
I
Kikwetu hii unajimaliza mwenyewe kwa mana unaimaliza familia yako .
Ndugu wa mkeo tena tumbo moja ni mwiko mkubwa sana na laana itakuandamana
Eti kikwetu [emoji1787][emoji1787] kwa hiyo huko kwenu ndio mnapangia watu waishi vipi? Nonsense

Waabudu mizimu ndio mnaamini haya masuala ya laana na blah blah nyingi.

Endelea kuishi katika mikono ya wafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku kadhaa za nyuma niliibiwa kiasi fulani cha pesa kikubwa tu, baada ya kuzitafuta bila mafanikio ikabidi nifikirie kwenda kwa mganga nione kama anaweza kunisaidia!

Basi bwana hayawi hayawi yakawa hatimaye,
Mara paap nikampata jamaa mmoja yeye anamfahamu mganga na akanihaidi kunipeleka. Tukakubaliana fresh, siku ya Jumatatu nikampitia jamaa mida kama ya saa nne asubuhi tukaanza safari kuelekea kwa mtaalamu.

Tukaenda nje ya jiji la Mwanza kuelekea Sengerema. Tukaenda mpaka tukafika eneo husika.

Kwa mganga tulikuta ni nyumba kubwa tu nzuri, inavutia na ina geti. Tukafungua geti tukachoma ndani.

Kuingia ndani tukamkuata mtoto mdogo tu wa kike nahisi alikuwa ni mtoto wa mtaalamu japo sikupata uhakika. Tukapiga hodi huku tukiwa ndani ya geti akatukaribisha tuingie sebuleni lakini aliyetukaribisha alikuwa ni mwanamke na sauti ilitokea chumbani.

Basi kama kawa tukaingia sebuleni tukaanza kumsubiri.

Mara paaap! akatoka ndani mwanamke mzuri nilimkadilia umri ni wastani wa 35 - 38. Yule mwanamke alikuwa mzuri body kali amepanda juu kinoma.

Alikuwa amevaa kitenge tu jamani ndani hamna kitu, halafu juu amevyaa kitambaa cheusi yaani kimefunika matiti tu na kimezunguka hadi mgongoni.

Tuakaanza kuongea nae pale, akaniambia niingie kwenye chumba kingine.

Kile chumba nilichoingia kilikuwa kitupu kabisa kuna mkeka tu pamoja na stuli ndogo na baadhi ya makorokoro yake

Tukaingia chumbani mimi nikakaa kwenye mkeka yeye akakaa kwenye stuli.

La haula alivyokaa kwenye stuli akawa ameshikilia ile khanga ameichomeka katikati ya mapaja yaani mapaja yote unayaangalia kifua chote.

Daaah! Mwanaume akili yote ikafyatuka mwili ukasisimka mzuka ukapanda.

Yeye amekomaa kuchanganya vidawa vyake mimi mshipa umeshanisimama sielewi chochote.

Basi akatengeneza vitu vyake akamaliza akanipa dawa nikamuachia hela pale; nilitaka nimguse paja kidogo nikaona ngoja nitulie kwanza, nikajitutumua nikamuomba namba za simu naye hakusita akanipa.

Sasa basi usiku uleule wa Jumatatu nikampigia kwakweli nilimueleza kila kitu kuwa kwake nimezimika sijiwezi tena. Nikaona response yake, akawa anahisi masihara mara oooh acha utani. Nikasema yeeeees hapa hapa!

Sasa jana nimemuibukia kwake majira ya saa tisa mchana. Nimekaakaa pale story mbili tatu, nikamsogelea karibu. Aisee kimasihara tu mganga jana nimemla mzigo!

Jioni kama saa moja kasoro nikapanda zangu feri nikarudi mjini.

Sasa usiku akaanza mazoea na vimeseji vya ajabu.

Leo pia asubuhi kanitumia sms kuniuliza nimelalaje. Yaani hapa najiandaa leo nikalaleko kabisa. Mganga ni mtamu jamani!

Ngoja nipige kazi fasta jioni niwahi feri niendako leo nalalako kabisa, nataka nimkomeshe
 
Yani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.

Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unforgetable
 
Back
Top Bottom