Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Dah umenikumbusha Facebook nilikulaga demu mmoja mkali sana alikuwa anaishi UK. Tulikuwa tunachat ujinga ujinga miaka karibia miwili wala hatujuani demu alikuwa anaishi UK ila she is from Mikocheni. Kama mtapendezwa nitawapa story yake nilivyomla aliporudi Bongo one time na kuondoka
tumependezwa , tupatie stori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leo nimeshindwa kula tunda kimasihara yani nimefeli dakika za mwisho sana....

Leo nilienda kumtembelea bi mkubwa asubuhi hii njiani nikakutana na mtoto mmoja mzuri sana mkabala na home aaaah nikamsimamisha nikamuomba namba then nikaendelea na safari.....

Katika kuchat nae akawa amejitambulisha kuwa amehitimu six mwaka huu lakini ameshindwa kuendelea na chuo staenda mwakan

Mchana huu amemuuliza nipo wapi nikamwambia nipo home njoo....akaropoka nipo town ngoja nigeuze hapo nipo rum langu la home maana halima watu na home yupo bi mkubwa tu.....nikampamdia hewani baada ya dakika 10 akaniuliza ashukie wapi nikamuelekeza

To cut the story mtoto amekuja and nimejikuta nampitisha sebureni kama sina akili nzuri mtoto amesalimia nikamvuta ghetto aiseh,

Sijasema chochote yani nimemshika tu mgongoni nikaanza kumnyonya mate hapo nikaenda funga mlango kwa funguo yani nimemchezea sana mtoto ila K mdo kagoma chezea sana nyonya sana kifua but mtoto anasema yeye bk alfu ndani alivaa jeans moja hiyo nimeiita (jinzi) nimefurukuta ila wapi nikapitisha jidole Pembeni ya jinzi yake kuelekea kwenye tunda nikaona bado ni seald yani kizibo bado kimasomo 89 mpka 90.....

toka saa 6:21 hadi sahizi mdo natoa dogo anazngua tu ila mambo mengne ananipa ushirikiano..... hapa nimechanganyikiwa kukosa tunda Mazee nimempitisha akaaga kwa bi mkubwa hapa ndo nipo nje siwezi hata kumuaga bi mkubwa naona aibu tu...

Ila dogo nampanga atimbe machinjioni aka Estadio glanchaco nije nimpulizie moto....

Wakuu samahanini Sana nimefeli hatua za mwisho
BIKRA WANASUMBUA MI WAWILI NISHAWAPIGA CHINI KIMY AKIMYA WANSUMBUA SANA
 
Dah umenikumbusha Facebook nilikulaga demu mmoja mkali sana alikuwa anaishi UK. Tulikuwa tunachat ujinga ujinga miaka karibia miwili wala hatujuani demu alikuwa anaishi UK ila she is from Mikocheni. Kama mtapendezwa nitawapa story yake nilivyomla aliporudi Bongo one time na kuondoka
Tupia mkuu!! We tupia tu!!
 
Miaka ya nyuma kidogo nikiwa chuo nilikua mdada flani hivi wa kawaida sanaa ikitokea umenifahamu ila kwa appearance ya nje watu wengi walikua wakinichukulia tofauti...wengi walikua wanasema naringa mara natoka na watu washua kumbe wapi maskini[emoji28]....ss kutokana na hiyo situation nilikua na small circle ya marafiki inshort nilikua naongea na wengi kwa story za juu juu ila sikua na rafiki...ktk maisha yng ya chuo wazaz wangu haikua haba sana kwa vimatumizi vya hapa na pale na nilikua na boyfrnd ambae alikua na kasoro zake nyingi tu ila kwny kunihudumia hakuwahi kua na shida ila tulikua mikoa tofauti deep inside mm ni type ya mdada ambae nikipenda napenda so nilikaa pale chuo almost miaka2 sijawahi kua na mvulana yyt yule na nilikua niktongozwa nakataa sababu ya kumlindia heshima mshkaji nliekua nae incase akiwa anakuja nisimchoreshe kwa watu (au tuseme nilikua nampenda tu[emoji1])...kutokana na kua napewa vijisenti vilivyokua vinanitosha bas nilikua nakula bata zangu ndogo ndogo mwenyewe km kujipeleka club sometimes si unajua maisha ya chuo[emoji28] au saa zngn sehem za kunywa kdg nakula nyama nakodi bajaj narudi room

Sasa bwana kuliwa kimasihara kulikuja vipi[emoji28]!
Wakati maisha yanaendelea yule boyfrnd wng kuna vingi alikua akinikwaza ila namezea tu sababu nampenda maana mara upoge cm iko busy mara asipokee yaani ilimradi fujo tu sema nikawa naumia kindani natulia sina jinsi sasa kuna siku nikajisemea tu ngoja nitoke leo nikapate bia mbili tatu nile na nyama nirudi kupumzika.... wakati nipo pale nikakutana na mkaka "X" huyu mkaka nilikua nasoma nae na tuna mazungumzo ya juu juu salamu na utani kwa mbali sanaa alikua anapenda kuniambia we unajitoaga mwenyewe mwenyewe mshua gani anakuweka mjini ww? Nsishia kucheka napotezea siku zinaenda?

