aliyekwambia utangaze jumbo hike Nani? .umepewa ofMi sipendagi haya mambo ya kusalimiana salimiana mara nyingi huwa yanaleta umbea.
Twendeni kwenye mada
Kama nilivyoeleza yeye ni mke wa mtu huwa namtafuna kimasihara tu, siku moja tumemaliza kunjunjana nikamwambia "yani kwa huu utamu wako natamani unizalie mtoto wa kike ili nimuite jina la marehemu mama yangu", tukacheka ikawa kama yameishia hapo.
Kumbe mwenzangu kayabeba, siku moja kanipigia anataka tukutane pale pale pa siku zote, ikawa ivo bana.....tulivyokutana aisee garagazana vibaya sana, lowanisha mashuka ya gesti, vunja glasi za wine zilikuwa mezani, yani ilikuwa kama tumetoka jela jinsi tulivyokuwa na upwiru 🤣🤣......
Baada ya hapo akanionesha mkononi amebandikwa ka plasta, nikamuuliza amefanyaje, ananijibu eti ametoka hospital kutolewa njiti na yuko tayari kwa ujauzito.
Akanionesha kwenye simu yake kanisevu Baba M......(jina la marehemu mama yangu), nilimuuliza mambo mengi sana kuhusu jambo hilo akanijibu tu hayo yote nimuachie yeye atajua namna ya kudili nayo.
Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.
NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
Nani kakwambia utangaze jambo hili?,umeomba mtoto,umepewa ofa,badala kumla huyo dada azae,unakuja hapa kulaumu mwanamke,hebu nipe mimi kama hajaanza kutapika mwezi ujaoMi sipendagi haya mambo ya kusalimiana salimiana mara nyingi huwa yanaleta umbea.
Twendeni kwenye mada
Kama nilivyoeleza yeye ni mke wa mtu huwa namtafuna kimasihara tu, siku moja tumemaliza kunjunjana nikamwambia "yani kwa huu utamu wako natamani unizalie mtoto wa kike ili nimuite jina la marehemu mama yangu", tukacheka ikawa kama yameishia hapo.
Kumbe mwenzangu kayabeba, siku moja kanipigia anataka tukutane pale pale pa siku zote, ikawa ivo bana.....tulivyokutana aisee garagazana vibaya sana, lowanisha mashuka ya gesti, vunja glasi za wine zilikuwa mezani, yani ilikuwa kama tumetoka jela jinsi tulivyokuwa na upwiru 🤣🤣......
Baada ya hapo akanionesha mkononi amebandikwa ka plasta, nikamuuliza amefanyaje, ananijibu eti ametoka hospital kutolewa njiti na yuko tayari kwa ujauzito.
Akanionesha kwenye simu yake kanisevu Baba M......(jina la marehemu mama yangu), nilimuuliza mambo mengi sana kuhusu jambo hilo akanijibu tu hayo yote nimuachie yeye atajua namna ya kudili nayo.
Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.
NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
Hongera sana mwamba, yaani wewe ni kamanda kapteni la kwenda, huyo usimuache mwanamke kwanza ushasema ni mtamu, halafu huyo fala wake atajua mwenyewe wewe piga mzigo baharia bahati hizo haziji mara mbili, inaonekana wewe handsome sana afu unaenda raundi za kutosha, mbegu zako adimu mumewe hana, komaa jeshi langu mwendo ni huo tu yaani 2025 kama vipi mwambie amtose huyo fala wake ahamie kwako mazima ili marehemu mama yako afurahi zaidiMi sipendagi haya mambo ya kusalimiana salimiana mara nyingi huwa yanaleta umbea.
Twendeni kwenye mada
Kama nilivyoeleza yeye ni mke wa mtu huwa namtafuna kimasihara tu, siku moja tumemaliza kunjunjana nikamwambia "yani kwa huu utamu wako natamani unizalie mtoto wa kike ili nimuite jina la marehemu mama yangu", tukacheka ikawa kama yameishia hapo.
