Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,965
- 4,040
Mkuu nikifumba jicho moja naona kila kitu?imekula kwako
kwa taarifa yako hapo lazima ufanywe ndondocha a.k.a msukule
hata hapo umefanyishwa mapenzi na msukule,na ukitaka kuelewa jioni ukienda tena..
uingie hapo ukiwa umefumba jicho moja hadi huko kilingeni na kwenye puchi
utakayoyaona usipige kelele;vinginevyo utachizishwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari au atamtengeneza akitaka kula mzigo panya anakuja anachukua mashine anaondoka nayo, hiyoooooo, akiacha baadaye anarudisha.Mkuu huo ndiyo mwisho wako wa kula papuchi nyingine, atakutengeneza ukitoka nje machine haifanyi kazi, acheni kukimbilia walozi
Kabisaaa....nililipa kisasi mkuu
Wee mbwa unasema kweli au unatania?Kama ni huyo mdada mrefu mweupe hivi anapenda kuvaa mabangiri mengi mkononi hata mimi nshamtafuna sana tu nilipelekwa hapo na anko wangu kipindi kile biashara yangu ya majeneza ilipotaka kuwa ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanzaje kuingia mitini sasa mkuu!! Maana uyo ulipo yupo yani upo nae kila sehemu na ukitaka kujimix tafuta dem mwengine uwone lazima akutoe bushasi kweli mimi nitamla tu kisha nikiishamkinai naingia mitini
Daah man we jasiri kinoma asee... Sasa apo ujiandae na wewe kuwa mganga msaidizi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app



