Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Nimepanda mwendo kasi leo asubuhi, kucheki jirani yangu kwenye kioo cha simu yuko busy na huu uzi.
Halafu ni mdingi hasa, kama 55 hivi.
Halafu ni mdingi hasa, kama 55 hivi.
Kuna mijitu ina akili mingi sanaYani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.
Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Ndo icho ninachomaanisha ukifanya hit and run imekula kwakoKivipi mkuu au shida kwakua yeye ni mganga? Halafu mi sina haja ya kumuoa mi nampitia tu nalala mbele
Anaangalia kama mke wake alishawai kuliwa kimasihara kabla ajamuoa au baada ya kumuoNimepanda mwendo kasi leo asubuhi, kucheki jirani yangu kwenye kioo cha simu yuko busy na huu uzi.
Halafu ni mdingi hasa, kama 55 hivi.
Anaangalia kama mke wake alishawai kuliwa kimasihara kabla ajamuoa au baada ya kumuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ujue huyo mzee enzi zake alikuwa baharia. Pengine mojawapo ya hivi visa tunavyovisoma na kuburudika navyo ni vyake.Nimepanda mwendo kasi leo asubuhi, kucheki jirani yangu kwenye kioo cha simu yuko busy na huu uzi.
Halafu ni mdingi hasa, kama 55 hivi.
Mkuu nikifumba jicho moja naona kila kitu?imekula kwako
kwa taarifa yako hapo lazima ufanywe ndondocha a.k.a msukule
hata hapo umefanyishwa mapenzi na msukule,na ukitaka kuelewa jioni ukienda tena..
uingie hapo ukiwa umefumba jicho moja hadi huko kilingeni na kwenye puchi
utakayoyaona usipige kelele;vinginevyo utachizishwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari au atamtengeneza akitaka kula mzigo panya anakuja anachukua mashine anaondoka nayo, hiyoooooo, akiacha baadaye anarudisha.Mkuu huo ndiyo mwisho wako wa kula papuchi nyingine, atakutengeneza ukitoka nje machine haifanyi kazi, acheni kukimbilia walozi
Kabisaaa....nililipa kisasi mkuu
Wee mbwa unasema kweli au unatania?Kama ni huyo mdada mrefu mweupe hivi anapenda kuvaa mabangiri mengi mkononi hata mimi nshamtafuna sana tu nilipelekwa hapo na anko wangu kipindi kile biashara yangu ya majeneza ilipotaka kuwa ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app