Umalaya namtetea,mi mwenyewe nilimchukulia km paka la Bar.
Nikaja kujua badae sana yuko familia bara tu maza ndo mzaramo na kule anaenda kwa bibi yake mzaa mama.
Agonge Suti casual Tandika?
Alikua vile siku hiyo maxi zote nampa kwa uzuri.
Badae tumeamia date za kawaida kabisa sasa ndo akawa ananyuka pamba hatari.
Na kingine malaya si hao moja kwa moja anaomba hela.
Hakuwahi kuomba senti 10.
Na hata mahali tunaenda popote mihogo,sawa,tule kwamama ntilie ye poa tu,leo chips kavu shwari,
Agiza kuku mzima siku nikicheka atafurahi Abeba take away.
Kinywaji alikua hapigi tungi yaani ntabembeleza sa ataonjaonja savanna