The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,160
Sasa unataka kujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara hata mtoto akizaliwa ndo unadhani utampata
..unazawadiwa mimba ya mume wake ili kupata uhakika wa malezi ya mtoto I.e resources diversificationMi sipendagi haya mambo ya kusalimiana salimiana mara nyingi huwa yanaleta umbea.
Twendeni kwenye mada
Kama nilivyoeleza yeye ni mke wa mtu huwa namtafuna kimasihara tu, siku moja tumemaliza kunjunjana nikamwambia "yani kwa huu utamu wako natamani unizalie mtoto wa kike ili nimuite jina la marehemu mama yangu", tukacheka ikawa kama yameishia hapo.
Kumbe mwenzangu kayabeba, siku moja kanipigia anataka tukutane pale pale pa siku zote, ikawa ivo bana.....tulivyokutana aisee garagazana vibaya sana, lowanisha mashuka ya gesti, vunja glasi za wine zilikuwa mezani, yani ilikuwa kama tumetoka jela jinsi tulivyokuwa na upwiru 🤣🤣......
Baada ya hapo akanionesha mkononi amebandikwa ka plasta, nikamuuliza amefanyaje, ananijibu eti ametoka hospital kutolewa njiti na yuko tayari kwa ujauzito.
Akanionesha kwenye simu yake kanisevu Baba M......(jina la marehemu mama yangu), nilimuuliza mambo mengi sana kuhusu jambo hilo akanijibu tu hayo yote nimuachie yeye atajua namna ya kudili nayo.
Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.
NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
Wavijijini pia wanachepuka sana tu.wanawake wengi wa wanaume wenye vipato duni wanachepuka mno mradi tu wapate hela .
mwanaume ukiwa maskini una mke halafu upo mjini mfano dar na dodoma mjini kazi unayo
Si kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.wanawake wengi wa wanaume wenye vipato duni wanachepuka mno mradi tu wapate hela .
mwanaume ukiwa maskini una mke halafu upo mjini mfano dar na dodoma mjini kazi unayo
Single Maza kakuingiza kwenye mfumo ukajaa mazima.Mi sipendagi haya mambo ya kusalimiana salimiana mara nyingi huwa yanaleta umbea.
Twendeni kwenye mada
Kama nilivyoeleza yeye ni mke wa mtu huwa namtafuna kimasihara tu, siku moja tumemaliza kunjunjana nikamwambia "yani kwa huu utamu wako natamani unizalie mtoto wa kike ili nimuite jina la marehemu mama yangu", tukacheka ikawa kama yameishia hapo.
Kumbe mwenzangu kayabeba, siku moja kanipigia anataka tukutane pale pale pa siku zote, ikawa ivo bana.....tulivyokutana aisee garagazana vibaya sana, lowanisha mashuka ya gesti, vunja glasi za wine zilikuwa mezani, yani ilikuwa kama tumetoka jela jinsi tulivyokuwa na upwiru 🤣🤣......
Baada ya hapo akanionesha mkononi amebandikwa ka plasta, nikamuuliza amefanyaje, ananijibu eti ametoka hospital kutolewa njiti na yuko tayari kwa ujauzito.
Akanionesha kwenye simu yake kanisevu Baba M......(jina la marehemu mama yangu), nilimuuliza mambo mengi sana kuhusu jambo hilo akanijibu tu hayo yote nimuachie yeye atajua namna ya kudili nayo.
Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.
NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
What a tragedySi kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.
Binamu yangu alikuwa na ukwasi ,shemeji akawa anatembea na Dereva wake ,wote marehemu sasa toka 2004.
Namaanisha Dereva,Shem na Binamu.
Tutaonana tenaaa aah tutaonana tutaonana tena aah tutaonanaMi sipendagi haya mambo ya kusalimiana salimiana mara nyingi huwa yanaleta umbea.
Twendeni kwenye mada
Kama nilivyoeleza yeye ni mke wa mtu huwa namtafuna kimasihara tu, siku moja tumemaliza kunjunjana nikamwambia "yani kwa huu utamu wako natamani unizalie mtoto wa kike ili nimuite jina la marehemu mama yangu", tukacheka ikawa kama yameishia hapo.
Kumbe mwenzangu kayabeba, siku moja kanipigia anataka tukutane pale pale pa siku zote, ikawa ivo bana.....tulivyokutana aisee garagazana vibaya sana, lowanisha mashuka ya gesti, vunja glasi za wine zilikuwa mezani, yani ilikuwa kama tumetoka jela jinsi tulivyokuwa na upwiru 🤣🤣......
Baada ya hapo akanionesha mkononi amebandikwa ka plasta, nikamuuliza amefanyaje, ananijibu eti ametoka hospital kutolewa njiti na yuko tayari kwa ujauzito.
Akanionesha kwenye simu yake kanisevu Baba M......(jina la marehemu mama yangu), nilimuuliza mambo mengi sana kuhusu jambo hilo akanijibu tu hayo yote nimuachie yeye atajua namna ya kudili nayo.
Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.
NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
Wote wanachepuka dhama zimebadilika tatizo ni binadamu tunataka kushindana na ukweli ...ukweli ni kama ifuatavyowanawake wengi wa wanaume wenye vipato duni wanachepuka mno mradi tu wapate hela .