Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ulifanikiwa kumaliza ile diploma yako NIT ambayo ulianza kusoma 2016 baada ya kushindwa kukidhi vigezo ambavyo vingekuwezeaha kwenda degree moja kwa moja?

Mr Fukunyuku kasome vzr utaelewa nilikua namuombea nani ushauri na maoni hlf yawezekana ukajijibu huko maana km umerukia treni kwa mbele kidogo[emoji4]
 
Ni makosa kisheria kujisifu una lundo la Ids.

BTW kama una malalamiko nenda ukaanzishe uzi kwenye lile jukwaa la malalamiko ila zingatia lugha nzuri.

Ahsante.
Mkuu mbona kama unafanya kazi ya kumoderate huu uzi? Acha watu waandike wanavyojisikia usiharibu uzi bwana aah!
 
Back
Top Bottom