Kumbe mwenzangu kayabeba, siku moja kanipigia anataka tukutane pale pale pa siku zote, ikawa ivo bana.....tulivyokutana aisee garagazana vibaya sana, lowanisha mashuka ya gesti, vunja glasi za wine zilikuwa mezani, yani ilikuwa kama tumetoka jela jinsi tulivyokuwa na upwiru 🤣🤣......
Baada ya hapo akanionesha mkononi amebandikwa ka plasta, nikamuuliza amefanyaje, ananijibu eti ametoka hospital kutolewa njiti na yuko tayari kwa ujauzito.
Akanionesha kwenye simu yake kanisevu Baba M......(jina la marehemu mama yangu), nilimuuliza mambo mengi sana kuhusu jambo hilo akanijibu tu hayo yote nimuachie yeye atajua namna ya kudili nayo.
Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.
NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
Single maza kivipi wakati umeambiwa ni mke wa mtu?Single Maza kakuingiza kwenye mfumo ukajaa mazima.
Inavyoonekana Vesuvius na Mcheza Viduku ni Mtu mmoja ID tofauti Maana Hata Baadhi ya Maswali Hapo nyuma Ulijisahau ukajibu kwa Nafsi ya Kwanza Umoja..Hongera sana mwamba, yaani wewe ni kamanda kapteni la kwenda, huyo usimuache mwanamke kwanza ushasema ni mtamu, halafu huyo fala wake atajua mwenyewe wewe piga mzigo baharia bahati hizo haziji mara mbili, inaonekana wewe handsome sana afu unaenda raundi za kutosha, mbegu zako adimu mumewe hana, komaa jeshi langu mwendo ni huo tu yaani 2025 kama vipi mwambie amtose huyo fala wake ahamie kwako mazima ili marehemu mama yako afurahi zaidi
Wafilipi 4:8:Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.
NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
---“Mwenyewe, kila kitu cha kweli, kila kitu cha heshima, kila kitu cha haki, kila kitu cha utakatifu, kila kitu cha upole, kila kitu cha kupendeza—ikiwa kuna uzuri, ikiwa kuna sifa mema, fikiri yale.”
"Apataye uzinzi na mwanamke hana akili; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."
Hata wanawake wa wenye pesa wanaliwa sana na wanaume wenye vipato duni. Haya maisha hayana formula.wanawake wengi wa wanaume wenye vipato duni wanachepuka mno mradi tu wapate hela .
mwanaume ukiwa maskini una mke halafu upo mjini mfano dar na dodoma mjini kazi unayo
tupe story kidogo,waliuawa ama?Si kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.
Binamu yangu alikuwa na ukwasi ,shemeji akawa anatembea na Dereva wake ,wote marehemu sasa toka 2004.
Namaanisha Dereva,Shem na Binamu.
Mleta hoja , hapa wazungumzia Mwanaume aliyewahi kula mwanamke kimasihara au hata Mwanamke aliye na hamu na akampata /mtega mwanaume kimasihara na akala nuuu yake?Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika Ineed somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika yake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.
Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
===========
TAKE NOTE:
===========
Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
VyoteMleta hoja , hapa wazungumzia Mwanaume aliyewahi kula mwanamke kimasihara au hata Mwanamke aliye na hamu na akampata /mtega mwanaume kimasihara na akala nuuu yake?
Mwanaume alitangulia kufaa baada ya Ndoa kuvunjika ,alikumta Mkewe na Jamaa kwenye Nyumba yake,ilikuwa bahati mbaya kukutwa kwao.tupe story kidogo,waliuawa ama?
Maisha hayana formula maalumu ni vile watu wanajisahaulisha. Mke wa mtu mwenye ukwasi analiwa kwa nyong'eza ya utumbo.Si kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.
Binamu yangu alikuwa na ukwasi ,shemeji akawa anatembea na Dereva wake ,wote marehemu sasa toka 2004.