The guy serious alikua very handsome and attractive sema alikua sio mtu wa mademu sana sababu alikua anapenda pombe na marafiki ht ile cku alikua na rafki zake ila alivyoniona pale ndio akaja pale kunizingua na kunisalimia basi tukaishia kupiga story nyingi sana akanikumbushia jinsi alivyokua mwenyewe anaita "kujipendekeza kwangu 1st year nikawa najifanya kumpotezea na nn tukawa tunacheka tu mara ghafla nikashangaa nimepata crush ya ajabu kwake yaan nikaacha hadi kunywa nikawa namzingatia kila akiongea ndio nikawa close naubaini uzuri aliobarikiwa aisee i found out yule kijana ni mzuri bwanaaa! Mi hata sipendagi kubit around the bush nilimwambia direct "X" unajua kua your very goodlooking and handsome?? Akacheka akidhani namtania nikamwambia am serious akasema mbona ulikua unanikataa tangia mwanzo nikamwambia achana na yaliyopita!

Wakuu nikamwanbie it will be my pleasure km ntaspend a night with u dizaini km alishtuka akatafakari kwa mudaaa then akasema sawa but kwa nn tusifanye kesho? Nikamwambia naomba iwe leo akakubali sababu ya tamaa nadhani🤣 sababu mimi nae si haba nina umbile la kiafrika jamani[emoji23]!

That night was the best in my life jamani hv wadada ulishawahi kutana na kijana ambae akivua nguo ndio anazidi kuvutia🤯 basi ni huyu kaka...alikua ana rangi flani hv ya maji ya kunde mrefu ananukia vzr jmn japo alikua amekunywa ila his mouth smell good.....tulifanya sex usiku mzima non stop mpk asubuhi...asubuhi akaomba tena nikampa then nikaoga na yy akaoga tukawa njiani tunacheka tu mi nikaenda room kwangu na yy alienda room kwao!

Kufika kwangu nikadhani atapotezea so binasi na mm nilikausha since that day akawa ananitafuta like everytime...caring na huduma zote km a girlfrnd nilikuja kushangaa how caring he is tofaut nlivyokua namdhania akaja kuniambia ile siku ya kwanza nilisita sabsbu nilihisi lbd una UKIMWI unatska unilambe nao aisee tuliendelea na mahusiano na tulipendana mnooooo ukizingatia tulikua na vitu vingi tuna match!

Mpk ss hv natype ni tulimaliza chuo tukakaa km mwaka na nusu hv akaja nyumbani wakamtambua japo mm alinipeleka kwa mama yk muda kidogo....process zilifatwa tukafunga NDOA takatifu na tuna 2 beautiful kids together!

NB:Haya maisha wanaume mnawapa presha wadada sijui wawe hv mara vile ili ndio muwaoe jmn mpunguze mimi na baba chanja wangu tunajinywea zetu pombe pamoja🤣🤣 kipindi cha mimba ananywea nyumbani! Tukiwa free tunatinga km vijana tunaenda kuserebuka km kawa ukituona km mtu na hawara kumbe ni WANANDOA maisha yanaenda huko nyuma tulifanya makosa km kutoa mimba 2 na mengine ila nna imani Mungu wa huruma alitusamehe!

Am proud to be his wife[emoji56] hata yy naskiaga anasema mke wangu alikuja kwangu km masihara ila amefanyika baraka maishani mwangu

Nawaonea huruma hawa watoto wetu sijui watafanya kipi kipya tusichokijua jamani[emoji28][emoji28]

Mtanisamehe kwa story ndefu na uandishi ambao sio mzuri sana wengine hatujasomea jmn mwe[emoji13]
 
Dah umenikumbusha Facebook nilikulaga demu mmoja mkali sana alikuwa anaishi UK. Tulikuwa tunachat ujinga ujinga miaka karibia miwili wala hatujuani demu alikuwa anaishi UK ila she is from Mikocheni. Kama mtapendezwa nitawapa story yake nilivyomla aliporudi Bongo one time na kuondoka
Tupe story braza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom