Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,078
Hii sio kimasihara ndugu mjumbe..!! Sorry to say this 😹😹mwez uliopita nmeenda Arusha Kikazi, ilikua Jpili nmefika naambiwa leo ndo siku ya mwisho ya maonyesho ya Kili Fair (Siwez elezea sana ila wajuba mshaelewa). NIkasogea na mwanangu Kule Kisongo na washkaji ambao wao ndo waliniita niende wanafanya kazi Arusha nawajua kitambo. Kufika pale story nyngi na bia mixer nyama af meza yetu kwa mbele pemben kulikua na manz kakaa na friend wake wanakuywa castle can mzuri kinoma (unajua tena wameru). Wao walikua na booth kwa hayo maonesho so mda umeisha wanajilipua na kujipongeza na Sisi apo tunashusha Black Label JW io kama saa 2/3 usiku. Sasa huku na kule, rafiki yangu nlietoka nare Huku mkoa akaanzisha story na rafiki yake yule manz mm nawacheki tu, huku na huku akantambulisha na yy akatutatumbulisha yule manz nlimspot nikapiga nae story kadhaa nikaomba namba akasema chukua faster sijui aliona noma au veep. NIkasave fresh tukaendelea na mitungi. Huku na kule imefika kama 5 na nusu usiku tukasepa kurudi Hotel siku ikapita tukarudi hotel tukalala siku ikapita.
Tumechat j3 yote akawa anaringa kinoma nikasema poa wacha nijifanye fala j4 katoka kazini tukakutana chimbo moja chugga pale TaraCare, alivokuja nkamwambia waiter anachokunywa mpe Bucket akaleta desperado 6 mm nakunywa Serengeti Lite. Story story apa na pale imefika saa 6 usiku nikamwambia arudi home akalale kesho kazini akakubali yaan sikua na mpango wa kumchoma ile siku. Tumeingia kwenye Bolt mm waniache hotelin yy aende kwao mitaa ya USA river akawa hataki nishuke et i ohh mm nataka nilae unapolala ww, nikamwambia bolt maliza safari akatii. tukaingia hotel nikamchoma viwili ohh nn njaa sijala. NIkapiga sim kwa Boda mmoja namjua huwa namtumaga nikiwa Arusha kikazi ivi akaja na kyepe kuku nikampa 20K akasepa. Tukalala had asubuhi tumeamka morning Glory as usual nikampa 30K ya nauli akasepa mm nikaenda kazini.
Long story short, nlikaa Arusha 2 weeks, nlimchoma kama 3 times tena kwa nyakati tofauti as alikua anakuja kulala hotelini straight asubuhi anasepa maana alikua anaona raha kuji selfie pale hotelini na kuoga kwa lile Jaccuzi na sometimes nlikua namwogesha as tunaoga wote. Nlivorudi Dar nmepunguza mawasiliano maana ni anasumbua kinoma pia ana vizinga vya 20K kama denti wa Diploma. Ni single parent ana mtoto mmoja ila slay queen mzuri sana uneza usijue kama ana mtoto.
Nawasilisha
Kimasihara haina mtongozo wala kufukuzia bana ni kujikuta mnabanjuka tu..!!