Namaanisha Dereva,Shem na Binamu.
ulikuwa ni mwaka mmoja woteMwanaume alitangulia kufaa baada ya Ndoa kuvunjika ,alikumta Mkewe na Jamaa kwenye Nyumba yake,ilikuwa bahati mbaya kukutwa kwao.
Ni pressure,familia zote zilikuwa njema na wakati wa Ndoa kuvunjika walizinguana sana hizo familia.Kila upande unavutia kwake.
Mke anasema siwezi ishi na hapeleki moto vizuri haijalishi na pesa zake.
Baada ya mwanaume kutangulia haikuchukua muda Mke akafuata na Dereva akawa wa mwisho.
Ulichelewa wewe, email huduma watu 2000 tayari walikuwa wanatumia, wilayani kwetu pia huduma ilikuwapo na sio mkoani[mention]willpower [/mention] Naona mnanivaa sana but binafsi nimeanza kutumia sim 2003 celtel ya bure japo izo tritel buzz voda nilikua pia nazifaham kipindi iko na kabla ya apo nilikua nikitumia sim za tccl kuwasiliana na kuhusu internet nimeanza kutumia 2007 ila nikikumbuka miaka ya 2000 vizuri hakukua na simu yenye uwezo wa G au E kwenye internet maana chakwangu kilikua NOKIA sikumbuk ni ngap ila ilikua hata rangi haina.
Kuhusu BB,Sonyericson,motorola, nokia zenye camera na uwezo wa rangi binafsi nimeamza kuziona miaka ya 2005+ na kwenyewe watumiaji wa yahoo,MSN, ebay,AOL end etc nimeujua miaka ya 2005+ japo sio kwa matumizi sikua natumia ila nilikua najua kwakutua computer zilikua na uwezo quantum.
Kilichokua kinanipa ukakasi ni huo urahisi wa kusave email ya mwaka 2000 as if its common kati hata wengine kua na sim ilikua ni wachache hapahapa dar.
Anyway kilamtu atajipandisha kutokana na kufurahisha watu wengine watakua wakweli japo siwezi kukataa maana mi maisha yangu sikutoka kwenye familia za kisomi na zinazojiweza sana na sio mtoto wa mjini labda ndo maana nilichelewa kujua.
Ndugu wa Mume walipiga kurujuanMwanaume alitangulia kufaa baada ya Ndoa kuvunjika ,alikumta Mkewe na Jamaa kwenye Nyumba yake,ilikuwa bahati mbaya kukutwa kwao.
Ni pressure,familia zote zilikuwa njema na wakati wa Ndoa kuvunjika walizinguana sana hizo familia.Kila upande unavutia kwake.
Mke anasema siwezi ishi na hapeleki moto vizuri haijalishi na pesa zake.
Baada ya mwanaume kutangulia haikuchukua muda Mke akafuata na Dereva akawa wa mwisho.
Kwan lazma mueke na part 2Mwezi wa January 2022 hapa ninapoishi jirani kuna mbibi, huyu bibi alikuwa na kijana wake ana vimaisha vyake kidogo, huyu kijana kajenga na jirani yake hapo kamjengea mama yake.
Sasa huyu mwamba alikuwa kaoa na wana watoto wa kwanza yupo form 3 kama sikosei, ila inaonekana bahati mbaya mkewe alikuwa wenge wenge (mcharuko) hivo wakaachana mwaka jana kama April hivi.
Ilipofika mwezi wa nane mwaka jana yule mwamba akarudisha visa ya kuishi kwenye sayari yenye milima, mabonde, maziwa, mbuga, magari na app ya JF yenye nyuzi ya kula tunda kimasihara (namaanisha alifariki dunia).
Baada tu ya huyu kijana wa bibi kuaga dunia, yule mke wake akaibuka kwa kasi kuanzisha fujo, alimtaka hadi bibi kikongwe ahame pale alipo! Iliniuma sana, bibi akaambiwa mchawi, bibi akaambiwa hana chake pale na kwamba mali zote ni za watoto!
