cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
Sema kweliii?Unakula papai unajisifu
Sema kweliii?Unakula papai unajisifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mtinda nyuzi na mpaka [emoji182][emoji168][emoji105][emoji131] unanitukana sio. Wiki ijayo nakuja mbeya, nitakutufauta hapo CUcom unaposemea Upishi.
Dada yako wa Mbeya aliniambukiza Gono yule mmasai na lile Pengo lake. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vuta goma hilo buruzaa kwa miaka atayokaa hapo chuoni.Wakuu ..
Kuna kitoto Cha first yr, kimeniganda kweli kweli , Kwa kisingizio eti ana kaa mbali na chuo ,
Kwahyo anataka ku take advantage kwasababu mm naishi karibu na chuo chake TIA
Mpka kina fosi kuja kuishi geto kwangu .. mmh huu mtego nachomokaje ?
Mm ni Hustler tu
Jamaa kumla nguruwe had sauti kukata, kile kisa nakitafuta sana nisome tenaNimekumbuka sana kuna mzee alileta uzi hapa alikula huko miaka ya 70 na mpaka anasimulia anakumbuka hadi binti alikuwa amevaa nn....
Halafu kuna yule alikula kichaa......
Wewe ni kisa kipi cha mdau aliyekula kimasihara ambacho kilikuingia na hutakisahau
tutengeneze na sisi yetu kimasihara, ya mm na wwShusheni visa, ila m summarize, siku hizi siwezi soma Essay.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha...............hivi huwaga ni wachache eeh? Hata hivyo sio rahisi kumfahamu kupitia nilivyosimulia, maana siku-describe her facial lookingUnavyojaribu kuipeleka zamani. Hizi code tunazifungua. Hii ni ya week hizi hizi, and kwa vile airhostess wapo wachache, ni almost tunawafahamu wote kwa frequent fliers. Hongera kiongozi.
Hahaha...........let's observe confidentiality, wakati mwingine ujanja wa maneno ya mdomoni yanaweza kufanya kiatu cha dollar 150 ukinunue kwa dollar 50 😜Ulimpa bei gani? Tujue bei elekezi ya airhostess
Unapenda ugomviNaweee hapo MUST huja graduate tyuuu? Lol
SijawahiKatika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika Ineed somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika yake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.
Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
===========
TAKE NOTE:
===========
Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Lazima azaeVuta goma hilo buruzaa kwa miaka atayokaa hapo chuoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah. Siyo rahisi kung'amua. Japo hujataja airline lkn zinazotoa koro-show ni mbili. Ni wale wale tunaowafahamu. Ngoja nichukue mbinu zako.Hahaha...............hivi huwaga ni wachache eeh? Hata hivyo sio rahisi kumfahamu kupitia nilivyosimulia, maana siku-describe her facial looking
By the way ni mambo ya Mwaka 47 hayo 🤗
Hapa kwenye sms ngumu kujua manzi ni yupi anyway all the bestIpo hivii vijana wa kiume tujitahidi kuzitafuta pesa na kujipenda na kuwa wajanja.
Maana pesa bila maujanja ya kuzitumia bado wewe ni fala kama sio boya.
Mtoto wa mchungaji huyo baada ya kumgusisha tu tayari kasha zama mazima. Ile nimemtoa out of town na kwenda nje ya mji nae na kukutana na wengine tukiwa kila mtu na demu wake kama Mr nice.
Alikua na aibu mwanzoni ila baada ya kuzoea tu akaililia na kuitaka tena nami ni nani nimnyime mtoto wa nabii japo kalitaka kuleta pozi nikacheza karata zangu na kupindua meza.
NB
Wanaume kuna mambo matam nje na kuitana mageto na lodge haya mambo ukimpa demu yoyote wala hauta tumia nguvu yoyote kumuweka karibu na wewe kazi yako itakua ni ku select wa kutoka nae siku husika....yale mambo ya kujilizaliza kwenye ma inbox na mameseji yatakuisha.
#Nabii nisamehe
View attachment 3114254
Hahaha...........Kila la heri, usisahau kuleta mrejesho tu 👊Yeah. Siyo rahisi kung'amua. Japo hujataja airline lkn zinazotoa koro-show ni mbili. Ni wale wale tunaowafahamu. Ngoja nichukue mbinu zako.
Ndio nini sasaHii tabia unasafiri unaenda kituoni wapiga debe wanakupigia unapata kampani na pesa kidogo ya kulegeza mafuta.
Natokea moshi nafika segera nikalamba zangu vichwa vitatu dar mida ya jioni viwili vinaenda moro. Basi ikanilazimu nipite ya mlandizi japo siipendi nikawashushe chalinze waendelee na safari. Baasi tano usiku ndio tunakatiza chalinze kuhamaki wanashuka madume tu kabakia yule dame ndio anaelekea daslam.
Alikua siti ya nyuma nikamwbia pita mbele.
Stori zikaanza mbona unasafiri usiku mtoto wa kike peke yako?
Akaniambia alikua na wenzake gari ilijaa akabakia yeye.
Tukaenda kufika maeneo ya ruvu nasinzia tu ata sijielewi.
Basi kufika mlandizi kiroho safi nikamrudishia nauli yake apande tu gari ingine mi safari ndio imeishia hapo natafuta gesti nilale nishachoka.
Nitaendelea...
Kula zigo hiloWakuu...habarini ya jumapili huko mlipo,mimi kijana wenu hapa nilipo nimejiskia raha sana ambayo sielewi inakuaje hadi nimemuomba namba mmama mmoja hivi ...nikimkadiria hivi anaweza kuwa na miaka 50 hadi 54 hivi..katika kupiga nae story anasema yeye hana mme,..ila kiukweli mimi kanivutia sana mpka sielewi ...natamani awe wangu...namuomba mungu asiwe na magonjwa ila ni bonge la mama.
Achaa tu hapa nimechanganyikiwa yani anavonipenda kama mtoto wake na mimi najiskia hisia zinanipanda wakuu..