Sasa bibi akatoa wosia alioacha marehemu ili kupunguza maneno, ikaonekana nyumba anayoishi ni yake na ina hati kwa jina lake, lakin nyumba nyingine ina fremu ni kweli ya watoto ila kwa shart bibi akae na nyaraka hadi watoto wakija kuwa wakubwa wamemaliza shule ndio awape hati, na aendelee kukusanya hela kwa ajili ya kuwalipia ada.
Kufupisha story ule mzozo na mke mtarakiwa wa kijana wake ukazid sana pale nyumbani, nikamshauri bibi tupate maamuzi ya kimahakama, tukaenda mahakamani kupata mwongozo wao!
Tumefika mahakamani kesi ikasajiliwa masijala na kutakiwa kwenda kumuona hakimu tupangiwe siku ya kesi kusikilizwa.
Hapa ndio masihara ilitia team mbaaaaaa
Ile kuingia kwa hakimu namkuta ni pisi fulani amaizing, nadhan mnaelewa hii tasnia ya mahakama ikiwa na watu wabaya ni wabaya haswaaa na ikiwa na msichana mzuri utamkuta ni mzuri kufuru.
Ile kumuona hakimu ni pisi hatari nikajikuta nimeanza matumizi ya miongozo ya kula kimasihara mara moja bila kupoteza muda.
Cha kwanza nikaanza moja kwa moja kutaniana nae pale mahakamani kama vile tumefahamiana muda mrefu, (mahakama ilikuwa ya chamber sio ya wazi)
Mheshimiwa Nimekuja mwenyewe unihukumu kwa maana nimeona si vema Jamhuri kunitafuta, akatabasamu akaniuliza ni jambo jema una kosa gani umetendea jamhuri,
nikacheka kisha nikampa tu story fupi ya mkasa wa bibi na kwamba nimeamua tu kumsaidia walau kutoa maelezo maana hawezi jielezea vizuri, basi akasema ni jambo zuri ulilofanya sikuhukumu
Akasema baada ya week mbili tufike tena mahala pale kusikilizwa kesi yetu!
Sasa wakati anatoa hilo hitimisho wale wahudumu (karani) wa kuitisha kesi akawa amechukua mafaili kutoka nje kwenda kuitisha kesi zingine waingie ndani kwa hakimu kuendelea na mashtaka yao.
Nikatumia huo muda kumwambia mh. Huwa nasafiri sana, na huyu bibi nilipenda tu nimsaidie kama mama yangu au kama mama yako pia!
Hivyo nisaidie namba endapo utapanga tarehe siku ambayo sijahudhuria mahakamani basi uweze nipa update.
Akajifikiria kidogo, nikakazia huyu ni mama yetu najua ww ni mtoa haki, lete tu hiyo namba itakuwa msaada kwa kesi ya mama yetu, basi akaitaja nikaandika nikambeep kweli ikaita kwenye mkoba nikamwambia save ozone layer kisha
Nikasepaaa, kosa mojawapo ni kumpa namba ya simu mulaji wa kimasihara, kwa maana ilileta mavuno mataaamu sana kula lile tunda amaizing.
nacheka huku naogopa, hii dar salaam ndogo jamani, sijui mahakimu wa kike wapo wangapi asije kuwa anapitiaga uzi, maana uko viewed na ziaid ya watu milioni 10
Nitaaangalia namna ya kuweka codes tokea kubadilishana namba ya simu hadi on bed, maana hapo ndio pakupafunga funga vizuri
Naaammmmmmmmmmmhhhhh, malizia uzi nilete wangu wa Mkuu wa Kaya fulani hapa mjiniKwan lazma mueke na part 2
Shusha mzigo mzeee. Ila weka mbali chai mfungo huuNaaammmmmmmmmmmhhhhh, malizia uzi nilete wangu wa Mkuu wa Kaya fulani hapa mjini